×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

LingQ 101 - Getting Started, Kuongea

Pale utakapokuwa tayari unaweza kuongea na mzawa.

Unaweza kuongea na mwalimu.

Utafurahia.

Unaweza kuongea na mwalimu kupitia Skype.

Unaweza kuchagua mwalimu unayetaka kuongea nae.

Unaweza kuwa na waalimu wengi.

Unaweza kuongea nao muda wowote utakaoutaka.

Baada ya kuongea na mwalimu utapokea ripoti ya maongezi.

Ripoti hiyo ya maongezi itaonyesha makosa yako.

Unaweza kuunda LingQs kutoka kwenye makosa yako ya kimaongezi.

Kwa mara ya kwanza ni ngumu kuongea na mzawa wa lugha.

Ila muda sio mrefu utaanza kuongea vizuri zaidi na zaidi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Pale utakapokuwa tayari unaweza kuongea na mzawa. When you are ready you can talk to a native speaker. Lorsque vous êtes prêt, vous pouvez parler au natif.

Unaweza kuongea na mwalimu. You can|speak|with|teacher Sie können mit dem Lehrer sprechen. You can talk to a tutor. Vous pouvez parler au professeur.

Utafurahia. You will be happy Sie werden es genießen. This is fun. Vous l'apprécierez.

Unaweza kuongea na mwalimu kupitia Skype. You can|talk|to|teacher|through|Skype Sie können über Skype mit dem Lehrer sprechen. You talk to a tutor using Skype. Vous pouvez parler au professeur via Skype.

Unaweza kuchagua mwalimu unayetaka kuongea nae. You can|choose|teacher|you want|to talk|with him Sie können den Lehrer auswählen, mit dem Sie sprechen möchten. You can choose the tutor you want to talk to. Vous pouvez choisir le professeur avec qui vous souhaitez parler.

Unaweza kuwa na waalimu wengi. You can|have|and|teachers|many Sie können viele Lehrer haben. You can have many tutors. Vous pouvez avoir plusieurs professeurs.

Unaweza kuongea nao muda wowote utakaoutaka. You can|talk|to them|time|any|you want Sie können jederzeit mit ihnen sprechen. You talk when you want. Vous pouvez leur parler à tout moment.

Baada ya kuongea na mwalimu utapokea ripoti ya maongezi. After|of|talking|with|teacher|you will receive|report|of|conversation After you talk to a tutor you will receive a conversation report. Après avoir parlé avec le professeur, vous recevrez un rapport de discours.

Ripoti hiyo ya maongezi itaonyesha makosa yako. The report|that|of|conversation|will show|mistakes|your Der mündliche Bericht zeigt Ihre Fehler auf. The conversation report will point out your mistakes. Le rapport verbal montrera vos erreurs.

Unaweza kuunda LingQs kutoka kwenye makosa yako ya kimaongezi. You can|create|LingQs|from|on|mistakes|your|of|conversational Sie können aus Ihren Sprachfehlern LingQs erstellen. You can create LingQs from your conversation mistakes. Vous pouvez créer des LingQ à partir de vos erreurs d'élocution.

Kwa mara ya kwanza ni ngumu kuongea na mzawa wa lugha. For|time|of|first|is|difficult|to speak|with|native speaker|of|language Zum ersten Mal ist es schwierig, mit einem Muttersprachler zu sprechen. At first it is difficult to talk to a native speaker. Pour la première fois, il est difficile de parler avec un locuteur natif.

Ila muda sio mrefu utaanza kuongea vizuri zaidi na zaidi. But|time|not|long|you will start|to speak|well|more|and|more Aber schon bald werden Sie anfangen, immer besser zu sprechen. Soon you will speak better and better. Mais bientôt vous commencerez à parler de mieux en mieux.