×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

LingQ Mini Stories, 12- Ninahitaji Kompyuta Mpya

Selina anatumia kompyuta mara nyingi.

Lakini, anahitaji kompyuta mpya.

Kompyuta yake imezeeka na inafanya kazi taratibu.

Anaenda katika duka la elektroniki.

Anaona kompyuta nyingi ndani ya duka.

Anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake.

Na anataka kibodi nzuri.

Anaona kompyuta nzuri, ya bluu.

Anapenda skrini, kibodi, na rangi.

Ananunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Selina.

Ninatumia kompyuta mara nyingi.

Lakini, ninahitaji kompyuta mpya.

Kompyuta yangu imezeeka na inafanya kazi taratibu.

Ninaenda kwenye duka la elektroniki.

Ninaona kompyuta nyingi ndani ya duka.

Ninataka skrini kubwa kwenye kompyuta yangu.

Na ninataka kibodi nzuri.

Ninaona kompyuta nzuri, ya bluu.

Ninapenda skrini, kibodi na rangi.

Ninanunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo.

Maswali:

1) Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi. Je, Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi? Ndiyo, huwa anatumia kompyuta mara nyingi.

2) Selina anahitaji kompyuta mpya. Je, Selina anahitaji simu mpya? Hapana, Selina hahitaji simu mpya. Anahitaji kompyuta mpya.

3) Kompyuta ya Selina imezeeka, na inafanya kazi taratibu. Je, kompyuta ya Selina ni mpya? Hapana, kompyuta yake siyo mpya. Imezeeka, na inafanya kazi taratibu.

4) Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Je, kuna kompyuta nyingi ndani ya duka? Ndiyo, Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki.

5) Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. Je, Selina anataka skrini ndogo? Hapana, Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake.

6) Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Je, Selina anataka kibodi nzuri? Ndiyo, Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake.

7) Selina anaona kompyuta ya bluu. Je, Selina anaona kompyuta nyeusi? Hapana, hajaona kompyuta nyeusi. Anaona kompyuta ya bluu.

8) Selina amependa skrini ya kompyuta, kibodi, na rangi. Je, Selina ameipenda kompyuta? Ndiyo, Selina ameipenda skrini ya kompyuta, kibodi na rangi.

9) Selina ananunua kompyuta na kadi ya mkopo. Je, Selina ananunua kompyuta na fedha taslimu? Hapana, hakutumia fedha taslimu. Ananunua kwa kutumia kadi ya mkopo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Selina anatumia kompyuta mara nyingi. Selina|uses|computer|often|many times Selina benutzt den Computer viel. Janet uses the computer a lot.

Lakini, anahitaji kompyuta mpya. But|he/she needs|computer|new But, she needs a new computer. Mais il a besoin d’un nouvel ordinateur.

Kompyuta yake imezeeka na inafanya kazi taratibu. The computer|his|has aged|and|it works|work|slowly Sein Computer ist alt und arbeitet langsam. Her computer is old and slow. Son ordinateur est vieux et fonctionne lentement.

Anaenda katika duka la elektroniki. He/She goes|to|store|of|electronics She goes to an electronic store. Il va au magasin d'électronique.

Anaona kompyuta nyingi ndani ya duka. He sees|computers|many|inside|of|store She sees many computers in the store. Il voit de nombreux ordinateurs à l'intérieur du magasin.

Anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. He wants|screen|large|on|computer|his Er möchte einen größeren Bildschirm auf seinem Computer. She wants a big screen on her computer. Il veut un écran plus grand sur son ordinateur.

Na anataka kibodi nzuri. And|he wants|keyboard|good And she wants a good keyboard. Et il veut un bon clavier.

Anaona kompyuta nzuri, ya bluu. He sees|computer|nice|of|blue She sees a nice, blue computer. Il voit un bel ordinateur bleu.

Anapenda skrini, kibodi, na rangi. He loves|screen|keyboard|and|color Er liebt den Bildschirm, die Tastatur und die Farben. She likes the screen, the keyboard, and the style.

Ananunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo. He buys|computer|that|with|using|card|of|credit Er kauft den Computer mit Kreditkarte. She buys the computer with a credit card. Il achète l'ordinateur avec une carte de crédit.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Selina. This|is|story|that|being told|by|Selina Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Selina.

Ninatumia kompyuta mara nyingi. I use|computer|often|many times I use the computer a lot. J'utilise beaucoup l'ordinateur.

Lakini, ninahitaji kompyuta mpya. But|I need|computer|new But, I need a new computer. Mais j'ai besoin d'un nouvel ordinateur.

Kompyuta yangu imezeeka na inafanya kazi taratibu. The computer|my|is old|and|works|work|slowly My computer is old and slow. Mon ordinateur est vieux et lent.

Ninaenda kwenye duka la elektroniki. I am going|to|store|of|electronics I go to an electronics store. Je vais au magasin d'électronique.

Ninaona kompyuta nyingi ndani ya duka. I see|computers|many|inside|of|store I see many computers in the store. Je vois de nombreux ordinateurs à l'intérieur du magasin.

Ninataka skrini kubwa kwenye kompyuta yangu. I want|screen|large|on|computer|my I want a big screen on my computer. Je veux un écran plus grand sur mon ordinateur.

Na ninataka kibodi nzuri. And|I want|keyboard|good And I want a good keyboard. Et je veux un bon clavier.

Ninaona kompyuta nzuri, ya bluu. I see|computer|nice|of|blue I see a nice, blue computer. Je vois un bel ordinateur bleu.

Ninapenda skrini, kibodi na rangi. I love|screen|keyboard|and|color I like the screen, the keyboard, and the style. J'aime l'écran, le clavier et les couleurs.

Ninanunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo. I am buying|computer|that|with|using|card|of|credit I buy the computer with a credit card. J'achète l'ordinateur avec une carte de crédit.

Maswali: Questions Questions:

1) Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi. Selina|usually|uses|computer|times| One: Janet uses the computer a lot. 1) Selina utilise beaucoup l’ordinateur. Je, Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi? question particle|Selina||uses|computer|times| Does Janet use the computer a lot? Ndiyo, huwa anatumia kompyuta mara nyingi. Yes||uses|computer|often| Yes, she uses the computer a lot.

2) Selina anahitaji kompyuta mpya. Selina|needs|computer|new Two: Janet needs a new computer. Je, Selina anahitaji simu mpya? question particle|Selina|needs|phone|new Does Selina need a new phone? Hapana, Selina hahitaji simu mpya. No|Selina|does not need|phone|new No, Selina doesn't need a new phone. Anahitaji kompyuta mpya. He/She needs|computer|new she needs a new computer.

3) Kompyuta ya Selina imezeeka, na inafanya kazi taratibu. The computer|of|Selina|is old|and|it works|work|slowly Three: Janet's computer is old, and slow. Je, kompyuta ya Selina ni mpya? Is|computer|belonging to|Selina|is|new Is Janet's computer new? Hapana, kompyuta yake siyo mpya. No|computer|his|is not|new No, her computer is not new. Imezeeka, na inafanya kazi taratibu. It is old|and|it works|work|slowly It is old, and slow.

4) Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Selina|sees|computer|many|inside|of|store|of|electronics Four: Janet sees many computers in the electronics store. Je, kuna kompyuta nyingi ndani ya duka? |are there|computers|many|inside|of|store Are there many computers in the store? Ndiyo, Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Yes|Selina|sees|computers||inside|of|store|of|electronics Yes, Janet sees many computers in the electronics store.

5) Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. Selina|wants|screen|big|on|computer|her Five: Janet wants a big screen on her computer. Je, Selina anataka skrini ndogo? question particle|Selina|wants|screen|small Does Janet want a small screen? Selina veut-elle le petit écran ? Hapana, Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. No|Selina|wants|screen|big|on|computer|her No, Janet wants a big screen on her computer. Non, Selina veut un écran plus grand sur son ordinateur.

6) Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Selina|wants|keyboard|good|on|computer|her Six: Janet wants a good keyboard for her computer. Je, Selina anataka kibodi nzuri? Does Janet want a good keyboard? Ndiyo, Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Yes|Selina|wants|keyboard|good|on|computer|her Yes, Janet wants a good keyboard for her computer.

7) Selina anaona kompyuta ya bluu. Selina|sees|computer|of|blue Seven: Janet sees a blue computer. Je, Selina anaona kompyuta nyeusi? question particle|Selina|sees|computer|black Does Janet see a black computer? Hapana, hajaona kompyuta nyeusi. No|he/she has not seen|computer|black No, she does not see a black computer. Anaona kompyuta ya bluu. He sees|computer|of|blue She sees a blue computer.

8) Selina amependa skrini ya kompyuta, kibodi, na rangi. Selina|has liked|screen|of|computer|keyboard|and|color Eight: Janet likes the blue computer's screen, keyboard, and style. Je, Selina ameipenda kompyuta? question particle|Selina|has liked it|computer Does Janet like the blue computer? Ndiyo, Selina ameipenda skrini ya kompyuta, kibodi na rangi. Yes|Selina|has liked|screen|of|computer|keyboard|and|color Yes, Janet likes the blue computer's screen, keyboard, and style.

9) Selina ananunua kompyuta na kadi ya mkopo. Selina|buys|computer|and|card|of|credit Nine: Janet buys the computer with a credit card. Je, Selina ananunua kompyuta na fedha taslimu? question particle|Selina|buys|computer|and|money|cash Does Janet buy the computer with cash? Selina achète-t-elle un ordinateur avec de l'argent ? Hapana, hakutumia fedha taslimu. No|he/she did not use|money|cash No, she doesn't use cash. Ananunua kwa kutumia kadi ya mkopo. He buys|using|to use|card|of|credit She buys it with a credit card.