Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini.
Oscar|"is returning"||from|
Oscar återvänder hem|kommer tillbaka|||
Marco is coming home from work.
Oscar rentre du travail.
Anaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.
She drives|heading towards|home|from||every|every day
He drives home from work every day.
Il rentre du travail en voiture tous les jours.
Kuna magari mengine mengi kwenye barabara.
There are|cars|other|many|on the|road
||andra|många fler||vägen
There are many other cars on the highway.
Il y a beaucoup d’autres voitures sur la route.
Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.
|is very crowded|very much|cannot|drive|speed
|full||kan inte|köra|hastighet
The highway is too crowded to move.
La route est tellement encombrée qu’on ne peut pas rouler vite.
Oscar anafadhaika na kukasirika.
|is frustrated||get angry
|är frustrerad||bli arg
Marco feels frustrated and angry.
Oscar devient frustré et en colère.
Anawasha redio kusikiliza habari.
He turns on|radio|to listen|news
Han sätter på|radio||
Er schaltet das Radio ein, um die Nachrichten zu hören.
He turns on the radio to hear the news.
Il allume la radio pour écouter les informations.
Kisha, anasikiliza muziki.
Then|"is listening to"|music
|han lyssnar på|
Then, he listens to some songs.
Anaimba pia ikitokea maneno anayajua.
She sings|also|if it happens|words he knows|He knows them
Hon sjunger||om det händer||
Still, Marco is bored and tired.
Il chante aussi lorsque les mots qu'il connaît reviennent.
Ila, Oscar ameboreka na kuchoka.
However||has become bored||getting tired
||||bli trött
The highway is too crowded every day.
Sauf qu'Oscar va mieux et est fatigué.
Oscar anafikiria kununua pikipiki badala yake.
Oscar|Oscar is thinking|to buy|motorcycle|"instead of it"|instead of
|||motorcykel||
Marco thinks about buying a motorcycle instead.
Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Oscar.
||||being narrated by||
Here is the same story told in a different way.
Ninarudi nyumbani kutoka kazini.
I am returning|||
Jag återvänder|||
I am coming home from work.
Ninaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.
I am driving|towards|||||
I drive home from work every day.
Kuna magari mengine mengi barabarani.
|cars|||on the road
||||på vägen
There are many other cars on the highway.
Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.
The road|is congested||"you cannot"|drive|
The highway is too crowded to move.
Ninajisikia kufadhaika na kukasirika.
I feel|"frustrated"||get angry
|känner mig förtvivlad||
I feel frustrated and angry.
Ninawasha redio nisikilize habari.
I turn on||listen to|news
Jag sätter på||lyssna på|
Ich schalte das Radio ein, um die Nachrichten zu hören.
I turn on the radio to hear the news.
Kisha, ninasikiliza muziki.
Then|"I listen to"|music
|Jag lyssnar på|
Then, I listen to some songs.
Ninaimba pia inapotokea ninayajua maneno.
"I sing"||when it happens|"I know them"|the words
Jag sjunger||när det händer|Jag kan orden|
Still, I am bored and tired.
Ila, bado nimeboreka na nimechoka.
but|still|I am bored||"I am tired"
|fortfarande|||Jag är trött.
Aber mir geht es immer noch besser und ich bin müde.
The highway is too crowded every day.
Ninafikiria kununua pikipiki badala yake.
"I am thinking"|buying||"instead of it"|
I think about buying a motorcycle instead.
Maswali.
Questions
Questions:
1) Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake.
|is returning|||||||
One: Marco is coming home from work in his car.
Je, Oscar yupo kazini?
||is there|
Is Marco at work?
Hapana, Oscar hayupo kazini.
||is not here|
No, Marco is not at work.
Anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake.
||||||car|
he is coming home from work in his car.
2) Kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar.
||||||together with||
Two: There are many other cars on the highway with Marco.
Je, kuna magari mengine mengi katika barabara?
"Are there"||||||
Are there other cars on the highway?
Ndiyo, kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar.
|||||||along with||
Yes, there are many other cars on the highway with Marco.
3) Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwasababu barabara imejaa.
||drive||speed|because||
|||||på grund av||
Three: Marco cannot move because the highway is too crowded.
Je, Oscar anaweza kuendesha kwa kasi?
||can|||speed
Can Marco move?
Hapana, Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwa sababu barabara imejaa sana.
||cannot||||at|because||"very crowded"|
No, Marco cannot move because the highway is too crowded.
4) Oscar anajisikia kufadhaika na kukasirika.
|feels|"frustrated"||get angry
Four: Marco feels frustrated and angry.
Je, Oscar anajisikia furaha?
|||happiness
Does Marco feel happy?
Hapana, Oscar hajisikii furaha.
||does not feel|
||känner sig inte|
No, Marco does not feel happy.
Anajisikia kufadhaika na kukasirika.
he feels frustrated and angry.
5) Oscar anasikiliza habari katika redio ndani ya gari.
Oscar|||||inside||car
Five: Marco listens to the news on the radio in his car.
Je, Oscar anasikiliza habari?
question marker|||
Does Marco listen to the news?
Ndiyo, Oscar anasikiliza habari kwenye redio ndani ya gari lake.
|||||radio||||
Yes, Marco listens to the news on the radio in his car.
6) Oscar anaimba na nyimbo inapotokea anayajua maneno.
|||songs|||
|||sånger|||
Six: The highway is always crowded every day.
Je, Oscar anaimba?
Is the highway always crowded?
Ndiyo, anaimba ikitokea anayajua maneno.
Yes, the highway is always crowded every day.
Oui, il chante s'il connaît les paroles.
7) Oscar anafikiria anaweza kununua pikipiki, badala ya kuendesha gari.
||he can||motorcycle|instead of||drive|
Seven: Marco thinks he might buy a motorcycle instead of driving.
7) Oscar pense qu'il peut acheter une moto au lieu de conduire une voiture.
Je, Oscar anataka pikipiki?
Does Marco want a motorcycle?
Oscar veut-il une moto ?
Ndiyo, anafikiria anaweza kununua pikipiki badala ya kuendesha gari.
Yes, he thinks he might buy a motorcycle instead of driving.