×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

LingQ Mini Stories, 51 - Simu mpya

Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi, lakini ameshindwa kupata chochote cha bei nafuu.

Hivyo basi Juno aliamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alitumai kuwa bidhaa za mtandaoni zingekuwa nafuu zaidi.

Baada ya kutafuta na kusogeza kwa saa chache, Juno alipata simu ambayo aliipenda.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua.

Anatumai itadumu kwa muda mrefu.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Mwanangu amekuwa akitafuta simu mpya.

Ametafuta maduka mengi katika eneo tunaloishi, lakini ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Aliamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alikuwa na matumaini kwamba maduka ya mtandaoni yangemulika zaidi.

Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu aliyoipenda.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua.

Natumai itadumu kwake kwa muda mrefu.

Maswali:

Moja: Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Juno amekuwa akitafuta nini?

Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Mbili: Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi.

Ameangalia wapi?

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi.

Tatu: Hata hivyo, ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Je, ameweza kupata simu ya bei nafuu?

Hapana, ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Nne: Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Juno ameamua kuangalia wapi badala yake?

Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Tano: Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, anatumai kuwa maduka ya mtandaoni yatakuwa na bei nafuu zaidi.

Je, anaamini ununuzi wa mtandaoni?

Hapana, haamini kabisa ununuzi mtandaoni.

Sita: Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu anayoipenda.

Je, alitafuta na kusogeza mtandaoni kwa muda gani?

Saa chache.

Alipata simu ambayo aliipenda baada ya kuitafuta na kuperuzi kwa saa chache.

Saba: Ni karibu nusu ya bei ya zingine, kwa hivyo aliinunua.

Kwa nini aliinunua?

Kwa sababu ni karibu nusu ya bei ya zingine.

Nane: Anatumai haitavunjika kirahisi, na kwamba itadumu kwa muda mrefu.

Anatarajia nini hakitatokea?

Anatumai haitavunjika kirahisi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Juno amekuwa akitafuta simu mpya. Juno|has been|searching for|phone|new Kevin has been looking for a new phone. Juno cherchait un nouveau téléphone.

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi, lakini ameshindwa kupata chochote cha bei nafuu. He has searched|shops|many|in|area|where he lives|but|he has failed|to find|anything|of|price|affordable He has looked in many stores in the area where he lives, yet he's been unable to find anything affordable.

Hivyo basi Juno aliamua kuangalia mtandaoni badala yake. Therefore|so|Juno|decided|to look|online|instead|his So then Kevin decided to look online instead.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alitumai kuwa bidhaa za mtandaoni zingekuwa nafuu zaidi. Although|he/she does not believe|completely|purchase|of|online|he/she hoped|that|products|of|online|would be|cheaper|more Even though he doesn't really trust online shopping, he hoped that online products would be more affordable.

Baada ya kutafuta na kusogeza kwa saa chache, Juno alipata simu ambayo aliipenda. After|of|searching|and|moving|for|hours|few|Juno|found|phone|which|he liked it After searching and scrolling for a few hours, Kevin found a phone that he liked.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua. It was|about|half|of|price|of|another|so|he bought it It was about half the price of the others, so he bought it.

Anatumai itadumu kwa muda mrefu. He hopes|it will last|for|time|long He hopes it will last a long time.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here|there is|story|same||in|way|different Here is the same story told in a different way.

Mwanangu amekuwa akitafuta simu mpya. My child|has been|searching for|phone|new My son has been looking for a new phone.

Ametafuta maduka mengi katika eneo tunaloishi, lakini ameshindwa kupata ya bei nafuu. He has searched|shops|many|in|area|we live|but|he has failed|to find|of|price|affordable He has looked in many stores in the area where we live, but he hasn't been unable to find an affordable one.

Aliamua kuangalia mtandaoni badala yake. He decided|to look|online|instead|of him He decided to look online instead.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alikuwa na matumaini kwamba maduka ya mtandaoni yangemulika zaidi. Although|he/she believes|completely|shopping|of|online|he/she was|with|hopes|that|stores|of|online|would shine|more Even though he doesn't really trust online shopping, he was hoping that the online stores would be more affordable.

Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu aliyoipenda. After|of|searching|and|browsing|for|hours|few|he found|phone|that he liked After searching and scrolling for a few hours, he found a phone that he liked.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua. It was|about|half|of|price|of||so|he bought it It was about half the price of the others, so he bought it.

Natumai itadumu kwake kwa muda mrefu. I hope|it will last|for him|for|time|long I hope it'll last him a long time.

Maswali: Questions Questions:

Moja: Juno amekuwa akitafuta simu mpya. One|Juno|has been|searching for|phone|new One: Kevin has been looking for a new phone.

Juno amekuwa akitafuta nini? Juno|has been|searching for|what What has Kevin been looking for?

Juno amekuwa akitafuta simu mpya. Juno|has been|searching for|phone|new Kevin has been looking for a new phone.

Mbili: Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi. Two|He has searched|stores|many|in|area|where he lives Two: He has looked in many stores in the area where he lives.

Ameangalia wapi? he is looking| Where has he looked?

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi. He has searched|shops|many|in|area|where he lives He has looked in many stores in the area where he lives.

Tatu: Hata hivyo, ameshindwa kupata ya bei nafuu. |However|thus|he has failed|to find|of|price|affordable Three: Nonetheless, he's been unable to find an affordable one.

Je, ameweza kupata simu ya bei nafuu? question particle|has he/she been able|to find|phone|of|price|cheap Has he been able to find an affordable phone?

Hapana, ameshindwa kupata ya bei nafuu. No|he has failed|to find|of|price|cheap No, he's been unable to find an affordable one.

Nne: Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake. Four|Juno|has decided|to study|online|instead|of him Four: Kevin has decided to look online instead.

Juno ameamua kuangalia wapi badala yake? Juno|has decided|to look|where|instead|his Where has Kevin decided to look instead?

Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake. Juno|has decided|to watch|online|instead|his Kevin has decided to look online instead.

Tano: Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, anatumai kuwa maduka ya mtandaoni yatakuwa na bei nafuu zaidi. Tano|Although|he/she does not believe|completely|shopping|of|online|he/she hopes|that|stores|of|online|will be|with|prices|cheaper|more Five: Even though he doesn't really trust online shopping, he hopes online stores will be more affordable.

Je, anaamini ununuzi wa mtandaoni? |she believes||| Does he trust online shopping?

Hapana, haamini kabisa ununuzi mtandaoni. No|he/she does not believe|at all|shopping|online No, he doesn't really trust online shopping.

Sita: Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu anayoipenda. |After|of|searching|and|browsing|for|hours|few|he found|phone|that he likes Six: After searching and scrolling for a few hours, he found a phone that he likes.

Je, alitafuta na kusogeza mtandaoni kwa muda gani? question particle|he/she searched|and|to move|online|for|time|how long How long did he search and scroll online?

Saa chache. Hour|few A few hours.

Alipata simu ambayo aliipenda baada ya kuitafuta na kuperuzi kwa saa chache. He found|phone|which|he liked|after|of|searching for it|and|browsing|for|hours|few He found a phone that he liked after searching and scrolling for a few hours.

Saba: Ni karibu nusu ya bei ya zingine, kwa hivyo aliinunua. Seven|It is|about|half|of|price|of|others|so|therefore|he bought it Seven: It's about half the price of the others, so he bought it.

Kwa nini aliinunua? Why|what|did he/she buy Why did he buy it?

Kwa sababu ni karibu nusu ya bei ya zingine. Because|it is|nearly|half|of the price|of|||others Because it's about half the price of the others.

Nane: Anatumai haitavunjika kirahisi, na kwamba itadumu kwa muda mrefu. Eight|He hopes|it won't break|easily|and|that|it will last|for|time|long Eight: He hopes it won't break easily, and that it will last a long time.

Anatarajia nini hakitatokea? He/She expects|what|will not happen What does he hope won't happen?

Anatumai haitavunjika kirahisi. He hopes|it won't break|easily He hopes it won't break easily.