×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

LingQ Mini Stories, 9- Jina Lake Ni Rebeca

Ibrahim ana mchumba mpya.

Jina la mchumba wake ni Rebeca.

Ibrahim anataka kumuandalia Rebeca chakula cha usiku.

Anaenda katika duka la vyakula.

Ibrahim anachukua kikapu na mkokoteni.

Anatembea kupita safu ya mboga za majani.

Anaangalia samaki ndani ya friji.

Anasimama karibu na dirisha la saladi.

Mwisho, anaondoka dukani humo.

Ibrahim anaenda nyumbani na kuagiza piza.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Ibrahim.

Nina mchumba mpya.

Jina lake ni Rebeca.

Ninataka kuandaa chakula cha jioni kwa ajili ya Rebeca.

Ninaenda katika duka la vyakula.

Ninachukua kikapu na mkokoteni.

Ninatembea kupita safu ya mboga za majani.

Ninaangalia samaki ndani ya friji.

Ninasimama karibu na dirisha la saladi.

Mwisho, nikaondoka dukani humo.

Nikaenda nyumbani na kuagiza piza.

Maswali.

1) Ibrahim ana mchumba mpya anaeitwa Rebeca. Je, Ibrahim ana mchumba mpya? Ndiyo, Ibrahim ana mchumba mpya. Jina lake ni Rebeca.

2) Ibrahim anataka kumuandalia Rebeca chakula cha usiku. Je, Ibrahim anataka kuandaa chakula cha mchana kwa ajili ya Rebeca? Hapana, Ibrahim hataki kuandaa chakula cha mchana kwa ajili ya Rebeca. Anataka kumuandalia chakula cha usiku.

3) Ibrahim anaenda katika duka la vyakula kununua vyakula. Je, Ibrahim alienda katika duka la vyakula? Ndiyo, Ibrahim alienda katika duka la vyakula kununua vyakula.

4) Ibrahim anatembea kupita safu ya mboga za majani. Je, Ibrahim alinunua mboga za majani? Hapana, Ibrahim hakununua mboga za majani. Alitembea kupita safu ya mboga za majani.

5) Ibrahim anaangalia samaki ndani ya friji, lakini hakununua yoyote. Je, Ibrahim aliangalia samaki? Ndiyo, Ibrahim aliangalia samaki ndani ya friji, lakini hakununua yoyote.

6) Ibrahim mwisho anaondoka dukani humo na kwenda nyumbani. Je, Ibrahim alibaki dukani? Hapana, Ibrahim mwisho aliondoka dukani na kwenda nyumbani.

7) Ibrahim anaagiza piza badala yake. Je, Ibrahim aliandaa chakula cha usiku? Hapana, Ibrahim hakuandaa chakula cha usiku. Aliagiza piza badala yake.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Ibrahim ana mchumba mpya. Ibrahim|has|fiancé|new Andy has a new girlfriend. Ibrahim a une nouvelle petite amie.

Jina la mchumba wake ni Rebeca. The name|of|fiancé|his|is|Rebeca His girlfriend's name is Sara. Le nom de sa fiancée est Rebeca.

Ibrahim anataka kumuandalia Rebeca chakula cha usiku. Ibrahim|wants|to prepare for her|Rebeca|food|of|evening Andy wants to make dinner for Sara. Ibrahim veut préparer le dîner pour Rebeca.

Anaenda katika duka la vyakula. He goes|to|store|of|groceries He goes to the grocery store. Il va à l'épicerie.

Ibrahim anachukua kikapu na mkokoteni. Ibrahim|takes|basket|and|cart Andy gets a basket and a cart. Ibrahim prend le panier et la charrette. Ibrahim neemt de mand en de kar.

Anatembea kupita safu ya mboga za majani. He walks|past|row|of|vegetables|of|greens Er geht an einer Reihe grüner Gemüsesorten vorbei. He walks past the vegetable aisle. Il passe devant une rangée de légumes verts. Hij loopt langs een rij groene groenten.

Anaangalia samaki ndani ya friji. He is looking at|fish|inside|the|refrigerator He looks at the fish in the freezer. Il regarde le poisson dans le frigo.

Anasimama karibu na dirisha la saladi. He/She stands|near|and|window|of|salad He stands near the salad counter. Il se tient près de la vitrine à salade. Hij staat bij het saladeraam.

Mwisho, anaondoka dukani humo. Finally|he leaves|from the store|inside Schließlich verlässt er den Laden. Finally, he leaves the store. Finalement, il quitte le magasin.

Ibrahim anaenda nyumbani na kuagiza piza. Ibrahim|goes|home|and|orders|pizza Andy goes home and orders pizza. Ibrahim rentre chez lui et commande une pizza. Ibrahim gaat naar huis en bestelt een pizza.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Ibrahim. This|is|story|that|told|by|Ibrahim Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Ibrahim.

Nina mchumba mpya. I have|boyfriend|new I have a new girlfriend.

Jina lake ni Rebeca. Name|her|is|Rebeca Her name is Sara.

Ninataka kuandaa chakula cha jioni kwa ajili ya Rebeca. I want|to prepare|food|for|evening|for|the sake of|of|Rebeca I want to make dinner for Sara. Je veux préparer le dîner pour Rebeca.

Ninaenda katika duka la vyakula. I am going|to|store|of|groceries I go to the grocery store.

Ninachukua kikapu na mkokoteni. I take|basket|and|cart I get a basket and a cart.

Ninatembea kupita safu ya mboga za majani. I walk|past|row|of|vegetables|of|greens I walk past the vegetable aisle.

Ninaangalia samaki ndani ya friji. I am looking at|fish|inside|of|refrigerator I look at the fish in the freezer.

Ninasimama karibu na dirisha la saladi. I am standing|near|and|window|of|salad I stand near the salad counter. Je me tiens près de la vitrine à salade.

Mwisho, nikaondoka dukani humo. Finally|I left|from the store|inside Finally, I leave the store.

Nikaenda nyumbani na kuagiza piza. I went|home|and|to order|pizza I go home and order pizza.

Maswali. Questions Questions:

1) Ibrahim ana mchumba mpya anaeitwa Rebeca. Ibrahim|has|fiancée|new|called|Rebeca One: Andy has a new girlfriend named Sara. Je, Ibrahim ana mchumba mpya? Does Andy have a new girlfriend? Ndiyo, Ibrahim ana mchumba mpya. Yes|Ibrahim|has|fiancé|new Yes, Andy has a new girlfriend. Jina lake ni Rebeca. Name|her|is|Rebeca Her name is Sara.

2) Ibrahim anataka kumuandalia Rebeca chakula cha usiku. Ibrahim|wants|to prepare for her|Rebeca|food|of|evening Two: Andy wants to make Sara dinner. 2) Ibrahim veut préparer le dîner pour Rebeca. Je, Ibrahim anataka kuandaa chakula cha mchana kwa ajili ya Rebeca? |Ibrahim|wants|to prepare|food|of|lunch|for|the purpose of|of|Rebeca Does Andy want to make lunch for Sara? Hapana, Ibrahim hataki kuandaa chakula cha mchana kwa ajili ya Rebeca. No|Ibrahim|does not want|to prepare|food|of|lunch|for|the sake of|of|Rebeca No, Andy does not want to make lunch for Sara. Anataka kumuandalia chakula cha usiku. He wants|to prepare for him|food|of|evening He wants to make her dinner.

3) Ibrahim anaenda katika duka la vyakula kununua vyakula. Ibrahim|goes|to|store|of|groceries|to buy| Three: Andy goes to the grocery store to buy food. Je, Ibrahim alienda katika duka la vyakula? question particle|Ibrahim|went|to|store|of|groceries Does Andy go to the grocery store? Ndiyo, Ibrahim alienda katika duka la vyakula kununua vyakula. Yes|Ibrahim|went|to|store|of|groceries|to buy|food Yes, Andy goes to the grocery store to buy food.

4) Ibrahim anatembea kupita safu ya mboga za majani. Ibrahim|walks|past|row|of|vegetables|of|greens Four: Andy walks past the vegetable section. Je, Ibrahim alinunua mboga za majani? question particle|Ibrahim|bought|vegetables|of|greens Does Andy buy vegetables? Hapana, Ibrahim hakununua mboga za majani. No|Ibrahim|did not buy|vegetables|of|greens No, Andy does not buy vegetables. Alitembea kupita safu ya mboga za majani. He walked|past|row|of|vegetables|of|greens He walks past the vegetable section.

5) Ibrahim anaangalia samaki ndani ya friji, lakini hakununua yoyote. Ibrahim|is looking at|fish|inside|the|refrigerator|but|he did not buy|any Five: Andy looks at the fish in the freezer, but he doesn't buy any. Je, Ibrahim aliangalia samaki? question particle|Ibrahim|looked at|fish Does Andy look at the fish? Ndiyo, Ibrahim aliangalia samaki ndani ya friji, lakini hakununua yoyote. Yes|Ibrahim|looked at|fish|inside|the|fridge|but|he did not buy|any Yes, Andy looks at the fish in the freezer, but he doesn't buy any.

6) Ibrahim mwisho anaondoka dukani humo na kwenda nyumbani. Ibrahim|finally|leaves|from the store|there|and|goes|home Six: Andy finally leaves the store and goes home. Je, Ibrahim alibaki dukani? question particle|Ibrahim|stayed|at the store Does Andy stay in the store? Hapana, Ibrahim mwisho aliondoka dukani na kwenda nyumbani. No|Ibrahim|finally|left|from the shop|and|went|home No, Andy finally leaves the store and goes home. Non, Ibrahim a finalement quitté le magasin et est rentré chez lui.

7) Ibrahim anaagiza piza badala yake. Ibrahim|orders|pizza|instead|of him 7) Ibrahim bestellt stattdessen Pizza. Seven: Andy orders pizza instead. 7) Ibrahim commande une pizza à la place. Je, Ibrahim aliandaa chakula cha usiku? question particle|Ibrahim|prepared|food|of|dinner Does Andy make dinner? Ibrahim a-t-il préparé le dîner ? Hapana, Ibrahim hakuandaa chakula cha usiku. No|Ibrahim|did not prepare|food|for|dinner No, Andy does not make dinner. Aliagiza piza badala yake. He ordered|pizza|instead|of it He orders pizza instead.