×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

Who is She?, 13- Nimewaza Tena

Lakini ni lazima unipe dola mia tano sasa hivi.

Ni itakuwaje nikikupa hundi ya dola mia tano?

Utakubali hio?

Sawa, Niandikie hundi na nitafanya kile utakachosema.

Ni benki ipi inashughulikia hundi hio?

Benki ya Kwanza ya Taifa.

Sijawahi kusikia kuhusu benki hiyo.

Ni benki maarufu katika nchi yangu.

Unajua, nimewaza tena.

Kwa wazo la pili, sitaki kufanya unachotaka.

Lakini umesema utafanya, muda mfupi uliopita.

Unaniomba nifanye kitu ambacho hakina uaminifu.

Lakini ulikubali mwanzoni.

Hata ingawa nilisema ningefanya, sasa nimebadilisha mawazo yangu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Lakini ni lazima unipe dola mia tano sasa hivi. But|it is|necessary|you give me|dollars|one hundred|five|right|now But you must give me the five hundred dollars right now.

Ni itakuwaje nikikupa hundi ya dola mia tano? It|will be how|if I give you|check|of|dollars|hundred|five What if I just gave you a check for five hundred dollars?

Utakubali hio? Will you accept|that Would you accept that?

Sawa, Niandikie hundi na nitafanya kile utakachosema. Okay|Write me|check|and|I will do|what|you will say OK, Write me a check and I will do what you say.

Ni benki ipi inashughulikia hundi hio? Which|bank|which|handles|check|that Which bank is the check written on?

Benki ya Kwanza ya Taifa. Bank|of|First|of|Nation The First National Bank.

Sijawahi kusikia kuhusu benki hiyo. I have never|heard|about|bank|that I have never heard of that bank.

Ni benki maarufu katika nchi yangu. It is|bank|famous|in|country|my It is a famous bank in my country.

Unajua, nimewaza tena. You know|I have thought|again You know, I have thought it over again.

Kwa wazo la pili, sitaki kufanya unachotaka. For|thought|of|second|I don't want|to do|what you want On second thought, I do not want to do what you ask.

Lakini umesema utafanya, muda mfupi uliopita. But|you said|you will do|time|short|ago But you just said you would help me a little earlier.

Unaniomba nifanye kitu ambacho hakina uaminifu. You ask me|to do|something|that|does not have|trust You are asking me to do something which is not honest.

Lakini ulikubali mwanzoni. But|you accepted|at first But you agreed at first.

Hata ingawa nilisema ningefanya, sasa nimebadilisha mawazo yangu. Even|though|I said|I would do|now|I have changed|thoughts|my Even though I said I would, I have now changed my mind.