×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

Habari za UN, Jifunze Kiswahili: Uchambuzi wa neno, "RUWI" | | Habari za UN

Jifunze Kiswahili: Uchambuzi wa neno, "RUWI" | | Habari za UN

Sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "RUWI" na mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Kuna baadhi ya watu ambao wana uwezo wa kufanya udanganyifu bila ya kuhofia kitu chochote kile. Hawa ni watu wanaweza kuwa wanafanya ulaghai, bila hofu yoyote. Na ulaghai unaweza kuwa ni wa mara kwa mara. Mwongo, anaweza kuwa mzushi, anaweza kuwa mzandiki, tapeli, bazazi na kadhalika. Mtu wa namna hii kwa Uswahili anaitwa ruwi. Ruwi ni mtu mwenye tabia ya kufanya udanganyifu bila ya kuhofia kitu chochote. Yaani, hana woga wa namna yoyote katika kufanya kwake udanganyifu, kufanya kwake uwongo, uzandiki, uzushi, utapeli na ubazazi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Jifunze Kiswahili: Uchambuzi wa neno, "RUWI" | | Habari za UN Kiswahili lernen: Analyse des Wortes „RUWI“ | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: Analysis of the word, "RUWI" | | UN news Apprendre le kiswahili : analyse du mot "RUWI" | | Actualités de l'ONU Aprenda Kiswahili: Análise da palavra "RUWI" | | notícias da ONU

Sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. Now is the time to learn the Swahili language. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "RUWI" na mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. |we are explained|||||||||||||||||||| Today we are explained the meaning of the word "RUWI" by our expert Onni Sigalla, Senior Editor of the National Swahili Council in Tanzania, BAKITA.

Kuna baadhi ya watu ambao wana uwezo wa kufanya udanganyifu bila ya kuhofia kitu chochote kile. |||||||||deception|||||| There are some people who have the ability to deceive without fearing anything. Hawa ni watu wanaweza kuwa wanafanya ulaghai, bila hofu yoyote. These are people who can be engaging in fraud, without any fear. Na ulaghai unaweza kuwa ni wa mara kwa mara. And fraud can be habitual. Mwongo, anaweza kuwa mzushi, anaweza kuwa mzandiki, tapeli, bazazi na kadhalika. |||liar|||liar||scammer|| A liar, can be a fabricator, a forger, a scammer, a hustler, and so on. Mtu wa namna hii kwa Uswahili anaitwa ruwi. |||||Swahili|| A person of this kind in Swahili is called a cheat. Ruwi ni mtu mwenye tabia ya kufanya udanganyifu bila ya kuhofia kitu chochote. Ruwi is a person|||||||||||| A cheat is a person who has the habit of deceiving without fear of anything. Yaani, hana woga wa namna yoyote katika kufanya kwake udanganyifu, kufanya kwake uwongo, uzandiki, uzushi, utapeli na ubazazi. |||||||||||||deceit|falsehood|scamming||deceitfulness In other words, he has no fear in committing deception, lying, fraud, forgery, trickery, and imposture.