×

Wir verwenden Cookies, um LingQ zu verbessern. Mit dem Besuch der Seite erklärst du dich einverstanden mit unseren Cookie-Richtlinien.

image

Habari za UN, The Africa Soft Power Rwanda ujumuishe wanawake katika mkutano wao: UN | | Habari za UN

The Africa Soft Power Rwanda ujumuishe wanawake katika mkutano wao: UN | | Habari za UN

Viongozi, watafiti, vijana, na wanawake kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekusanyika Kigali kwa ajili ya mkutano wa pili wa Africa Soft Power kuanzia tarehe 23 hadi 27 Mei 2023.

Mkutano huu umeandaliwa kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa nchini Rwanda. Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa Rwanda ni Ozonnia Ojielo anasema

“ Mkutano wa Soft Power Africa, ni mradi mzuri unaohusu ukweli kwamba tunahitaji wote wanaume na wanawake ili kusaidia kuleta mabadiliko katika jamii, ni kuhusu kuwawezesha wanawake kufikia uwezo wao na hivyo majadiliano haya yanaangazia machaguo mbalimbali lakini hususani kuhusu jukumu la sekta binafsi , nafasi ya uwezeshaji wa kiuchumi kama nyenzo kwa ajili ya mabadiliko, na ndio sababu mfumo wa Umoja wa Mataifa nchini Rwanda unafuha kushirikiana na mradi huu wa Soft Power Africa “

Mkutano wa Africa Soft Power ni tukio kuu ambalo lengo lake ni kukuza viwanda vya ubunifu vya Afrika, uchumi wa maarifa, na kutumia nguvu yake laini kwa maendeleo. Balozi Amina Mohamed kutoka Kenya alikuwa na haya ya kusema kuhusu mradi huu

" Nadhani hili ni jukwaa zuri sana na ninafurahi kwamba hii ni mara ya pili tu linafanyika, na hivyo matarajio yangu ni kwamba nitahudhuria pia lijalo, ili tuweze kuona kwamba tunachokizungumzia ni athari za maendeleo katika bara zima.”

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Rwanda aliongoza majadiliano ya jopo ambalo lilichunguza jukumu la taasisi za jadi za Kiafrika katika kukuza maendeleo ya bara hilo, na mifano ni mingi kama asemavyo Mfalme wa Onitsha jimbo la Anambra Kusini Mashariki mwa Nigeria Mfalme Nnaemeka Alfred Achebe

“ Tukisukumwa na janga la COVID-19 tuliharakisha mpango tulioanzisha mnamo 2017 mwanzoni mwa jukwaa la maendeleo yetu ya jamii. Tulipata takriban vijana 100 wa kike na wa kiume, ambao miaka minne iliyopita, walikuwa hawafanyi lolote, leo wanaendesha biashara zao kwa mafanikio.”

Majadiliano ya kushirikiana katika Mkutano wa Africa Soft Power yalilenga maeneo ya mada matatu: uongozi wa wanawake, nguvu ya ubunifu na uchumi wa kisasa, na kusherehekea sauti za Kiafrika na za diaspora ya kisasa.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

The Africa Soft Power Rwanda ujumuishe wanawake katika mkutano wao: UN | | Habari za UN |||||coinvolga|||||||| Die Africa Soft Power Ruanda sollte Frauen in ihr Treffen einbeziehen: UN | | UN-Nachrichten The Africa Soft Power Rwanda should include women in their meeting: UN | | UN news Africa Soft Power Ruanda debería incluir mujeres en su reunión: ONU | | noticias de la ONU L'Africa Soft Power Rwanda devrait inclure les femmes à sa réunion : ONU | | Actualités de l'ONU De Africa Soft Power Rwanda zou vrouwen moeten betrekken bij hun bijeenkomst: VN | | VN nieuws O Africa Soft Power Ruanda deve incluir mulheres em seu encontro: ONU | | notícias da ONU «Мягкая сила Африки» в Руанде должна включать женщин в свою встречу: ООН | | Новости ООН Africa Soft Power Rwanda bör inkludera kvinnor i sitt möte: FN | | FN-nyheter 非洲软实力卢旺达会议应包括妇女:联合国 | |联合国新闻

Viongozi, watafiti, vijana, na wanawake kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekusanyika Kigali kwa ajili ya mkutano wa pili wa Africa Soft Power kuanzia tarehe 23 hadi 27 Mei 2023. Leader|ricercatori|||||||||si sono riuniti||||||||||||||| Leaders, researchers, youth, and women from different parts of the world have gathered in Kigali for the second meeting of Africa Soft Power from 23 to 27 May 2023. Des dirigeants, des chercheurs, des jeunes et des femmes du monde entier se sont rassemblés à Kigali pour la deuxième conférence sur le Soft Power de l'Afrique du 23 au 27 mai 2023.

Mkutano huu umeandaliwa kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa nchini Rwanda. ||||collaborazione|||||| This meeting has been organized in collaboration with the United Nations in Rwanda. Cette conférence a été organisée en collaboration avec les Nations Unies en République du Rwanda. Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa Rwanda ni Ozonnia Ojielo anasema Mratibu|||||||||| The resident coordinator of the United Nations in Rwanda is Ozonnia Ojielo says Le coordonnateur résident des Nations Unies au Rwanda, Ozonnia Ojielo, déclare

“ Mkutano wa Soft Power Africa, ni mradi mzuri unaohusu ukweli kwamba tunahitaji wote wanaume na wanawake ili kusaidia kuleta mabadiliko katika jamii, ni kuhusu kuwawezesha wanawake kufikia uwezo wao na hivyo majadiliano haya yanaangazia machaguo mbalimbali lakini hususani kuhusu jukumu la sekta binafsi , nafasi ya uwezeshaji wa kiuchumi kama nyenzo kwa ajili ya mabadiliko, na ndio sababu mfumo wa Umoja wa Mataifa nchini Rwanda unafuha kushirikiana na mradi huu wa Soft Power Africa “ ||||||||||||||||||||||||||||||||||choix|||||||||||autonomisation|||||||||||||||||||de|||||||| ||||||||||||||||||||||||empower|||||||discussions|||choices|||||||||||||||||||||||||||||||||||||| ||||||progetto||che riguarda||||||||||portare|cambiamenti|||||abilitare|||capacità||||cambiamenti|||scelte|||riguarda||responsabilità||settore|personale|opportunità||empowerment||economico||risorse||||cambiamenti||||sistema|||||||che|collaborare||||||| "The Soft Power Africa Conference is a good project about the fact that we need both men and women to help bring about change in society, it is about empowering women to reach their potential and so this discussion highlights various options but especially about the role of the private sector, the role of empowerment economic as a tool for change, and that is why the United Nations system in Rwanda wants to cooperate with this Soft Power Africa project.

Mkutano wa Africa Soft Power ni tukio kuu ambalo lengo lake ni kukuza viwanda vya ubunifu vya Afrika, uchumi wa maarifa, na kutumia nguvu yake laini kwa maendeleo. ||||||||||||||||||||savoir||||||| ||||||||||||promote||||||||||||||| ||||||evento|||obiettivo|||promuovere|industrie||innovazione|||economia||conoscenza|||forza||soft||sviluppo Balozi Amina Mohamed kutoka Kenya alikuwa na haya ya kusema kuhusu mradi huu

" Nadhani hili ni jukwaa zuri sana na ninafurahi kwamba hii ni mara ya pili tu linafanyika, na hivyo matarajio yangu ni kwamba nitahudhuria pia lijalo, ili tuweze kuona kwamba tunachokizungumzia ni athari za maendeleo katika bara zima.” |||||||||||||||se déroule|||||||j'assisterai||demain|||||ce dont nous parlons||||||| |||||||||||||||||||||||||||||we are discussing||||development||| |||||||||||||||si svolge|||aspettative||||partecipare||prossimo|||||||athari||sviluppo||bara|

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Rwanda aliongoza majadiliano ya jopo ambalo lilichunguza jukumu la taasisi za jadi za Kiafrika katika kukuza maendeleo ya bara hilo, na mifano ni mingi kama asemavyo Mfalme wa Onitsha jimbo la Anambra Kusini Mashariki mwa Nigeria Mfalme Nnaemeka Alfred Achebe |||||||||||||a examiné|||||||||||||||||||comme||||||Anambra|||||||| |||||||||||||investigated||||||||||||||||||||king||||||||||||| Mratibu||||||||ha guidato|discussioni||panel||ha esaminato|ruolo||istituzioni||tradizionali||||promuovere|||||||||||||||||||||||| Le Coordonnateur résident des Nations Unies au Rwanda a dirigé des discussions d'un panel qui a examiné le rôle des institutions traditionnelles africaines dans la promotion du développement du continent, avec de nombreux exemples, comme le dit le Roi d'Onitsha dans l'État d'Anambra au Sud-Est du Nigéria, le Roi Nnaemeka Alfred Achebe.

“ Tukisukumwa na janga la COVID-19 tuliharakisha mpango tulioanzisha mnamo 2017 mwanzoni mwa jukwaa la maendeleo yetu ya jamii. Essendo colpiti|||||abbiamo accelerato||che avevamo avviato|nel|||||||| « Poussés par la pandémie de COVID-19, nous avons accéléré le programme que nous avions lancé en 2017 au début de notre plateforme de développement communautaire. Tulipata takriban vijana 100 wa kike na wa kiume, ambao miaka minne iliyopita, walikuwa hawafanyi lolote, leo wanaendesha biashara zao kwa mafanikio.” |||||||||||||they were doing||||||| ||||||||||||||nulla||||||successo Nous avons obtenu environ 100 jeunes, filles et garçons, qui il y a quatre ans, ne faisaient rien, aujourd'hui ils gèrent avec succès leurs propres entreprises. »

Majadiliano ya kushirikiana katika Mkutano wa Africa Soft Power yalilenga maeneo ya mada matatu: uongozi wa wanawake, nguvu ya ubunifu na uchumi wa kisasa, na kusherehekea sauti za Kiafrika na za diaspora ya kisasa. |||||||||||||||||||||||||||||||diaspora|| |||||||||focused on||||||||||||||||celebrating||||||diaspora|| discussioni||collaborazione|||||||erano|aree||temi||leadership|||forza||creatività||economia||moderno||celebrare||||||||moderno Les discussions de collaboration lors de la conférence Africa Soft Power ont porté sur trois domaines thématiques : le leadership des femmes, la puissance créative et l'économie moderne, ainsi que la célébration des voix africaines et de la diaspora contemporaine.