×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

image

LingQ Mini Stories, 4- Ni Mwanafunzi Mzuri

Binti yangu huwa anakwenda shule kila siku.

Huwa anapenda shule sana.

Ni mwanafunzi mzuri shuleni.

Walimu wanampenda binti yangu sana.

Binti yangu pia ana marafiki wengi.

Rafiki yake wa karibu ni Mariam.

Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi.

Binti yangu huwa anapenda Kiingereza na historia.

Huwa wanasaidiana na kazi zao za nyumbani.

Wanasoma kwa bidii na wanafanya vizuri shuleni.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na binti huyo.

Huwa ninakwenda shule kila siku.

Ninapenda shule sana

Mimi ni mwanafunzi mzuri shuleni.

Walimu wangu wananipenda sana.

Pia nina marafiki wengi.

Rafiki yangu wa karibu ni Mariam.

Huwa anapenda hesabu na sayansi.

Mimi ninapenda Kiingereza na historia.

Huwa tunasaidiana na kazi zetu za nyumbani.

Tunasoma kwa bidii na tunafanya vizuri shuleni.

Maswali:

1) Binti huyo huwa anakwenda shuleni kila siku. Je, binti huyo huwa anaenda shuleni kila siku? Ndiyo, huwa anaenda shule kila siku.

2) Binti huyo huwa anapenda shule. Je, Binti huyo huwa anapenda shule? Ndiyo, huwa anapenda shule.

3) Binti huyo ni mwanafunzi mzuri. Je, binti huyu ni mwanafunzi mbaya? Hapana, binti huyo sio mwanafunzi mbaya. Ni mwanafunzi mzuri.

4) Walimu wanampenda binti huyo. Je, walimu wanampenda binti huyo? Ndiyo, walimu wanampenda.

5) Rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. Je, rafiki yake wa karibu anaitwa Anna? Hapana, rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam.

6) Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Je, Mariam huwa anapenda Kiingeleza na historia? Hapana, huwa anapenda hisabati na sayansi.

7) Binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. Je, binti huyo anafanya vizuri shuleni? Ndiyo, binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Binti yangu huwa anakwenda shule kila siku. My daughter|my|usually|she goes|to school|every|day Meine Tochter geht jeden Tag zur Schule. My daughter goes to school every day. Ma fille va à l'école tous les jours. Mijn dochter gaat elke dag naar school.

Huwa anapenda shule sana. He usually|loves|school|very much Er mag die Schule immer sehr. She likes school very much. Il aime toujours beaucoup l'école.

Ni mwanafunzi mzuri shuleni. It is|student|good|at school She is a good student at school. C'est un bon élève à l'école. Ele é um bom aluno na escola.

Walimu wanampenda binti yangu sana. The teachers|love him|daughter|my|very much The teachers like my daughter a lot. Les professeurs aiment beaucoup ma fille.

Binti yangu pia ana marafiki wengi. Daughter|my|also|has|friends|many Meine Tochter hat auch viele Freunde. My daughter also has many friends. Ma fille a aussi de nombreux amis.

Rafiki yake wa karibu ni Mariam. His friend|his|of|close|is|Mariam Ihre beste Freundin ist Mariam. Her best friend is Amy. Sa meilleure amie est Mariam.

Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Mariam|||mathematics|and|science Mariam mag Mathematik und Naturwissenschaften. Amy likes math and science.

Binti yangu huwa anapenda Kiingereza na historia. My daughter|my||loves|English|and|history My daughter likes English and history. Ma fille aime toujours l'anglais et l'histoire.

Huwa wanasaidiana na kazi zao za nyumbani. They usually|help each other|with|chores|their|of|home Sie helfen sich immer gegenseitig bei den Hausaufgaben. They help each other with homework. Ze helpen elkaar altijd met hun huiswerk.

Wanasoma kwa bidii na wanafanya vizuri shuleni. They study|with|diligence|and|they perform|well|in school Sie lernen fleißig und sind in der Schule gut. They study hard and do well in school. Eles estudam muito e vão bem na escola.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na binti huyo. This|is|story|that|told|by|girl|that Dies ist die Geschichte, die das Mädchen erzählt. Here is the same story told in a different way. Dit is het verhaal, verteld door het meisje.

Huwa ninakwenda shule kila siku. I usually|go|to school|every|day I go to school every day.

Ninapenda shule sana I love|school|very much I like school very much.

Mimi ni mwanafunzi mzuri shuleni. I|am|student|good|at school I am a good student at school.

Walimu wangu wananipenda sana. My teachers|me|love me|very much My teachers like me a lot.

Pia nina marafiki wengi. Also|I have|friends|many Ich habe auch viele Freunde. I also have many friends.

Rafiki yangu wa karibu ni Mariam. My friend|my|of|close|is|Mariam My best friend is Amy.

Huwa anapenda hesabu na sayansi. He usually|loves|mathematics|and|science Er mag Mathematik und Naturwissenschaften. She likes math and science.

Mimi ninapenda Kiingereza na historia. I|love|English|and|history I like English and history.

Huwa tunasaidiana na kazi zetu za nyumbani. We usually|help each other|with|work|our|of|home We help each other with homework.

Tunasoma kwa bidii na tunafanya vizuri shuleni. We study|with|diligence|and|we do|well|in school Wir lernen fleißig und sind in der Schule gut. We study hard and do well in school.

Maswali: Questions Questions:

1) Binti huyo huwa anakwenda shuleni kila siku. The girl|that||walks|to school|every|day One: The daughter goes to school every day. Je, binti huyo huwa anaenda shuleni kila siku? question particle|girl|that||goes|to school|every|day Does the daughter go to school every day? Ndiyo, huwa anaenda shule kila siku. Yes|usually|he/she goes|school|every|day Yes, she goes to school every day.

2) Binti huyo huwa anapenda shule. The girl|that||loves|school Two: The daughter likes school. Je, Binti huyo huwa anapenda shule? question particle|The girl|that||loves|school Does the daughter like school? Ndiyo, huwa anapenda shule. Yes|usually|he/she loves|school Yes, she likes school.

3) Binti huyo ni mwanafunzi mzuri. The girl|that|is|student|good Three: The daughter is a good student. Je, binti huyu ni mwanafunzi mbaya? Is|girl|this|is|student|bad Is the daughter a bad student? Hapana, binti huyo sio mwanafunzi mbaya. No|girl|that|is not|student|bad No, the daughter is not a bad student. Ni mwanafunzi mzuri. He/She is|student|good She is a good student.

4) Walimu wanampenda binti huyo. The teachers|love him/her|girl|that Four: The teachers like the daughter. Je, walimu wanampenda binti huyo? question particle|the teachers|love him/her|girl|that Do the teachers like the daughter? Ndiyo, walimu wanampenda. Yes|the teachers|love him Yes, the teachers like her.

5) Rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. His friend|his|of|close|is called|Mariam Five: Her best friend is named Amy. 5) Sa meilleure amie s'appelle Mariam. Je, rafiki yake wa karibu anaitwa Anna? question particle|friend|his/her|of|close|is called|Anna Is her best friend named Julie? Hapana, rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. No|friend|his|of|close|is called|Mariam No, her best friend is named Amy.

6) Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Mariam|||mathematics|and|science Six: Amy likes math and science. Je, Mariam huwa anapenda Kiingeleza na historia? question particle|Mariam||loves|English|and|history Does Amy like English and history? Hapana, huwa anapenda hisabati na sayansi. No||likes|mathematics|and|science No, she likes math and science. Non, il aime toujours les mathématiques et les sciences.

7) Binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. The girl|that|and|Mariam|they do|well|in school Seven: The daughter and Amy do well in school. Je, binti huyo anafanya vizuri shuleni? question particle|girl|that|does|well|in school Does the daughter do well in school? La fille réussit-elle bien à l'école ? Ndiyo, binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. Yes|daughter|that|and|Mariam|they do|well|in school Yes, the daughter and Amy do well in school. Oui, la fille et Mariam réussissent bien à l'école.