×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

image

LingQ Mini Stories, 40 - Wanini Ana Familia Kubwa

Wanini ana watu wengi katika familia yake.

Ana kaka, dada, na binamu wengi.

Ndugu ya Wanini ni mkubwa kuliko Wanini.

Yeye pia ana sauti na mcheshi kuliko Wanini.

Dada ya Wanini ni mdogo kuliko Wanini.

Dada ya Wanini pia ni mfupi na mwenye urafiki zaidi.

Dadake Wanini anapenda kuongea na watu kuliko Wanini.

Ingawa Wanini ana binamu wengi wakubwa, yeye hawafahamu vizuri sana.

Wanaishi mbali zaidi kuliko kaka na dada yake.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Nina watu wengi katika familia yangu.

Nina kaka, dada, na binamu wengi.

Ndugu yangu ni mkubwa kuniliko.

Yeye ana sauti na ucheshi kuniliko.

Dada yangu ni mdogo kuniliko.

Dada yangu pia ni mfupi na mwenye urafiki zaidi.

Dada yangu anapenda kuzungumza na watu zaidi kuniliko.

Ingawa nina binamu wengi wakubwa, siwafahamu vizuri.

Wanaishi mbali zaidi kuliko kaka na dada yangu.

Maswali:

Moja: Wanini ana watu wengi katika familia yake.

Je, Wanini ana familia kubwa? Ndiyo, Wanini ana watu wengi katika familia yake.

Mbili: Wanini ana kaka mmoja.

Je, Wanini ana ndugu wangapi? Ana kaka mmoja.

Tatu: Kaka yake Wanini ni mkubwa kumliko.

Nani mkubwa, Wanini au kaka yake? Ndugu ya Wanini ni mkubwa kumliko.

Nne: Ndugu ya Wanini ana sauti zaidi kumliko.

Ni mtu gani mwenye sauti zaidi, Wanini au kaka yake? Ndugu ya Wanini ana sauti zaidi kumliko.

Tano: Dada ya Wanini ni mdogo kumliko.

Nani mdogo, Wanini au dada yake? Dada ya Wanini ni mdogo kumliko.

Sita: Dada ya Wanini ni mkarimu zaidi kuliko Wanini, kwa hivyo anapenda kuzungumza na watu zaidi.

Ni mtu gani anapenda kuzungumza na watu zaidi, Wanini au dada yake?

Dada ya Wanini ni mkarimu zaidi kuliko Wanini, kwa hivyo anapenda kuzungumza na watu zaidi ya Wanini.

Saba: Wanini ana binamu wengi wakubwa.

Je, Wanini ana binamu wachache? Hapana, Wanini ana binamu wengi wakubwa.

Nane: Kaka na dada ya Wanini wanaishi karibu zaidi kuliko binamu zake.

Ni nani anayeishi karibu zaidi, binamu za Wanini, au kaka na dada yake? Kaka na dada ya Wanini wanaishi karibu zaidi kuliko binamu zake.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Wanini ana watu wengi katika familia yake. Why|has|people|many|in|family|his Sharon has many people in her family. Wanini a de nombreuses personnes dans sa famille.

Ana kaka, dada, na binamu wengi. He has|brother|sister|and|cousin|many She has a brother, a sister, and many cousins.

Ndugu ya Wanini ni mkubwa kuliko Wanini. The brother|of|Wanini|is|older|than|Wanini Sharon's brother is older than her. Le frère de Wanini est plus âgé que Wanini.

Yeye pia ana sauti na mcheshi kuliko Wanini. He|also|has|voice|and|funnier|than|Wanini Er ist auch lauter und lustiger als Wani. He is also louder and funnier than Sharon.

Dada ya Wanini ni mdogo kuliko Wanini. The sister|of|Wanini|is|younger|than|Wanini Sharon's sister is younger than her.

Dada ya Wanini pia ni mfupi na mwenye urafiki zaidi. Sister|of|Wanini|also|is|short|and|having|friendship|more Waninis Schwester ist ebenfalls kleiner und freundlicher. Sharon's sister is also shorter and more outgoing.

Dadake Wanini anapenda kuongea na watu kuliko Wanini. Wanini|Wanini|||||| Waninis Schwester redet lieber mit Menschen als Wanini. Sharon's sister likes talking to people more than Sharon does. La sœur de Wanini aime plus parler aux gens que Wanini.

Ingawa Wanini ana binamu wengi wakubwa, yeye hawafahamu vizuri sana. Although|Wanini|has|cousins|many|older|he|they do not know|well|very Obwohl Wanini viele ältere Cousins hat, kennt er sie nicht sehr gut. Although Sharon has many older cousins, she doesn't know them very well.

Wanaishi mbali zaidi kuliko kaka na dada yake. They live|far|more|than|brother|and|sister|his They live farther away than her brother and sister. Ils habitent plus loin que son frère et sa sœur.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here|there is|story|same|told|in|way|different Here is the same story told in a different way.

Nina watu wengi katika familia yangu. I have|people|many|in|family|my I have many people in my family.

Nina kaka, dada, na binamu wengi. I have|brother|sister|and|cousin|many I have a brother, a sister, and many cousins.

Ndugu yangu ni mkubwa kuniliko. My brother|my|is|older|than me Mein Bruder ist älter als ich. My brother is older than me. Mon frère est plus âgé que moi.

Yeye ana sauti na ucheshi kuniliko. He|has|voice|and|humor|than me He is louder and funnier than me.

Dada yangu ni mdogo kuniliko. Sister|my|is|younger|than me Meine Schwester ist jünger als ich. My sister is younger than me.

Dada yangu pia ni mfupi na mwenye urafiki zaidi. Sister|my|also|is|short|and|having|friendliness|more My sister is also shorter and more outgoing.

Dada yangu anapenda kuzungumza na watu zaidi kuniliko. My sister|my|loves|to talk|with|people|more|than me My sister likes talking to people more than I do.

Ingawa nina binamu wengi wakubwa, siwafahamu vizuri. Although|I have|cousins|many|older|I do not know them|well Although I have many older cousins, I don't know them very well. Même si j'ai de nombreux cousins plus âgés, je ne les connais pas bien.

Wanaishi mbali zaidi kuliko kaka na dada yangu. They live|far|more|than|brother|and|sister|my They live farther away than my brother and sister.

Maswali: Questions Questions:

Moja: Wanini ana watu wengi katika familia yake. One|Why|has|people|many|in|family|his One: Sharon has many people in her family.

Je, Wanini ana familia kubwa? question particle|Wanini|has|family|big Does Sharon have a big family? Ndiyo, Wanini ana watu wengi katika familia yake. Yes|Why|has|people|many|in|family|his Yes, Sharon has many people in her family.

Mbili: Wanini ana kaka mmoja. Two|Why|has|brother|one Two: Sharon has one brother.

Je, Wanini ana ndugu wangapi? question particle|Wanini|has|siblings|how many How many brothers does Sharon have? Ana kaka mmoja. He has|brother|one She has one brother. Il a un frère.

Tatu: Kaka yake Wanini ni mkubwa kumliko. Tatu|His brother|his|Wanini|is|older|than him Drittens: Waninis Bruder ist älter als er. Three: Sharon's brother is older than her.

Nani mkubwa, Wanini au kaka yake? Who|older|Wanini|or|brother|his Who is older, Sharon or her brother? Ndugu ya Wanini ni mkubwa kumliko. brother|of|Wanini|is|older|than him Sharon's brother is older than her.

Nne: Ndugu ya Wanini ana sauti zaidi kumliko. Four|Brother|of|Wanini|has|voice|more|than him Four: Sharon's brother is louder than her.

Ni mtu gani mwenye sauti zaidi, Wanini au kaka yake? Is|person|which|with|voice|more|Wanini|or|brother|his Which person is louder, Sharon or her brother? Ndugu ya Wanini ana sauti zaidi kumliko. Brother|of|Wanini|has|voice|more|than him Sharon's brother is louder than her.

Tano: Dada ya Wanini ni mdogo kumliko. Five|Sister|of|Wanini|is|younger|than him Five: Sharon's sister is younger than her.

Nani mdogo, Wanini au dada yake? Who|younger|Wanini|or|sister|his/her Who is younger, Sharon or her sister? Dada ya Wanini ni mdogo kumliko. Sister|of|Wanini|is|younger|than him Sharon's sister is younger than her.

Sita: Dada ya Wanini ni mkarimu zaidi kuliko Wanini, kwa hivyo anapenda kuzungumza na watu zaidi. Sita|Sister|of|Wanini|is|more generous|than|Wanini||so|therefore|he/she likes|to talk|with|people|more Six: Sharon's sister is more outgoing than Sharon, so she likes talking to people more.

Ni mtu gani anapenda kuzungumza na watu zaidi, Wanini au dada yake? Is|person|which|likes|to talk|with|people|more|Wanini|or|sister|his/her Which person likes talking to people more, Sharon or her sister?

Dada ya Wanini ni mkarimu zaidi kuliko Wanini, kwa hivyo anapenda kuzungumza na watu zaidi ya Wanini. Sister|of|Wanini|is|more generous|than|Wanini|Wanini||||||||| Sharon's sister is more outgoing than Sharon, so she likes talking to people more than Sharon does.

Saba: Wanini ana binamu wengi wakubwa. |Why|has|cousins|many|big Seven: Sharon has many older cousins.

Je, Wanini ana binamu wachache? question particle|Wanini|has|cousins|few Does Sharon have a few cousins? Hapana, Wanini ana binamu wengi wakubwa. No|Wanini|has|cousins|many|big No, Sharon has many older cousins.

Nane: Kaka na dada ya Wanini wanaishi karibu zaidi kuliko binamu zake. Eight|Brother|and|Sister|of|Wanini|they live|close|more|than|cousin|his/her Eight: Sharon's brother and sister live closer than her cousins.

Ni nani anayeishi karibu zaidi, binamu za Wanini, au kaka na dada yake? Who|lives|lives|closer|than|cousins|of|Wanini|or|brother|and|sister|his/her Who lives closer, Sharon's cousins, or her brother and sister? Kaka na dada ya Wanini wanaishi karibu zaidi kuliko binamu zake. Brother|and|sister|of|Wanini|they live|closer|more|than|cousin|his/her Sharon's brother and sister live closer than her cousins.