×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

image

LingQ Mini Stories, 5- Ana Kazi Nyingi za Nyumbani

Musa yupo sekondari.

Ana kazi nyingi za nyumbani

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Musa hapendi kazi za nyumbani.

Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yake kubwa Musa.

Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa.

Nipo sekondari.

Nina kazi nyingi za nyumbani.

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Mimi sipendi kazi za nyumbani.

Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yangu mkubwa.

Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani.

Maswali:

1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari? Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari.

2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani? Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani.

3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari? Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake? Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake.

5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu? Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku? Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Je, Musa na Rachel ni ndugu? Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu. Rachel ni dada yake mkubwa Musa.

8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani? Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Musa yupo sekondari. Musa|is|in secondary school Musa ist in der weiterführenden Schule. Jon is in high school. Musa está en la escuela secundaria.

Ana kazi nyingi za nyumbani He has|work|many|of|home Er hat viele Hausaufgaben He has lots of homework. tiene mucha tarea Il a beaucoup de devoirs

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Rachel|is|student|of|university|big Rachel ist Studentin. Clare is a university student. Rachel es una estudiante universitaria. Rachel est étudiante à l'université. Rachel is een universiteitsstudent.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia. He has|work|many|of|home|also She has lots of homework, too. Él también tiene mucha tarea. Il a aussi beaucoup de devoirs.

Musa hapendi kazi za nyumbani. Musa|does not like|work|of|home Jon does not like homework. A Musa no le gustan las tareas del hogar. Musa n'aime pas les travaux ménagers.

Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta. He usually|likes|to play|on|computer He likes to play on his computer. Le gusta jugar en la computadora. Il aime jouer sur l'ordinateur.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Rachel||loves|reading|and|writing Clare likes reading and writing. A Rachel le encanta leer y escribir. Rachel aime lire et écrire.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. He usually|does|work|his|of|home|every|day She does her homework every day. Il fait ses devoirs tous les jours.

Rachel ni dada yake kubwa Musa. Rachel|is|sister|his|older|Musa Rachel ist Moses‘ ältere Schwester. Clare is Jon's older sister. Raquel es la hermana mayor de Moisés. Rachel est la sœur aînée de Moïse. Rachel is de oudere zus van Mozes.

Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani. He always|time|all|makes him|do|work|his|of|home Er lässt sie immer ihre Hausaufgaben machen. She always makes him do his homework. Él siempre la obliga a hacer sus deberes. Il lui fait toujours faire ses devoirs. Hij laat haar altijd haar huiswerk maken.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa. This|is|story|that|told|by|Moses Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por Moisés. C'est cette histoire racontée par Moïse.

Nipo sekondari. I am|in secondary school I am in high school. Estoy en la escuela secundaria. Je suis au lycée.

Nina kazi nyingi za nyumbani. I have|work|many|of|home I have lots of homework. J'ai beaucoup de devoirs.

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Rachel|is|student|of|university|big Clare is a university student. Rachel est étudiante à l'université.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia. She has|work|many|of|home|also She has lots of homework, too. Il a aussi beaucoup de devoirs.

Mimi sipendi kazi za nyumbani. I|do not like|work|of|home I do not like homework. Je n'aime pas les devoirs.

Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu. I love|to play|on|computer|my I like to play on my computer. J'aime jouer sur mon ordinateur.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Rachel||loves|reading|and|writing Clare likes reading and writing. Rachel aime lire et écrire.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. He usually|does|work|his|of|home|every|day She does her homework every day. Il fait ses devoirs tous les jours.

Rachel ni dada yangu mkubwa. Rachel|is|sister|my|older Clare is my older sister. Rachel est ma sœur aînée.

Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani. Every time|all|he|makes me|do|work|my|of|home Er lässt mich immer meine Hausaufgaben machen. She always makes me do my homework. Il me fait toujours faire mes devoirs.

Maswali: Questions Questions: Des questions:

1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Musa|is|student|of|secondary school One: Jon is a high school student. 1) Musa est un élève du secondaire. Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari? Is Jon a high school student? Musa est-il lycéen ? Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Yes|Musa|is|student|of|secondary school Yes, Jon is a high school student.

2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Musa|has|work|many|of|home Two: Jon has a lot of homework. Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani? question particle|Musa|||homework|many|of|home Does Jon have a lot of homework? Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Yes|Musa|has|homework|many|of|home Yes, Jon has a lot of homework.

3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Rachel|is|student|of|university|big Three: Clare is a university student. Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari? Is Clare a high school student? Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari. No|Rachel|is not|student|of|secondary school No, Clare is not a high school student. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu. He is|a student|of|university|big she is a university student. Il est étudiant à l'université.

4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Musa|loves|to play|on|computer|his Four: Jon likes playing on his computer. Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake? question particle|Musa|likes|to play|on|computer|his Does Jon like playing on his computer? Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Yes|Musa|loves|to play|on|computer|his Yes, Jon likes playing on his computer.

5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Rachel||loves|reading|and|writing Five: Clare likes reading and writing. Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu? question particle|Rachel||likes|to watch|movies Does Clare like watching movies? Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. No|Rachel||likes|reading|and|writing No, Clare likes reading and writing.

6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Rachel|||work|her|of|home|every|day Six: Clare does her homework every day. Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku? question particle|Rachel|||work|her|of|home|every|day Does Clare do her homework every day? Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Yes|Rachel||does|work|her|of|home|every|day Yes, Clare does her homework every day.

7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Rachel|is|sister|his|older|Musa Seven: Clare is Jon's older sister. Je, Musa na Rachel ni ndugu? |||||siblings Are Jon and Clare related? Moïse et Rachel sont-ils frères et sœurs ? Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu. Yes|Musa|and|Rachel|are|siblings Yes, Jon and Clare are related. Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Rachel|is|sister|his|older|Musa Clare is Jon's older sister.

8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home|every|day 8) Rachel lässt Moses jeden Tag seine Hausaufgaben machen. Eight: Clare makes Jon do his homework every day. Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani? question particle|Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home Does Clare make Jon do his homework? Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Yes|Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home|every|day Yes, Clare makes Jon do his homework every day. Oui, Rachel demande à Moïse de faire ses devoirs tous les jours.