×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

image

Who is She?, 18- Lazima Iwe Ni Utani

Nataka mpenzi wa kaka yangu arudi nyumbani na kumkuta Anna kwenye kitanda chake.

Una uhakika?

Lazima iwe ni utani!

Hapana, nina uhakika.

Nataka kumuaibisha ndugu yangu.

Kumpata Anna kitandani mwake kutamtia aibu.

Hakuna shaka kuhusu hilo

Hilo litakuwa gumu sana kwa ndugu yangu kuelezea.

Nakubali, Hilo litakuwa gumu kueleza.

Nisingetaka kueleza hilo.

Hata kama anampenda, hilo litakuwa gumu sana kuelezea.

Natumaini ataamua kumwacha ili niweze kupata fedha zaidi.

Hilo, naelewa.

Wewe si dada mzuri.

Usijali kuhusu hilo.

Fanya tu kile nakueleza, na utapata pesa.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nataka mpenzi wa kaka yangu arudi nyumbani na kumkuta Anna kwenye kitanda chake. I want|girlfriend|of|brother|my|to return|home|and|to find him|Anna|on|bed|his I want my brother's girlfriend to come home and find Sally in their bed.

Una uhakika? Do you have|certainty Are you serious?

Lazima iwe ni utani! It must|be|a|joke You must be joking!

Hapana, nina uhakika. No|I have|certainty No I am serious.

Nataka kumuaibisha ndugu yangu. I want|to embarrass|my brother|my I want to embarrass my brother.

Kumpata Anna kitandani mwake kutamtia aibu. Finding|Anna|in bed|her|will put|shame Finding Sally in his bed could cause him embarrassment.

Hakuna shaka kuhusu hilo There is no|doubt|about|that There is no doubt about that.

Hilo litakuwa gumu sana kwa ndugu yangu kuelezea. That|will be|hard|very|for|brother|my|to explain That will be very difficult for my brother to explain.

Nakubali, Hilo litakuwa gumu kueleza. I agree|That|will be|hard|to explain I agree, That would be hard to explain.

Nisingetaka kueleza hilo. I would not want|| I would not want to explain that.

Hata kama anampenda, hilo litakuwa gumu sana kuelezea. Even|though|he loves her||it will be|hard|very|to explain Even if she loves him, that will be really difficult to explain.

Natumaini ataamua kumwacha ili niweze kupata fedha zaidi. I hope|he will decide|to leave him|so that|I can|get|money|more I hope she decides to leave him so that I can keep more of the money.

Hilo, naelewa. |I understand That much I understand.

Wewe si dada mzuri. You|are not|sister|good You are not a very nice sister.

Usijali kuhusu hilo. Don't worry|about|that Never mind.

Fanya tu kile nakueleza, na utapata pesa. Do|just|what|I tell you|and|you will get|money Just do what I say and you will get the money.