×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.


image

Who is She?, 24- Sikuamini

Angalia, Ibrahim ni mwalimu katika tovuti ya lugha inayoitwa LingQ.

Sielewi.

Alinionyeshea jinsi ya kujifunza kwenye LingQ.

Hiyo ndiyo iliyonisaidia sana.

Unamaanisha LingQ ilikusaidia zaidi kuliko kuishi na Ibrahim?

Wote wawili walinisaidia, lakini LingQ ndiyo iliyonisaidia sana.

Sikuamini, Sikuelewi.

Ibrahim alinisaidia kugundua kwamba njia niliyotumia kujifunza Kiingereza ilikuwa mbaya.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu sarufi.

Niliogopa sana kufanya makosa.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuaibika.

Lakini si unahitaji kujua sarufi ili kuzungumza vizuri?

Hapana.

Nilianza kutambua kwamba kama nilifurahia kujifunza Kiingereza, haikujalisha ikiwa nilikosea.

Singeaibika kufanya makosa.

Kufanya makosa ni sehemu ya kujifunza.

Kwa hivyo umejifunza jinsi gani?

Ibrahim alinieleza tu nisikilize na nisome kwa wingi na nihifandhi maneno na misemo kwenye LingQ.

Hapo ndipo nilipoanza kufurahia lugha.

Hapo ndipo nilipoanza kuboresha Kiingereza changu.

Kwa kutojali kuhusu sarufi, ulianza kuzungumza vizuri?

Ndiyo, ilibidi nisijalishwe na yale niliyofundishwa shuleni kwa miaka mingi.

Angalia, Ibrahim ni mwalimu katika tovuti ya lugha inayoitwa LingQ. You see, George is a tutor at an online language system called LingQ.

Sielewi. I do not understand.

Alinionyeshea jinsi ya kujifunza kwenye LingQ. He showed me how to learn on LingQ.

Hiyo ndiyo iliyonisaidia sana. That is what really helped me.

Unamaanisha LingQ ilikusaidia zaidi kuliko kuishi na Ibrahim? You mean LingQ's system helped you even more than living with George?

Wote wawili walinisaidia, lakini LingQ ndiyo iliyonisaidia sana. Well they both helped me, but LingQ is what really helped me.

Sikuamini, Sikuelewi. I do not believe you, I don't get it.

Ibrahim alinisaidia kugundua kwamba njia niliyotumia kujifunza Kiingereza ilikuwa mbaya. George made me understand that the way I was learning English was wrong.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu sarufi. I was too concerned about grammar.

Niliogopa sana kufanya makosa. I was too afraid to make mistakes.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuaibika. I was too worried about being embarrassed.

Lakini si unahitaji kujua sarufi ili kuzungumza vizuri? But don't you need to know grammar to speak well?

Hapana. No.

Nilianza kutambua kwamba kama nilifurahia kujifunza Kiingereza, haikujalisha ikiwa nilikosea. I started to realize that if I enjoyed learning English, it did not matter if I made mistakes.

Singeaibika kufanya makosa. Making mistakes would not embarrass me.

Kufanya makosa ni sehemu ya kujifunza. Making mistakes is a part of learning.

Kwa hivyo umejifunza jinsi gani? So how did you learn?

Ibrahim alinieleza tu nisikilize na nisome kwa wingi na nihifandhi maneno na misemo kwenye LingQ. George told me to just listen and read a lot and to save words and phrases on LingQ.

Hapo ndipo nilipoanza kufurahia lugha. That is when I started to enjoy the language.

Hapo ndipo nilipoanza kuboresha Kiingereza changu. That is when I started to really improve my English.

Kwa kutojali kuhusu sarufi, ulianza kuzungumza vizuri? Just by not thinking of grammar you actually started to speak better?

Ndiyo, ilibidi nisijalishwe na yale niliyofundishwa shuleni kwa miaka mingi. Yes, I had to forget what I had been taught at school for so many years.