×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.


image

Who is She?, 25- Yeye Ni Mchafu

Siwezi kukumbuka mengi ya yale niliyojifunza shuleni.

Kwangu mimi, hakuna mengi ya kusahau.

Mimi pia!

Lakini njia niliyotumia kujifunza lugha shuleni ilinifanya nichukie kujifunza lugha.

Ilifanya nikaidi lugha niliyojifunza.

Nina hakika hilo ni kweli kwa watu wengi.

Ndio Watu wanapaswa kujifunza kufurahia lugha.

Watu wanapaswa kuacha kukaidi lugha na kuichukua kama kitu cha kawaida.

Naam, nadhani ilifaulu kwako.

Kwa uhakika.

Ibrahim alinifundisha hilo, nami nikamruhusu kuishi katika nyumba yangu.

Kwa hivyo hukumkataa Ibrahim aidha?

Unamaanisha nini?

Yeye sio mpenzi wangu.

Hatulali kitanda kimoja!

Ilikuwa jambo nzuri kumruhusu kuishi katika nyumba yako.

Ilikuwa ni manufaa kwangu.

Nilikuwa na mazungumzo ya bure ya Kiingereza pamoja naye wakati wa kifungua kinywa na wakati wa chakula cha jioni.

Wakati mwingine tunaenda kwa karamu pamoja.

Nadhani hilo lilisaidia Kiingereza chako.

Ndiyo, lakini sasa nataka aondoke.

Simhitaji tena.

Mbali na hilo, ameanza kunisumbua.

Kwanini unasema hivyo?

Mbona humtaki karibu tena?

Yeye ni mchafu.

Hazingatii usafi.

Anacha nguo chafu kila mahali

Siwezi kukumbuka mengi ya yale niliyojifunza shuleni. I cannot remember much of what I learned at school either.

Kwangu mimi, hakuna mengi ya kusahau. In my case there is not too much to forget.

Mimi pia! Me too!

Lakini njia niliyotumia kujifunza lugha shuleni ilinifanya nichukie kujifunza lugha. But the way I learned languages at school made me hate learning languages.

Ilifanya nikaidi lugha niliyojifunza. It made me resist the language I was learning.

Nina hakika hilo ni kweli kwa watu wengi. I am sure that is true for many people.

Ndio Watu wanapaswa kujifunza kufurahia lugha. Yes, People have to learn to enjoy the language.

Watu wanapaswa kuacha kukaidi lugha na kuichukua kama kitu cha kawaida. People have to stop resisting the language and take it in naturally.

Naam, nadhani ilifaulu kwako. Well I guess it really worked for you.

Kwa uhakika. Oh yes.

Ibrahim alinifundisha hilo, nami nikamruhusu kuishi katika nyumba yangu. George taught me that so I let him stay in my apartment.

Kwa hivyo hukumkataa Ibrahim aidha? So you did not resist George either?

Unamaanisha nini? What are you trying to say?

Yeye sio mpenzi wangu. He is not my boyfriend.

Hatulali kitanda kimoja! We did not share the same bed!

Ilikuwa jambo nzuri kumruhusu kuishi katika nyumba yako. It was nice of you to let him stay in your apartment.

Ilikuwa ni manufaa kwangu. It was good for me.

Nilikuwa na mazungumzo ya bure ya Kiingereza pamoja naye wakati wa kifungua kinywa na wakati wa chakula cha jioni. I had free English conversations with him at breakfast and at dinner.

Wakati mwingine tunaenda kwa karamu pamoja. We would sometimes go to parties together.

Nadhani hilo lilisaidia Kiingereza chako. I guess that helped your English.

Ndiyo, lakini sasa nataka aondoke. Yes, but now I want him to leave.

Simhitaji tena. I do not need him anymore.

Mbali na hilo, ameanza kunisumbua. Besides he is getting on my nerves.

Kwanini unasema hivyo? Why do you say that?

Mbona humtaki karibu tena? Why do you not want him around anymore?

Yeye ni mchafu. He is so messy.

Hazingatii usafi. He does not clean up after himself.

Anacha nguo chafu kila mahali He leaves dirty clothes lying around.