×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.


image

Who is She?, 26- Hiyo Ni Siri Ndogo Yangu

Je, kuna sababu nyingine unataka Ibrahim kuondoka?

Ndiyo, nina mpenzi mpya na hapendi nikiishi na Ibrahim.

Vizuri.

Mpenzi wako mpya anasema ukweli.

Kwa nini hilo ni nzuri?

Mbona inakujalisha?

Usijali, Hiyo ni siri ndogo yangu.

Hata hivyo, asante kwa kuturuhusu tukutembelee, na shukrani kwa msaada wako.

Sijui nini cha kusema.

Una ujasiri mwingi.

Lakini nafurahi wakati wote kuwaeleza watu kuhusu LingQ.

Hapana, hukunisaidia hivyo.

Umenisaidia kwa sababu tofauti, ambayo inahusiana na Ibrahim.

Usijali.

Lakini Naomi, unapaswa kujifunza lugha.

Utafanya vizuri sana.

Unajitakia makuu na hauaibiki kwa urahisi.

Kwa kweli, siku zote nimetamani kusafiri na kukutana na watu kutoka nchi zingine.

Labda unasema ukweli.

Katika LingQ, wanaamini kila mtu anaweza kujifunza kuzungumza lugha kadhaa.

Wanaamini kwamba haifai kuwa ngumu.

Watu wanahitaji tu kuacha kujifunza jinsi walivyofanya shuleni, na kuanza kujifunza kwa njia ya asili zaidi.

Asalale, kweli una shauku nyingi kuhusu LingQ.

Unapaswa kujaribu na utagundua sababu.

Utaanza kufurahia lugha.

Ikiwa unapenda kujifunza, utafanya vizuri sana.

Hutakaidi lugha.

Utagundua kwamba kujifunza lugha ni safari ya kusisimua na yenye thawabu.

Je, kuna sababu nyingine unataka Ibrahim kuondoka? Are there any other reasons why you want George to leave?

Ndiyo, nina mpenzi mpya na hapendi nikiishi na Ibrahim. Yes, I have a new boyfriend who does not like me living with George.

Vizuri. Good.

Mpenzi wako mpya anasema ukweli. Your new boyfriend is right.

Kwa nini hilo ni nzuri? Why is that good?

Mbona inakujalisha? Why does it matter to you?

Usijali, Hiyo ni siri ndogo yangu. Never mind, That is my little secret.

Hata hivyo, asante kwa kuturuhusu tukutembelee, na shukrani kwa msaada wako. Anyway, thanks for letting us visit you and thanks for your help.

Sijui nini cha kusema. I am not sure what to say.

Una ujasiri mwingi. You have a lot of nerve.

Lakini nafurahi wakati wote kuwaeleza watu kuhusu LingQ. But I am always happy to help people by telling them about LingQ.

Hapana, hukunisaidia hivyo. No, that is not how you helped me.

Umenisaidia kwa sababu tofauti, ambayo inahusiana na Ibrahim. You have helped me for another reason that has to do with George.

Usijali. Never mind.

Lakini Naomi, unapaswa kujifunza lugha. But Jane, you should learn languages.

Utafanya vizuri sana. You would do very well.

Unajitakia makuu na hauaibiki kwa urahisi. You are very determined and you are not easily embarrassed.

Kwa kweli, siku zote nimetamani kusafiri na kukutana na watu kutoka nchi zingine. You know I have always wanted to travel and meet people from other countries.

Labda unasema ukweli. Maybe you are right.

Katika LingQ, wanaamini kila mtu anaweza kujifunza kuzungumza lugha kadhaa. At LingQ they think everybody can learn to speak several languages.

Wanaamini kwamba haifai kuwa ngumu. They think that it doesn't have to be difficult.

Watu wanahitaji tu kuacha kujifunza jinsi walivyofanya shuleni, na kuanza kujifunza kwa njia ya asili zaidi. People just have to stop learning the way they did at school and start learning in a more natural way.

Asalale, kweli una shauku nyingi kuhusu LingQ. Wow, you sure are keen on LingQ.

Unapaswa kujaribu na utagundua sababu. You should try it and you will see why.

Utaanza kufurahia lugha. You will start enjoying the language.

Ikiwa unapenda kujifunza, utafanya vizuri sana. If you enjoy learning you will learn better.

Hutakaidi lugha. You will not resist the language.

Utagundua kwamba kujifunza lugha ni safari ya kusisimua na yenye thawabu. You will find learning a language an exciting and rewarding adventure.