×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.


image

Habari za UN, Bahari ni sehemu ya suluhisho la matatizo lukuki katika jamii - FAO | | Habari za UN

Bahari ni sehemu ya suluhisho la matatizo lukuki katika jamii - FAO | | Habari za UN

Wakati dunia ikijiandaa kuadhimisha siku ya habari duniani hapo kesho Juni nane shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO limesema ni vyema jamii kuzingatia afya ya baharí kwani umuhimu wake kamwe hauwezi kupuuzwa.

Bahari, ni makazi ya asilimia 80 ya majani ya wanyama, ambayo yanatumika kama chanzo muhimu cha wananchi kujipatia riziki na pia lishe kwa mamilioni ya watu ulimwenguni.

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Rasilimali za Uvuvi na Ufugaji wa samaki kutoka FAO Manuel Barange, anasema kwa utajiri uliopo baharini, “Hakuna tatizo hata moja ambalo tunalo ulimwenguni iwe kwenye mabadiliko ya tabianchi, umasikini au uhakika wa chakula ambalo linaweza kutatuliwa bila kuzingatia baharí kama sehemu ya suluhisho”

Manuel anasema kwa sasa zaidi ya watu milioni 800 wameathiriwa na njaa kote ulimwenguni, vyakula vya baharini vilivyo sheheni lishe ya hali ya juu ni suluhisho la kushughulikia njaa na utapiamlo, “Ufugaji wa samaki umekuwa mfumo wa uzalishaji wa chakula unaokua kwa kasi zaidi katika kipindi cha miongo mitano iliyopita. Ulaji pia wa vyakula vya majini umekuwa ukiongezeka maradufu ya kiwango cha ongezeko la watu katika miongo ya hivi karibuni.”

Katika kuhakikisha kila nchi inajitosheleza na kuweza kuhimili ongezeko la uhitaji wa vyakula vya majini FAO inahamasisha utekelezaji wa mkakati wa Mabadiliko ya Buluu Blue Transformation unaolenga kuimarisha mifumo ya vyakula vya majini katika kulisha idadi ya watu inayoongezeka duniani kwa kutoa mifumo ya kisheria, sera na usaidizi wa kiufundi inayohitajika ili kuendeleza ukuaji na uvumbuzi, “Mpango wa Mabadiliko ya Bluu ni dira kutoka FAO ambayo imeanza na kanuni mbili kubwa. Kwanza ni kukubali kwamba vyakula vya majini ni sehemu ya suluhisho la njaa na utapiamlo. Pili ni utambuzi kwamba mabadiliko yanafanyika hata bila sisi kufanya lolote.”

Mpango wa Mabadiliko ya Buluu umependekeza msururu wa hatua zilizoundwa kusaidia ustahimilivu katika mifumo ya chakula cha majini na kuhakikisha uvuvi na ufugaji wa samaki unakuwa kwa njia endelevu huku hakuna mtu anayeachwa nyuma, hususan jamii zinazotegemea sekta hiyo.

Masuala mengine yanayoangaziwa na mabadiliko hayo ni pamoja na sera na desturi zinazofaa kwa mabadiliko ya tabianchi na mazingira, pamoja na ubunifu wa kiteknolojia.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Bahari ni sehemu ya suluhisho la matatizo lukuki katika jamii - FAO | | Habari za UN ocean||part||solution||problems|numerous problems||society|||| The sea is part of the solution to the problems in society - FAO | | UN news La mer fait partie de la solution aux problèmes de société - FAO | | Actualités de l'ONU

Wakati dunia ikijiandaa kuadhimisha siku ya habari duniani hapo kesho Juni nane shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO limesema ni vyema jamii kuzingatia afya ya baharí kwani umuhimu wake kamwe hauwezi kupuuzwa. |the world|preparing|celebrate|||news|on Earth|there|tomorrow|June|eight|organization||United Nations||Nations||||Agriculture||has said||well|community|consider|ocean health||ocean health|because|importance|its importance|never can|cannot be|be overlooked As the world prepares to celebrate World Information Day tomorrow, June 8, the United Nations Food and Agriculture Organization (FAO) has said that it is good for the community to pay attention to the health of the sea because its importance can never be ignored.

Bahari, ni makazi ya asilimia 80 ya majani ya wanyama, ambayo yanatumika kama chanzo muhimu cha wananchi kujipatia riziki na pia lishe kwa mamilioni ya watu ulimwenguni. ocean||habitat||percent|of|plants||animals||are used||source|important source||the people|to obtain|livelihood|||nutrition||millions|||around the world The sea is home to 80 percent of animal biomass, which is used as an important source of livelihood for people and also nutrition for millions of people in the world.

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Rasilimali za Uvuvi na Ufugaji wa samaki kutoka FAO Manuel Barange, anasema kwa utajiri uliopo baharini, “Hakuna tatizo hata moja ambalo tunalo ulimwenguni iwe kwenye mabadiliko ya tabianchi, umasikini au uhakika wa chakula ambalo linaweza kutatuliwa bila kuzingatia baharí kama sehemu ya suluhisho” Director||Department||||resources||fishing||Aquaculture|||||Manuel Barange|Barange|||wealth|that exists|at sea||problem|||that|we have|in the world|whether||changes||climate change|poverty||food security|||that|can be|to be solved|without|considering the ocean|||part||solution Director of the Policy and Resources Department of Fisheries and Aquaculture from FAO Manuel Barange, says for the wealth that exists in the sea, "There is not a single problem that we have in the world whether it is climate change, poverty or food security that can be solved without considering the sea as part of the solution" Manuel Barange, directeur du Département des politiques et des ressources de la pêche et de l'aquaculture de la FAO, déclare à propos de la richesse qui existe dans la mer : « Il n'y a pas un seul problème que nous ayons dans le monde, qu'il s'agisse du changement climatique, de la pauvreté ou de la sécurité alimentaire. peut être résolu sans considérer la mer comme faisant partie de la solution"

Manuel anasema kwa sasa zaidi ya watu milioni 800 wameathiriwa na njaa kote ulimwenguni, vyakula vya baharini vilivyo sheheni lishe ya hali ya juu ni suluhisho la kushughulikia njaa na utapiamlo, “Ufugaji wa samaki umekuwa mfumo wa uzalishaji wa chakula unaokua kwa kasi zaidi katika kipindi cha miongo mitano iliyopita. ||||||||have been affected|||around|in the world|foods|||that are|rich in|nutrition||high||high||solution||addressing|||malnutrition|Aquaculture||||system||production|||growing||fastest growing|||period of||decades||the past five decades Manuel says that currently more than 800 million people are affected by hunger around the world, seafood with high nutritional value is a solution to address hunger and malnutrition, "Aquaculture has been the fastest growing food production system during the five decades ago. Ulaji pia wa vyakula vya majini umekuwa ukiongezeka maradufu ya kiwango cha ongezeko la watu katika miongo ya hivi karibuni.” Consumption|||||seafood||increasing|twice as much||level||increase||||decades||recent|recent years Seafood consumption has also been increasing at double the rate of population growth in recent decades.”

Katika kuhakikisha kila nchi inajitosheleza na kuweza kuhimili ongezeko la uhitaji wa vyakula vya majini FAO inahamasisha utekelezaji wa mkakati wa Mabadiliko ya Buluu Blue Transformation unaolenga kuimarisha mifumo ya vyakula vya majini katika kulisha idadi ya watu inayoongezeka duniani kwa kutoa mifumo ya kisheria, sera na usaidizi wa kiufundi inayohitajika ili kuendeleza ukuaji na uvumbuzi, “Mpango wa Mabadiliko ya Bluu ni dira kutoka FAO ambayo imeanza na kanuni mbili kubwa. |ensuring||country|suffices itself||ability to|withstand|increase||demand for||||marine foods||encourages|implementation||strategy||Blue Transformation||Blue Transformation||Blue Transformation|aimed at|strengthen|systems||||marine foods||feeding the population|population|||increasing population|in the world||providing systems|systems||legal systems|policy||technical assistance||technical assistance|needed||promote growth|growth and innovation||innovation|Blue Transformation Plan||||||guiding document|||that|has begun||principles|| In order to ensure that each country is self-sufficient and able to withstand the increase in the need for seafood, FAO is encouraging the implementation of the Blue Transformation strategy, which aims to strengthen seafood systems in feeding the growing population of the world by providing legal frameworks, policies and support to technology needed to sustain growth and innovation, "The Blue Transformation Plan is a vision from FAO that started with two major principles. Kwanza ni kukubali kwamba vyakula vya majini ni sehemu ya suluhisho la njaa na utapiamlo. ||accepting||||||||solution||||malnutrition First is to accept that seafood is part of the solution to hunger and malnutrition. Pili ni utambuzi kwamba mabadiliko yanafanyika hata bila sisi kufanya lolote.” ||recognition|||are happening||without|||anything Second is the recognition that changes are occurring even without us doing anything.

Mpango wa Mabadiliko ya Buluu umependekeza msururu wa hatua zilizoundwa kusaidia ustahimilivu katika mifumo ya chakula cha majini na kuhakikisha uvuvi na ufugaji wa samaki unakuwa kwa njia endelevu huku hakuna mtu anayeachwa nyuma, hususan jamii zinazotegemea sekta hiyo. |||||has proposed|a series of||steps|that were created||resilience||systems||||marine food systems||ensure|fishing||aquaculture|||grows||sustainable manner|sustainable manner|while no one|no||that is left|behind|especially communities|communities|that depend on|sector|that The Blue Transformation Plan has proposed a series of actions designed to support resilience in marine food systems and ensure that fishing and aquaculture develop sustainably while leaving no one behind, especially communities that depend on this sector.

Masuala mengine yanayoangaziwa na mabadiliko hayo ni pamoja na sera na desturi zinazofaa kwa mabadiliko ya tabianchi na mazingira, pamoja na ubunifu wa kiteknolojia. issues|other issues|that are highlighted|||those||||policy||customs|suitable policies||||climate change||environment|||innovation||technological innovation Other issues highlighted by these changes include policies and practices suitable for climate change and environmental shifts, along with technological innovations.