×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

image

Habari za UN, TANBAT 6, Walinda amani wa UN kutoka Tanzania wapokea pongezi kutoka JWTZ na MINUSCA | | Habari za UN

TANBAT 6, Walinda amani wa UN kutoka Tanzania wapokea pongezi kutoka JWTZ na MINUSCA | | Habari za UN

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa Kikosi cha 6 cha kutoka Tanzania TANBAT 06 wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) wamepokea ugeni na salamu kutoka Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kupitia ujumbe uliongozwa na Brigedia Jenerali George Mwita Itang'are aliyewakilisha salamu za Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kutokana na sifa nzuri anazozipokea kutoka MINUSCA kuhusu kikosi hicho. Kutoka mjini Berbérati mkoani Mambéré-Kadéï, Afisa Habari wa TANBAT 06 Kapteni Mwijage Inyoma ameshiriki mapokezi ya ugeni huo, na hii ni taarifa yake.

Kwanza ni gwaride la ukaguzi…na kisha baadaye ukumbini ni nyimbo za morali. Brigedia Jenerali Itangare katika ziara hii aliyoambatana na Brigedia Jenerali Robert William Mtafungwa ambaye ni Mwambata Jeshi katika Uwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa akizungumza na maafisa na askari walinda amani baada ya ziara yake ya kutembea kikosi hicho amesema kuwa lengo la ziara ya ujumbe huo ni kuangalia utayari wa kikosi lakini pia kuwapongeza kwa kazi nzuri na utayari pale wanapopewa jukumu.

Aidha Brigedia Jenerali Itang'are amewataka walinda amani hao kuzingatia maadili ili wasiuchafue Umoja wa Mataifa, Jeshi la Tanzania na taifa lao.

Kwa upande wake Mkuu wa TANBAT 06 Luteni Kanali Amini Stephen Mshana ameshukuru Jeshi la Tanzania kufanya ziara ya kutembelea kikosi hicho nchini CAR lakini pia akawakumbusha askari yaliyozungumzwa amehahidi kuendeleza mafanikio waliyoyaona ikiwemo kutekeleza maelekezo ambayo wameyapokea.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

TANBAT 6, Walinda amani wa UN kutoka Tanzania wapokea pongezi kutoka JWTZ na MINUSCA  | | Habari za UN |||||||reçoivent|félicitations||||||| TANBAT|Walinda = peacekeepers||||||receive|congratulations||Tanzanian People's Defence Forces||MINUSCA||| TANBAT 6, UN-Friedenstruppen aus Tansania erhalten Glückwünsche von JWTZ und MINUSCA | UN-Nachrichten TANBAT 6, UN peacekeepers from Tanzania receive congratulations from JWTZ and MINUSCA | UN news TANBAT 6, las fuerzas de paz de la ONU de Tanzania reciben felicitaciones de JWTZ y MINUSCA | noticias de la ONU TANBAT 6, les soldats de la paix de l'ONU en Tanzanie reçoivent les félicitations du JWTZ et de la MINUSCA | Actualités de l'ONU TANBAT 6, forças de paz da ONU da Tanzânia recebem parabéns da JWTZ e da MINUSCA | notícias da ONU ТАНБАТ 6, миротворцы ООН из Танзании получают поздравления от JWTZ и MINUSCA | Новости ООН TANBAT 6,来自坦桑尼亚的联合国维和人员受到JWTZ和中非稳定团的祝贺|联合国新闻

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa Kikosi cha 6 cha kutoka Tanzania TANBAT 06 wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) wamepokea ugeni na salamu kutoka Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kupitia ujumbe uliongozwa na Brigedia Jenerali George Mwita Itang'are aliyewakilisha salamu za Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kutokana na sifa nzuri anazozipokea kutoka MINUSCA kuhusu kikosi hicho. |||||||||||||||||||||||||||||||visiteurs|||||||||||||dirigé par||Brigadier Général||||Itang'are|représentant||||||||||||qu'il reçoit||||| ||||||contingent||||||serving|||message||||||peacekeeping|||Central African Republic||||||received|guest||greetings|||||||||||||||||||||||armed forces|||||||||||unit| ||||||Battalion||||||serve|||||||||||||||||||delegation||greetings||army|||||||||was led||brigadier|brigadier general|Brigadier General George Mwita Itang'are|Mwita|Itang'are|who represented|||||armed forces|||||||it receives||||| Kutoka mjini Berbérati mkoani Mambéré-Kadéï, Afisa Habari wa TANBAT 06 Kapteni Mwijage Inyoma ameshiriki mapokezi ya ugeni huo, na hii ni taarifa yake. |||||||||||||a participé||||||||| |||||||||||Mwijage Inyoma||has participated||||||||| ||Berbérati|of the region|Mambéré|Kadéï|||||Captain|Mwijage|Inyoma|participated||||||||| De la ville de Berbérati dans la province de Mambéré-Kadéï, le responsable des informations de TANBAT 06, le Capitaine Mwijage Inyoma, a participé à l'accueil de cette délégation, et voici son rapport.

Kwanza ni gwaride la ukaguzi…na kisha baadaye ukumbini ni nyimbo za morali. ||||||||salle||||morale ||parade||inspection||||in the hall|||| ||gwaride = parade||review||||in the hall||||moral D'abord, il y a la parade de contrôle... puis plus tard, en salle, des chansons de morale. Brigedia Jenerali Itangare katika ziara hii aliyoambatana na Brigedia Jenerali Robert William Mtafungwa ambaye ni Mwambata Jeshi katika Uwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa akizungumza na maafisa na askari walinda amani baada ya ziara yake ya kutembea kikosi hicho amesema kuwa lengo la ziara ya ujumbe huo ni kuangalia utayari wa kikosi lakini pia kuwapongeza kwa kazi nzuri na utayari pale wanapopewa jukumu. ||Général Itangare||||accompagné de||||||Mtafungwa (1)|||attaché militaire|||Représentation||||||||||||||||||||||||||||||||||préparation|||||les féliciter|||||||on leur donne| ||||||has accompanied||||||Mtafungwa||||||||||||||||||||||||visit||||||||||||||||readiness of the unit|||||congratulate them|||||||| ||Itangare||visit||has accompanied||||Robert||Mtafungwa = appointed|||Mwambata = liaison|||||permanent|||||||speaking||officers||soldiers|||||||||||||goal||||||||readiness|||||to congratulate||||||pale|when they are given| Le Brigadier Général Itangare, lors de cette visite, accompagné du Brigadier Général Robert William Mtafungwa, qui est Attaché Militaire à la Représentation Permanente de la Tanzanie aux Nations Unies, a parlé aux officiers et soldats de maintien de la paix après sa visite de l'unité, affirmant que l'objectif de cette mission est d'évaluer la préparation de l'unité mais aussi de féliciter pour le bon travail et la préparation lorsqu'ils sont assignés à une tâche.

Aidha Brigedia Jenerali Itang'are amewataka walinda amani hao kuzingatia maadili ili wasiuchafue Umoja wa Mataifa, Jeshi la Tanzania na taifa lao. |||Itang'are||||||||ne salissent pas||||||||| also||||has warned||||to observe|values||you do not tarnish||||||||| En outre, le Général de Brigade Itang'are a demandé à ces soldats de paix de respecter les normes afin de ne pas ternir l'Organisation des Nations Unies, l'armée de Tanzanie et leur pays.

Kwa upande wake Mkuu wa TANBAT 06 Luteni Kanali Amini Stephen Mshana ameshukuru Jeshi la Tanzania kufanya ziara ya kutembelea kikosi hicho nchini CAR lakini pia akawakumbusha askari yaliyozungumzwa amehahidi kuendeleza mafanikio waliyoyaona ikiwemo kutekeleza maelekezo ambayo wameyapokea. |||||||||||remercie||||||||||||||les a rappelé||discutées|il a promis|||qu'ils ont vus|||||qu'ils ont reçues ||||||||||||||||||||||||||||||||||||they have received ||||||Löjtnant|Överste|Amini|Stefan|Mshana|har varit tacksam|||||||||||Kongo|||påminna dem||diskussionerna|han har lovat|utveckla||de som de såg|inklusive att|att genomföra|instruktioner||de har fått Pour sa part, le Commandant de TANBAT 06, le Lieutenant-Colonel Amini Stephen Mshana, a remercié l'armée de Tanzanie pour sa visite de ce contingent en République Centrafricaine, mais il a également rappelé aux soldats les points discutés et a promis de continuer à faire progresser les réussites qu'ils ont observées, y compris la mise en œuvre des instructions qu'ils ont reçues.