×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

Who is She?, 11- Unaishi Wapi?

Ulijuaje ndugu yako anaishi hapa?

Rafiki alisema kwamba aliishi hapa.

Rafiki aliniambia mahali anaishi.

Rafiki alinipa anwani yake.

Unaishi wapi?

Naishi na wazazi wangu katika mji mwingine.

Nyumba ninayoishi, ni ya wazazi wangu.

Na lingine, uliegesha gari lako wapi?

Niliegesha karibu na kona.

Hapakuwa na mahali pa kuegesha karibu na hapa.

Uliegesha katika upande wa kulia, au upande wa kushoto wa barabara?

Niliegesha upande wa kushoto wa barabara, mbele tu ya shule.

Umeegesha kando ya lori kubwa?

Ndiyo, kwa nini?

Huruhusiwi kuegesha hapo.

Mji unakarabati barabara hapo.

Nitaenda na kuhamisha gari langu.

Tafadhali nisubiri.

Nina maswali zaidi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Ulijuaje ndugu yako anaishi hapa? How did you know|sibling|your||here How did you find out that your brother lived here?

Rafiki alisema kwamba aliishi hapa. The friend|said|that|he lived|here A friend said that he lived here.

Rafiki aliniambia mahali anaishi. My friend|told me|where| A friend told me where he lived.

Rafiki alinipa anwani yake. The friend|gave me|address|his A friend gave me his address.

Unaishi wapi? Where do you live|where Where do you live?

Naishi na wazazi wangu katika mji mwingine. I live|with|my parents|my||city|another I live in my parents' house in another town.

Nyumba ninayoishi, ni ya wazazi wangu. The house|where I live|is|of|parents|my The house where I live belongs to my parents.

Na lingine, uliegesha gari lako wapi? And|another|where did you park|car|your|where By the way, where did you park your car?

Niliegesha karibu na kona. I parked|||corner I parked around the corner.

Hapakuwa na mahali pa kuegesha karibu na hapa. There was not|and|a place|for|parking|close|and|here There was no place to park nearer here.

Uliegesha katika upande wa kulia, au upande wa kushoto wa barabara? You parked|in|side|of|right|or|side|of|left|of|road Did you park on the right side of the street or on the left side of the street?

Niliegesha upande wa kushoto wa barabara, mbele tu ya shule. I parked|side|of|left|of|road|in front|only|of|school I parked on the left side of the street just in front of the school.

Umeegesha kando ya lori kubwa? Have you parked|beside|of|truck|large Did you park beside the large truck?

Ndiyo, kwa nini? Yes|for|why Yes I did, why?

Huruhusiwi kuegesha hapo. You are not allowed|to park|there You are not allowed to park there.

Mji unakarabati barabara hapo. The city|is repairing|the road|there The city is fixing the road there.

Nitaenda na kuhamisha gari langu. I will go|and|to move|car|my I will go and move my car.

Tafadhali nisubiri. Please|wait for me Please wait for me.

Nina maswali zaidi. I have|questions|more I have some more questions.