×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

African Story Book Project, 02 Kuhesabu wanyama

02 Kuhesabu wanyama

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.

Twiga wawili wanaenda kunywa maji.

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.

Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?

Tembo mmoja anakunywa maji na simba.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

02 Kuhesabu wanyama tellen|dieren Counting|animals 동물 계산| 02 Tiere zählen 02 Counting animals 02 Contar animales 02 Compter les animaux 02 動物を数える 02 동물 세기 02 Dieren tellen 02 Liczenie zwierząt 02 Contando animais 02 Считать животных 02 Підрахунок тварин 02 数动物 02 数动物

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji. ||가고 있다|마시러| Elephant|one|is going|to drink|water olifant|||drinken|water One elephant goes to drink water. Een olifant gaat water drinken. 一只大象去喝水。

Twiga wawili wanaenda kunywa maji. de giraf||gaan|| Giraffes|two|"are going"|to drink|water 기린||가고 있다|| Two giraffes go to drink water. Twee giraffen gaan water drinken. 两只长颈鹿去喝水。

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji. Buffalo|three|and|birds|four|"also"|they are going|to drink|water 물소들|||||그들||| Three buffaloes and four birds also go to drink water. Drie buffels en vier vogels gaan ook drinken. 三头水牛和四只鸟也去喝水。

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji. 羚羊|||野猪|六||朝着|| Gazelles|five of them|and|warthogs|six|are walking|towards|to the|water 다섯 마리|||||걷고 있다|물가로|| |vijf||||||| Five antelopes and six wild boars are walking towards the water. Vijf gazelles en zes wilde zwijnen lopen naar het water. 五只羚羊和六只野猪正在向水边走去。

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji. 驴|斑马||跑|朝着|到|水 Zebra|zebra|seven|are running|towards the water|to the|water Seven striped donkeys are running towards the water. Zeven zebra's rennen naar het water. 七只斑马朝水边奔跑。

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji. 青蛙||和||九|游泳|在|水 Frogs|eight|and|fish|nine|are swimming|in the| 여덟 마리||||||| Eight frogs and nine fish swim in the water. Acht kikkers en negen vissen zwemmen in het water. 八只青蛙和九条鱼在水中游泳。

Simba mmoja anaunguruma. 狮子|一|吼 One lion roars.|one|is roaring A lion roars. Één leeuw brult. 一只狮子在咆哮。 Naye anataka kunywa maji. 他|想|喝|水 He also|he wants||water And he wants to drink water. Hij wil water drinken. 他想喝水。 Nani anamwogopa simba? |他害怕|狮子 who|fears him|lion Who is afraid of the lion? Wie is er bang voor de leeuw? 谁怕狮子?

Tembo mmoja anakunywa maji na simba. 大象|一|喝|水|和| Elephant|one|is drinking|water|and|lion An elephant is drinking water with a lion. Een olifant drinkt water met een leeuw. 一头大象在喝水,还有狮子。