×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

Habari za UN, Takriban wakimbizi 30,000 kutoka Sudan wasajiliwa Chad- UNHCR | | Habari za UN

Takriban wakimbizi 30,000 kutoka Sudan wasajiliwa Chad- UNHCR | | Habari za UN

Nchini Chad, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeanza kazi ya kusajili wakimbizi walioingia nchini humo kutoka Sudan kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa RSF kwenye mji mkuu wa taifa hilo Khartoum. Wakimbizi sasa pamoja na kusajiliwa wanapatiwa mahitaji muhimu kama anavyosimulia Sarah Oleng'.

Ving'ora! purukushani za hapa na pale! Wanawake wanaume na watoto wakipita huku na kule!

Ni harakati zenye ahueni miongoni mwa wakimbizi 30,000 kutoka Sudan ambao wameona nuru baada ya kufika hapa Midjilita, jimbo la OUADDAÏ nchini Chad.

Wakimbizi hawa wako hoi na miongoni mwao ni Raouda Abdallah Jaffar akiwa amebeba mtoto mmoja huku wengine wakiambatana naye! Wanajongea kwenye dawati la usajili lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.

Baada ya usajili, Raoud anasema, “ nimesajiliwa leo na UNHCR. Nahitaji sasa matandiko, blanketi, chakula na mahitaji mengine.”

Usajili ukikamilika, wakimbizi wanaelekea sehemu ya kupatiwa vifaa muhimu kama alivyosema Raoud. Mmoja baada ya mwingine anapatiwa matandiko, vifaa vya jikoni na kadha wa kadha.

Huku wakimbizi wakisajiliwa na kupatiwa vifaa vya msaada, kwingineko hapa ujenzi unaendelea wa makazi ya wakimbizi sambamba na vyoo ili kuhakikisha huduma za kujisafi na usafi zinapatikana.

Jerome Sebastien Naibu Mwakilishi wa UNHCR nchini Chad anasema iwapo mzozo Sudan utaendelea kuna uwezekano wa Chad kupokea hadi wakimbizi 100,000 (Laki Moja) na mahitaji ya fedha kwa ajili ya kufanikisha operesheni za usaidizi yanaweza kufikia dola milioni 130.

Hivyo ametoa ombi kwa jamii ya kimataifa kusaidia Chad na mashirika ya kiutu yanayoshiriki katika harakati za kusaidia wakimbizi.

Amesema “ni wakati huu tunahitaji uhamasishaji wa fedha ili tuweze kuwahamishia wakimbizi hawa maeneo ya ndani zaidi kwa ajili ya usalama na pia wapate usaidizi makini.”

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Takriban wakimbizi 30,000 kutoka Sudan wasajiliwa Chad- UNHCR | | Habari za UN |rifugiati|||sono registrati||||| ||||registreras||||| حوالي 30,000 لاجئ من السودان مسجلون في تشاد - المفوضية السامية للأمم المتحدة لشؤون اللاجئين | أخبار الأمم المتحدة Etwa 30.000 Flüchtlinge aus dem Sudan sind im Tschad registriert – UNHCR | UN-Nachrichten About 30,000 refugees from Sudan are registered in Chad - UNHCR | UN news Unos 30.000 refugiados de Sudán están registrados en Chad - ACNUR | noticias de la ONU Environ 30 000 réfugiés soudanais sont enregistrés au Tchad - HCR | Actualités de l'ONU Ongeveer 30.000 vluchtelingen uit Soedan zijn geregistreerd in Tsjaad - UNHCR | VN nieuws Cerca de 30.000 refugiados do Sudão estão registrados no Chade - ACNUR | notícias da ONU Cirka 30 000 flyktingar från Sudan är registrerade i Tchad – UNHCR | FN-nyheter Sudan'dan gelen yaklaşık 30.000 mülteci Çad'da kayıtlı - UNHCR | BM haberleri

Nchini Chad, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeanza kazi ya kusajili wakimbizi walioingia nchini humo kutoka Sudan kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa RSF kwenye mji mkuu wa taifa hilo Khartoum. |||||||||refugees||||||||||||||ongoing fighting|||||||militia members||||||||| ||agenzia||||||servire|||||||||||||a seguito di|||||||||miliziani||||||||| ||||||||||||||registrera||som kommit in||||||||||||||||RSF||||||| وفي تشاد، بدأت المفوضية السامية للأمم المتحدة لشؤون اللاجئين، العمل على تسجيل اللاجئين الذين دخلوا البلاد من السودان بعد الاشتباكات المستمرة بين الجيش الحكومي وميليشيا قوات الدعم السريع في العاصمة الخرطوم. Wakimbizi sasa pamoja na kusajiliwa wanapatiwa mahitaji muhimu kama anavyosimulia Sarah Oleng'. |||||are provided|||||| ||||registrered|de får|||||Sarah|Oleng ||||registrazione|ricevono|bisogni||||| يحصل اللاجئون الآن، إلى جانب تسجيلهم، على احتياجات مهمة، كما تقول سارة أولينغ. Refugees now, along with being registered, are provided with important needs as Sarah Oleng' tells.

Ving'ora! Sirens! skrik Ving'ora purukushani za hapa na pale! Gossip|||| röran|||| confusione|||| Wanawake wanaume na watoto wakipita huku na kule! ||||passing||| |män|||passing||| Women, men and children passing here and there!

Ni harakati zenye ahueni miongoni mwa wakimbizi 30,000 kutoka Sudan ambao wameona nuru baada ya kufika hapa Midjilita, jimbo la OUADDAÏ nchini Chad. |relief efforts|"with"|relief||||||||hope|||arriving|||||Ouaddaï region|| |attività||relief|tra|||||||luce||||||governo|||| ||som har|lindring|||||||de har sett|ljus|||||Midjilita|||OUADDAÏ||

Wakimbizi hawa wako hoi na miongoni mwao ni Raouda Abdallah Jaffar akiwa amebeba mtoto mmoja huku wengine wakiambatana naye! |||exhausted||||||||||||||"accompanying him"| |these||sjuka|||||Raouda Abdallah Jaffar|Abdallah|Jaffar||har bär på|||||följer med| |questi||stanchi||tra di loro||||||||||||che lo accompagnano| These refugees are helpless and among them is Raouda Abdallah Jaffar carrying one child while others accompany him! Wanajongea kwenye dawati la usajili lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR. |||||prepared desk|||||||||| diskuterar||||registrering|som har förberetts|||||||||| ||diploma||registrazione||||||||||| They are going to the registration desk organized by the United Nations refugee agency, UNHCR.

Baada ya usajili, Raoud anasema, “ nimesajiliwa leo na UNHCR. ||registration|||||| |||Raoud||jag är registrerad||| After registration, Raoud says, "I was registered today with UNHCR. Nahitaji sasa matandiko, blanketi, chakula na mahitaji mengine.” ||sängkläder|filtret|||| ||materassi||||| I now need bedding, blankets, food and other necessities."

Usajili ukikamilika, wakimbizi wanaelekea sehemu ya kupatiwa vifaa muhimu kama alivyosema Raoud. |if completed|||||||||| |registreringen är klar||are heading|||tilldelning av||||som Raoud saade| |è completato|||||||||| Mmoja baada ya mwingine anapatiwa matandiko, vifaa vya jikoni na kadha wa kadha. ||||is provided|blankets||||||| ||||receives||||kökstillbehör||och så vidare|| ||||||||||diverse|| One by one they are given bedding, kitchen utensils and other items.

Huku wakimbizi wakisajiliwa na kupatiwa vifaa vya msaada, kwingineko hapa ujenzi unaendelea wa makazi ya wakimbizi sambamba na vyoo ili kuhakikisha huduma za kujisafi na usafi zinapatikana. ||||||||elsewhere||||||||simultaneously with|||||services|||||are available ||registreras||||||||||||||parallellt||toaletter|||||självrengöring|||finns ||||||||altrove|||||abitazioni|||a fianco||toilette||assicurare|servizi||igiene|||sono disponibili

Jerome Sebastien Naibu Mwakilishi wa UNHCR nchini Chad anasema iwapo mzozo Sudan utaendelea kuna uwezekano wa Chad kupokea hadi wakimbizi 100,000 (Laki Moja) na mahitaji ya fedha kwa ajili ya kufanikisha operesheni za usaidizi yanaweza kufikia dola milioni 130. |||||||||||||||||||||||||||||achieve||||||| Jerome|Sebastien|vice|ställföreträdare|||||||konflikt||kommer att fortsätta||||||||||||||||||operation||humanitärt bistånd|||| ||||||||||conflitto||||possibilità|||ricevere||||||||||||realizzare|||||||

Hivyo ametoa ombi kwa jamii ya kimataifa kusaidia Chad na mashirika ya kiutu yanayoshiriki katika harakati za kusaidia wakimbizi. |||||||||||||participating||||| |har han gett|||||international community||||||humanitära|som deltar||||| |ha fatto|richiesta||||||||organizzazioni||umanitario|che partecipano||attività|||

Amesema “ni wakati huu tunahitaji uhamasishaji wa fedha ili tuweze kuwahamishia wakimbizi hawa maeneo ya ndani zaidi kwa ajili ya usalama na pia wapate usaidizi makini.” |||||mobilization|||||transfer|||||||||||||get help|| |||||mobilitazione|||||trasferirli|||||||||||||||