×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

Habari za UN, WFP: Uporaji wa chakula cha msaada Sudan waweka rehami Maisha ya watu milioni 4.4 | | Habari za UN

WFP: Uporaji wa chakula cha msaada Sudan waweka rehami Maisha ya watu milioni 4.4 | | Habari za UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, leo limelaani vikali uporaji katika moja ya maghala yake ya msaada wa kiufundi na chakula Eil Obeid nchini Sudan na kusema uporaji huo unaweka hatarini maisha ya watu milioni 4.4 wanaotegemea msaada wa chakula katika maeneo yaliyoathirika na vita.

Katika taarifa yake iliyotolewa mjini Roma Italia WFP imesema inafanyakazi usiku na mchana ili kuongeza operesheni zake nchini Sudan ili kuwafikia mamilioni ya watu ambao sasa wako katika hali ya sintofahamu na kukabiliwa na njaa kufuatia machafuko yaliyozuka katikati ya mwezi Aprili.

Hivyo limesema “Uporaji huo wa cjakula cha msaada wa kibinadamu na mali zingine za shirika hilo unaweza rehani maisha ya mamilioni ya watu wanaoitegemea WFP kuweza kuishi na pia kuathiri operesheni zetu katika wakati huu muhimu kwa watu wa Sudan, vitendo hivi lazima vikome.”

El Obeid ni mwenyeji wa moja ya kituo kikubwa zaidi cha masuala ya kiufundi cha WFP katika bara la Afrika na kinatumika kama njia muhimu ya operesheni nchini Sudan na Sudan Kusini.

Shirika hilo limeongeza kuwa “Mamilioni ya watu wataathiriwa na shambulio hili la uporaji.”

Ripoti za awali zinaonyesha kuwa vifaa vilivyoporwa katika tukio hilo ni pamoja na chakula na lishe, magari, mafuta na jenereta.

WFP imekumbusha kuwa “Hii si mara ya kwanza kwa chakula na mali za msaada wa kibinadamu za WFP na washirika wetu kuvamiwa na kuporwa. WFP pekee hadi sasa imerekodi hasara inayokadiriwa kuwa ya zaidi ya dola milioni 60 tangu ghasia kuzuka Aprili 15.”

Hivyo WFP imetoa witio kwa pande zote katika mzozo kuhakikisha usalama na ulinzi wa misaada ya kibinadamu , wahudumu wa kibinadamu na mali zao ili kazi yao ya kuokoa maisha iweze kuendelea.

Inakadiriwa kuwa takriban watu milioni 2 hadi milioni 2.5 nchini Sudan wanatarajiwa kutumbukia katika janga la njaa katika miezi michache ijayo kwa sababu ya vita inayoendelea.

Na hali hiyo kwa mujibu wa WFP “Itafanya hali mbaya ya uhakika wa chakula Sudan kufikia viwango vya juu zaidi huku zaidi ya watu milioni 19 wakiathirika saw ana asilimia 40 ya watu wote wa taifa hilo.”

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

WFP: Uporaji wa chakula cha msaada Sudan waweka rehami Maisha ya watu milioni 4.4 | | Habari za UN WFP: Die Plünderung von Hilfsnahrungsmitteln im Sudan hat das Leben von 4,4 Millionen Menschen gerettet | UN-Nachrichten WFP: The looting of aid food in Sudan has saved the lives of 4.4 million people | UN news PMA: El saqueo de los alimentos de ayuda en Sudán ha salvado la vida de 4,4 millones de personas | noticias de la ONU PAM : Le pillage de l'aide alimentaire au Soudan a sauvé la vie de 4,4 millions de personnes | Nouvelles de l'ONU WFP: Grabież żywności pochodzącej z pomocy w Sudanie uratowała życie 4,4 miliona ludzi | Wiadomości ONZ WFP: O saque de alimentos de ajuda no Sudão salvou a vida de 4,4 milhões de pessoas | notícias da ONU ВПП: разграбление продовольствия в Судане спасло жизни 4,4 миллиона человек | Новости ООН WFP: Sudan'da yardım malzemelerinin yağmalanması 4,4 milyon insanın hayatını kurtardı | BM haberleri

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, leo limelaani vikali uporaji katika moja ya maghala yake ya msaada wa kiufundi na chakula Eil Obeid nchini Sudan na kusema uporaji huo unaweka hatarini maisha ya watu milioni 4.4 wanaotegemea msaada wa chakula katika maeneo yaliyoathirika na vita.

Katika taarifa yake iliyotolewa mjini Roma Italia WFP imesema inafanyakazi usiku na mchana ili kuongeza operesheni zake nchini Sudan ili kuwafikia mamilioni ya watu ambao sasa wako katika hali ya sintofahamu na kukabiliwa na njaa kufuatia machafuko yaliyozuka katikati ya mwezi Aprili. |||||||||works|||||||||||to reach||||||||||uncertainty||facing|||||||||

Hivyo limesema “Uporaji huo wa cjakula cha msaada wa kibinadamu na mali zingine za shirika hilo unaweza rehani maisha ya mamilioni ya watu wanaoitegemea WFP kuweza kuishi na pia kuathiri operesheni zetu katika wakati huu muhimu kwa watu wa Sudan, vitendo hivi lazima vikome.” |it has said||||food||||||||||||||||||||||||||||||||||||||must stop

El Obeid ni mwenyeji wa moja ya kituo kikubwa zaidi cha masuala ya kiufundi cha WFP katika bara la Afrika na kinatumika kama njia muhimu ya operesheni nchini Sudan na Sudan Kusini. |||local resident||||||||||||||||||is used|||||||||| El Obeid alberga uno de los centros técnicos más grandes del PMA en el continente africano y sirve como centro operativo clave en Sudán y Sudán del Sur.

Shirika hilo limeongeza kuwa “Mamilioni ya watu wataathiriwa na shambulio hili la uporaji.” ||has added|||||||attack, raid||| ||||||||||||saqueo

Ripoti za awali zinaonyesha kuwa vifaa vilivyoporwa katika tukio hilo ni pamoja na chakula na lishe, magari, mafuta na jenereta. Les premiers rapports indiquent que les matériaux pillés lors de l'incident comprennent de la nourriture et du fourrage, des véhicules, du carburant et des générateurs.

WFP imekumbusha kuwa “Hii si mara ya kwanza kwa chakula na mali za msaada wa kibinadamu za WFP na washirika wetu kuvamiwa na kuporwa. |||||||||||||||||||partners||invaded|| WFP pekee hadi sasa imerekodi hasara inayokadiriwa kuwa ya zaidi ya dola milioni 60 tangu ghasia kuzuka Aprili 15.” ||||||estimated||||||||violence||

Hivyo WFP imetoa witio kwa pande zote katika mzozo kuhakikisha usalama na ulinzi wa misaada ya kibinadamu , wahudumu wa kibinadamu na mali zao ili kazi yao ya kuokoa maisha iweze kuendelea. |||||||||||||||||humanitarian workers|||||||||||||continue

Inakadiriwa kuwa takriban watu milioni 2 hadi milioni 2.5 nchini Sudan wanatarajiwa kutumbukia katika janga la njaa katika miezi michache ijayo kwa sababu ya vita inayoendelea. estimated|||||||||||||||||||||||

Na hali hiyo kwa mujibu wa WFP “Itafanya hali mbaya ya uhakika wa chakula Sudan kufikia viwango vya juu zaidi huku zaidi ya watu milioni 19 wakiathirika saw ana asilimia 40 ya watu wote wa taifa hilo.” |||||||It will worsen||||||||||||||||||affected||||||||| Et cette situation, selon le PAM, « fera que la mauvaise situation de la sécurité alimentaire au Soudan atteindra les plus hauts niveaux alors que plus de 19 millions de personnes seront touchées, soit 40 pour cent de la population totale du pays ».