×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.

image

LingQ Mini Stories, 13- Nina Miadi Na Rajabu

Latifa yupo ndani ya mgahawa.

Ana miadi na Rajabu.

Latifa hamjui Rajabu.

Lakini ni rafiki wa rafiki yake.

Rajabu anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!"

Anauliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa."

Rajabu anakaa chini, na Latifa anamtizama.

Anawaza kuwa ni mtanashati sana.

Latifa anatabasamu, na Rajabu anamtazama.

"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Latifa.

Nipo ndani ya mgahawa.

Nina miadi na Rajabu.

Simjui Rajabu.

Lakini ni rafiki wa rafiki yangu.

Anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!"

Ninamuuliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa."

Anakaa chini, na ninamtizama.

Ninawaza kuwa ni mtanashati sana.

Ninatabasamu, na Rajabu ananitazama.

"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema.

Maswali:

1) Latifa yupo katika mgahawa. Je, Latifa yupo nyumbani? Hapana, Latifa hayupo nyumbani. Yupo katika mgahawa.

2) Latifa ana miadi na Rajabu. Je, Latifa ana miadi na Nathan? Hapana, Latifa hana miadi na Nathan. Ana miadi na Rajabu.

3) Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake. Je, Latifa anamjua Rajabu? Hapana, Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake.

4) Rajabu anakuja kwenye mgahawa ndani ya muda. Je, Rajabu amechelewa? Hapana, Rajabu hajachelewa. Amefika katika mgahawa ndani ya muda.

5) Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa. Je, Rajabu anasema lolote kwa Latifa? Ndiyo, Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa.

6) Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu. Je, Latifa anamuuliza Rajabu swali? Ndiyo, Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu.

7) Latifa anawaza kwamba Rajabu ni mtanashati. Je, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati? Ndiyo, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati.

8) Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri. Je, Rajabu anapenda tabasamu la Latifa? Ndiyo, Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Latifa yupo ndani ya mgahawa. Latifa|is|inside|in|the restaurant Latifa ist im Restaurant. Kimi is in a restaurant. Latifa est au restaurant.

Ana miadi na Rajabu. He has|an appointment|with|Rajabu Er hat einen Termin mit Rajab. She has a date with Saul. Il a rendez-vous avec Rajab.

Latifa hamjui Rajabu. Latifa|you do not know|Rajab Latifa kennt Rajab nicht. Kimi doesn't know Saul. Latifa ne connaît pas Rajab.

Lakini ni rafiki wa rafiki yake. But|is|friend|of|friend|his/her But he is a friend of a friend.

Rajabu anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!" Rajabu|is coming|||time||he says|Hello! Saul comes on time.

Anauliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa." He/She asks|You|are|Rajabu|I|am|Latifa He says “Hello” and Kimi says “Hi”.

Rajabu anakaa chini, na Latifa anamtizama. Rajabu|sits|down|and|Latifa|looks at him Saul sits down, and Kimi looks at him.

Anawaza kuwa ni mtanashati sana. He thinks|that|is|well-dressed|very Er denkt, dass er sehr gutaussehend ist. She thinks he is very handsome.

Latifa anatabasamu, na Rajabu anamtazama. Latifa|smiles|and|Rajabu|looks at her Latifa lächelt und Rajabu sieht sie an. Kimi smiles, and Saul looks at her.

"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema. You|smile|beautiful|Rajabu|said "Sie haben ein schönes Lächeln." sagte Rajab. “You have a nice smile,” Saul says.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Latifa. This|is|story|that|narrated|by|Latifa Here is the same story told in a different way.

Nipo ndani ya mgahawa. I am|inside|of|the restaurant I am in a restaurant.

Nina miadi na Rajabu. I have|appointment|with|Rajabu I have a date with Saul.

Simjui Rajabu. I don't know|Rajab I don't know Saul.

Lakini ni rafiki wa rafiki yangu. But|is|friend|of|friend|my But he is a friend of a friend.

Anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!" He comes|within|in|time|and|he says|Hello Er kommt rechtzeitig und sagt „Hallo!“ He comes on time.

Ninamuuliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa." I ask him/her|You|are|Rajabu|I|am|Latifa He says “Hello”, and I say “Hi”.

Anakaa chini, na ninamtizama. He sits|down|and|I watch him He sits down, and I look at him.

Ninawaza kuwa ni mtanashati sana. I think|that|is|well-dressed|very Ich finde, er ist sehr hübsch. I think he is very handsome.

Ninatabasamu, na Rajabu ananitazama. I smile|and|Rajabu|he looks at me I smile, and Saul looks at me.

"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema. You|smile|beautiful|Rajabu|said “You have a nice smile,” Saul says. "Tu as un beau sourire." dit Rajab.

Maswali: Questions Questions: Des questions:

1) Latifa yupo katika mgahawa. Latifa||| One: Kimi is at a restaurant. 1) Latifa est dans un restaurant. Je, Latifa yupo nyumbani? |Latifa|| Is Kimi at home? Latifa est-elle à la maison ? Hapana, Latifa hayupo nyumbani. No|Latifa|is not|at home No, Kimi is not at home. Non, Latifa n'est pas chez elle. Yupo katika mgahawa. He is|in|the restaurant She is at a restaurant. Il est dans un restaurant.

2) Latifa ana miadi na Rajabu. Latifa|has|appointment|with|Rajabu Two: Kimi has a date with Saul. 2) Latifa a un rendez-vous avec Rajab. Je, Latifa ana miadi na Nathan? |Latifa||||Nathan Does Kimi have a date with George? Latifa a-t-elle un rendez-vous avec Nathan ? Hapana, Latifa hana miadi na Nathan. No|Latifa|does not have|appointment|with|Nathan No, Kimi does not have a date with George. Non, Latifa n'a pas de rendez-vous avec Nathan. Ana miadi na Rajabu. |meets||Rajabu She has a date with Saul. Il a rendez-vous avec Rajab.

3) Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake. Latifa|you do not know|Rajabu|but|is|friend|of|friend|his Three: Kimi does not know Saul, but he is a friend of a friend. 3) Latifa ne connaît pas Rajab, mais elle est l'amie de son amie. Je, Latifa anamjua Rajabu? question particle|Latifa|knows him|Rajabu Does Kimi know Saul? Latifa connaît-elle Rajab ? Hapana, Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake. No|Latifa|you don't know|Rajabu|but|is|friend|of|friend|his No, Kimi does not know Saul, but he is a friend of a friend. Non, Latifa ne connaît pas Rajab, mais c'est un ami de son amie.

4) Rajabu anakuja kwenye mgahawa ndani ya muda. Rajabu||to the||||time Four: Saul comes to the restaurant on time. 4) Rajabu arrive au restaurant dans les délais. Je, Rajabu amechelewa? question particle|Rajabu|has he arrived late Does Saul come to the restaurant on time? Rajabu est-il en retard ? Hapana, Rajabu hajachelewa. No|Rajabu|has not arrived late Yes, Saul comes to the restaurant on time. Non, Rajabu n'est pas en retard. Amefika katika mgahawa ndani ya muda. He has arrived|at|the restaurant|within|the|time He has arrived at the restaurant in time. Il est arrivé à temps au restaurant.

5) Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa. Rajabu|says|Hello|to|Latifa Five: Saul says “Hello!” to Kimi. 5) Rajabu dit "Bonjour !" à Latifa. Je, Rajabu anasema lolote kwa Latifa? question particle|Rajabu|says|anything|to|Latifa Does Saul say, “Hello”? Rajabu dit-il quelque chose à Latifa ? Ndiyo, Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa. Yes|Rajabu|says|Hello|to|Latifa Yes, Saul says “Hello!” to Kimi. Oui, Rajabu dit "Bonjour !" à Latifa.

6) Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu. Latifa|she asks him|Rajab|if|he||Rajabu 6) Latifa fragt Rajabu, ob er Rajabu ist. Six: Kimi thinks Saul is handsome. 6) Latifa demande à Rajabu s'il est Rajabu. Je, Latifa anamuuliza Rajabu swali? question particle|Latifa|asks him|Rajabu|question Does Kimi think Saul is handsome? Latifa pose-t-elle une question à Rajab ? Ndiyo, Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu. Yes|Latifa|asks him|Rajabu|if|he|is|Rajabu Yes, Kimi thinks Saul is handsome. Oui, Latifa demande à Rajabu s'il est Rajabu.

7) Latifa anawaza kwamba Rajabu ni mtanashati. Latifa|thinks|that|Rajabu|is|handsome Seven: Saul looks at Kimi. Je, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati? Is|Latifa|thinks|Rajabu|is|well-dressed Does Saul look at Kimi? Ndiyo, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati. Yes|Latifa|thinks|Rajabu|is|well-dressed Yes, Saul looks at Kimi. Oui, Latifa pense que Rajabu est un gamin.

8) Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri. Rajabu|says|Latifa|has|smile|beautiful Eight: Saul says Kimi has a nice smile. 8) Rajabu dit que Latifa a un beau sourire. Je, Rajabu anapenda tabasamu la Latifa? |Rajabu||smile||Latifa Does Saul say he likes Kimi's smile? Rajabu aime-t-il le sourire de Latifa ? Ndiyo, Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri. Yes|Rajabu|says|Latifa|has|smile|beautiful Yes, Saul says Kimi has a nice smile. Oui, Rajabu dit que Latifa a un beau sourire.