×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.

image

Who is She?, 12- Nataka Unisaidie

Sawa, lakini nina shughuli.

Unahitaji kuharakisha.

Tafadhali subiri.

Nahitaji sana msaada wako.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho.

Nataka unisaidie.

Na je ingekuwa ndugu yako?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi.

Naam, nimeelewa.

Unataka kujua nini?

Na ningekupa dola mia moja?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya?

Unataka nimpeleleze ndugu yako?

La, siwezi kufanya hilo.

Sio haki kwa ndugu yako.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo?

Hilo ni jambo lingine.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye..

Unamaanisha nini kwa hilo?

Wataka msaada wangu au la?

Ndiyo, nataka msaada wako.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Sawa, lakini nina shughuli. Okay|but|I have|task OK but I am busy.

Unahitaji kuharakisha. You need|to hurry You had better hurry.

Tafadhali subiri. Please|wait Please wait.

Nahitaji sana msaada wako. I need|very|help|your I really need you to help me.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako. I cannot|spend|day|whole|if I answer|only|questions|your I cannot spend the whole day just answering your questions.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho. I don't care|if|I will get|ticket|of|parking I do not care if I get a parking ticket.

Nataka unisaidie. I want|you to help me I want you to help me.

Na je ingekuwa ndugu yako? And|question particle|would be|sibling|your What if it were your brother?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi. You would be|in|situation|same|as|me You would be in the same situation as me.

Naam, nimeelewa. Yes|I understand Well, get to the point.

Unataka kujua nini? Do you want|to know|what What do you want to know?

Na ningekupa dola mia moja? And|I would give you|dollars|one hundred|one What if I gave you one hundred dollars?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya? |you would help me|to know|more|about|what|brother|my|and|his colleague|they are doing Would you help me find out more about what my brother and his roommate are doing?

Unataka nimpeleleze ndugu yako? Do you want|I to spy on|brother|your You want me to spy on your brother?

La, siwezi kufanya hilo. No|I can not|do|that No, I will not do that.

Sio haki kwa ndugu yako. It is not|fair|to|brother|your It is not fair to your brother.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo? And|if I give you|dollars|one hundred|five|question particle|will you do|that What if I give you five hundred dollars, would you do it then?

Hilo ni jambo lingine. That|is|thing|another That is a different story.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo. Without|doubt|I should|to do|that|but|with|dollars|one hundred|five|I can|to do|that Of course I really should not do it, but for five hundred dollars, I might be willing to do it.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye.. Well|Now|I understand|type|of|person|I work|work|with him Good, Now I know the kind of person I am dealing with.

Unamaanisha nini kwa hilo? What do you mean|what|by|that What do you mean by that?

Wataka msaada wangu au la? Do you want|my help|your|or|no Do you want my help or not?

Ndiyo, nataka msaada wako. Yes|I want|help|your Yes I want your help.