×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.

image

Who is She?, 6- Hii Inaweza Kutokea

Huenda alipoteza anwani yako ya barua pepe.

Hii inaweza kutokea.

Kwa nini unadhani ameacha kuniandikia?

Nitajuaje sababu yake ya kuacha kukuandikia?

Nina hakika msichana huyu ndiye sababu.

Kunaweza kuwa na sababu zingine za kutokukuandikia.

Kama nini kwa mfano?

Huenda ndugu yako amekasirishwa na wewe, kwa sababu fulani.

Hiyo siyo sababu.

Angalau, sio sababu nzuri.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi za kutokukuandikia.

Kwa nini unasema kuwa kuna sababu nyingi?

Mimi ninajaribu tu kukusaidia.

Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu yake.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Huenda alipoteza anwani yako ya barua pepe. Maybe|he lost|address|your|of|email| Maybe he lost your email address.

Hii inaweza kutokea. This|can|happen This can happen.

Kwa nini unadhani ameacha kuniandikia? Why|what|do you think|he/she has stopped|writing to me Why do you think he has stopped writing to me?

Nitajuaje sababu yake ya kuacha kukuandikia? How will I know|reason|his|of|to stop|writing to you How should I know why he has stopped writing to you?

Nina hakika msichana huyu ndiye sababu. I have|certainty|girl|this|is the|reason I am sure the girl is the reason why.

Kunaweza kuwa na sababu zingine za kutokukuandikia. There may|be|and|reasons|other|for|not writing to you There could be other reasons why he does not write.

Kama nini kwa mfano? like|what|for|example Like what for example?

Huenda ndugu yako amekasirishwa na wewe, kwa sababu fulani. Perhaps|sibling|your|is angry|with|you|for|reason|some Maybe your brother is angry with you for some reason.

Hiyo siyo sababu. That|is not|reason That is no reason.

Angalau, sio sababu nzuri. At least|not|reason|good At least it is not a good reason.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi za kutokukuandikia. There may be|be|and|reasons|many|for|not writing to you There could be many different reasons why he does not write to you.

Kwa nini unasema kuwa kuna sababu nyingi? For|why|you say|that|there are|reasons|many Why do you say that there are many reasons?

Mimi ninajaribu tu kukusaidia. I|am trying|just|to help you I am just trying to help.

Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu yake. You have no|need|to|be|with|worry|about|him You need not worry about him.