×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.

image

Habari za UN, Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN

Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu. Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona. Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi. Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma. Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata. Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN Learn|Swahili|Meaning|of the||Smallpox|News|"news about"|United Nations News Lär dig|swahili|||ord|fiende||| Kisuaheli lernen: Die Bedeutung des Wortes „Pocken“ | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: The meaning of the word "smallpox" | | UN news Aprenda Kiswahili: El significado de la palabra "viruela" | | noticias de la ONU Apprenez le kiswahili : la signification du mot « variole » | | Actualités de l'ONU スワヒリ語を学ぶ: 「天然痘」という言葉の意味 | |国連ニュース 스와힐리어 배우기: "천연두"라는 단어의 의미 | | 유엔 뉴스 Dowiedz się Kiswahili: Znaczenie słowa „ospa” | | Wiadomości ONZ Aprenda Kiswahili: O significado da palavra "varíola" | | notícias da ONU Lär dig Kiswahili: Betydelsen av ordet "smittkoppor" | | FN-nyheter 学习斯瓦希里语:“天花”一词的含义 | |联合国新闻

Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. |let's turn to||||noble language|||||we receive|explanation (1)|||NDUI (1)||||||||senior editor||||||||| |låt oss vända oss||||ädel|||||vi får|förklaring||||||expert||Onni|Sigalla|redaktör||||||||||Kiswahili språkråd Let's turn to learning the glorious language of Kiswahili and today we get the definition of the word "NDUI" from our expert Onni Sigalla, Senior Editor of the National Kiswahili Council in Tanzania, BAKITA.

Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu. ||disease||||||do not understand ||sjukdom||||||do not understand Smallpox is a disease that many people are not familiar with. Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona. |||||chickenpox||is spread||viruses|attacking the|the body|usually|leaves|black spots|||skin|||healing |||||vattkoppor||sprids||virus|som angriper|kroppen|ofta|lämnar efter sig|svarta fläckar|||hud|||återhämta This is a disease like chicken pox, which is spread by a virus that attacks the body and often leaves black spots on the skin after recovery. Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi. |type of||rash||affects|||disease||is transmitted|| |||utslag||man får|||||smittas|| It is a type of rash that affects a person and the disease is infected by a virus. Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma. |||||was present|||| |||||fanns det|||| And this is a disease that was very prevalent in the past years. Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata. |||rare|due to||vaccines||||they receive |||sällsynt|||vaccin|olika|som||de får Right now it's rare due to the various vaccines that people get. Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi. ||it can|||environment||maturity||||||controlling|| |||||||mognad||||teknologi||kontrollera|| But it can also be due to the environment and the maturity of science and technology in controlling this virus.