×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.


image

Habari za UN, WHO: Watu milioni 8 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tumbaku: | | Habari za UN

WHO: Watu milioni 8 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tumbaku: | | Habari za UN

Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO, limezitaka nchi kuacha kutoa ruzuku kwa kilimo cha tumbaku na badala yake kuunga mkono na kusaidia kilimo cha mazao endelevu yatakayoweza kulisha mamilioni ya watu wenye uhitaji wa chakula.

Kupitia ujumbe wake wa siku hii mkurugenzi mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema “Tumbaku inawajibika kwa vifo milioni 8 kila mwaka lakini bado serikali duniani kote zitatumia mamilioni ya dola kuunga mkono mashamba ya tumbaku. Watu duniani kote wanakabiliwa na njaa wakati ekari milioni 300 za dunia yetu zinatumika kulima tumbaku.”

Akaenda mbali zaidi na kusistiza kwamba “Ni wakati wa kubadili mwelekeo wa juhudi zetu na kujikita na kilimo ambacho kinastawisha siha yetu na mazingira yetu.”

Hivi sasa kwa mujibu wa WHO zaidi ya watu milioni 300 duniani kote wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula wakati ambapo Zaidi ya ekari milioni 300 katika nchi zaidi ya 120 duniani zinatumika kulima tumbaku hata kwenye nchi ambazo watu wana njaa kali.

WHO

Dkt. Tedros amesema WHO inafanyakazi kwa karibu na mashirika mengi ya Umoja wa Mataifa likiwemo la chakula na kilimo FAO na la mpango wa chakula duniani WFP kuwasaidia wakulima kuhamia kwenye kilimo mbadala wa tumbaku kwani “kwa kuchagua kulima chakula badala ya tumbaku tutatoa kipaumbele kwa afya, kulinda mfumo wa maisha na kuimarisha uhakika wa chakula kwa wote.”

Lengo la maadhimisho ya mwaka huu ni kuujulisha umma hatari za matumizi ya tumbaku, mwenendo wa biashara wa makampuni ya tumbaku, nini kinachofanywa na WHO kupambana na janga la tumbaku na nini watu duniani kote wanaweza kufanya ili kudai haki yao ya afya, maisha yenye afya na kuvilinda vizazi vijavyo.

Siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani huadhimishwa kila mwaka Mei 31 na mwaka huu imebeka maudhui “Lima chakula sio tumbaku.”

WHO: Watu milioni 8 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tumbaku: | | Habari za UN |||lose||||due to||tobacco||| WHO: 8 million people die every year from tobacco: | | UN news OMS: 8 millones de personas mueren cada año a causa del tabaco: | | noticias de la ONU OMS : 8 millions de personnes meurent chaque année à cause du tabac : | | Actualités de l'ONU WIE: Jaarlijks sterven 8 miljoen mensen aan tabak: | | VN-nieuws QUEM: 8 milhões de pessoas morrem todos os anos por causa do tabaco: | | Notícias da ONU

Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO, limezitaka nchi kuacha kutoa ruzuku kwa kilimo cha tumbaku na badala yake kuunga mkono na kusaidia kilimo cha mazao endelevu yatakayoweza kulisha mamilioni ya watu wenye uhitaji wa chakula. If|||||anti-tobacco|use||tobacco|worldwide|organization||United Nations||nations||health|worldwide||has urged||stop|to provide|subsidy||||||||support and assist|arm|||tobacco farming|of|crops|sustainable crops|that can|to feed|millions|||with|need for food|| If today is the day against the use of tobacco in the world, the United Nations World Health Organization (WHO) has asked countries to stop subsidizing tobacco farming and instead support and help the cultivation of sustainable crops that will be able to feed millions of people in need of food.

Kupitia ujumbe wake wa siku hii mkurugenzi mkuu wa WHO Dkt. Through|message|||||director general|director||| Through his message of this day, the Director General of WHO, Dr. Tedros Ghebreyesus amesema “Tumbaku inawajibika kwa vifo milioni 8 kila mwaka lakini bado serikali duniani kote zitatumia mamilioni ya dola kuunga mkono mashamba ya tumbaku. Tedros Ghebreyesus|Ghebreyesus|||is responsible for||deaths||||||government|worldwide|around the world|will use|millions|||support|tobacco|farms||tobacco Tedros Ghebreyesus has said "Tobacco is responsible for 8 million deaths every year but still governments around the world will spend millions of dollars to support tobacco farms. Watu duniani kote wanakabiliwa na njaa wakati ekari milioni 300 za dunia yetu zinatumika kulima tumbaku.” ||around the world|are facing||hunger||acres|||the world|our world|are used|| People all over the world are facing hunger when 300 million acres of our earth are used to grow tobacco."

Akaenda mbali zaidi na kusistiza kwamba “Ni wakati wa kubadili mwelekeo wa juhudi zetu na kujikita na kilimo ambacho kinastawisha siha yetu na mazingira yetu.” He went|further away|||emphasizing|||||to change|direction||efforts|||focus|||that which|nurtures|health|||environment| He went further and emphasized that "It is time to change the direction of our efforts and focus on agriculture that develops our health and our environment."

Hivi sasa kwa mujibu wa WHO zaidi ya watu milioni 300 duniani kote wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula wakati ambapo Zaidi ya ekari milioni 300 katika nchi zaidi ya 120 duniani zinatumika kulima tumbaku hata kwenye nchi ambazo watu wana njaa kali. Right now|||according|||||||||are facing||challenge|||food insecurity||lack of certainty|of|||where|||acres|||country||||are used|to cultivate|||||that are||||hunger Currently, according to the WHO, more than 300 million people around the world are facing the great challenge of food insecurity at a time when more than 300 million acres in more than 120 countries in the world are used to grow tobacco, even in countries where people are starving.

WHO

Dkt. Tedros amesema WHO inafanyakazi kwa karibu na mashirika mengi ya Umoja wa Mataifa likiwemo la chakula na kilimo FAO na la mpango wa chakula duniani WFP kuwasaidia wakulima kuhamia kwenye kilimo mbadala wa tumbaku kwani “kwa kuchagua kulima chakula badala ya tumbaku tutatoa kipaumbele kwa afya, kulinda mfumo wa maisha na kuimarisha uhakika wa chakula kwa wote.” Tedros|||is working||close||organizations|||United Nations|||including the||||agriculture||||program|||in the world||||transition to||agriculture|alternative|||because||to choose|farming||instead of|||we will provide|priority||health|to farm|system||lifestyle||strengthen|food security||||everyone Tedros has said that the WHO is working closely with many organizations of the United Nations, including the Food and Agriculture Organization (FAO) and the World Food Program (WFP) to help farmers move to alternative tobacco farming because "by choosing to grow food instead of tobacco we will give priority to health, protecting the system of life and strengthen food security for all."

Lengo la maadhimisho ya mwaka huu ni kuujulisha umma hatari za matumizi ya tumbaku, mwenendo wa biashara wa makampuni ya tumbaku, nini kinachofanywa na WHO kupambana na janga la tumbaku na nini watu duniani kote wanaweza kufanya ili kudai haki yao ya afya, maisha yenye afya na kuvilinda vizazi vijavyo. Goal|goal of|celebrations||year|||inform|public|danger|of|use|||trend||||companies||tobacco||what is being done|||to fight||pandemic|||||people||||||demanding|rights||||life|that have|||protect|future generations|future generations The goal of this year's celebration is to inform the public about the dangers of tobacco use, the business practices of tobacco companies, what WHO is doing to fight the tobacco epidemic and what people around the world can do to claim their right to health, a healthy life and to protect future generations.

Siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani huadhimishwa kila mwaka Mei 31 na mwaka huu imebeka maudhui “Lima chakula sio tumbaku.” ||against|use|||worldwide|is celebrated|||||||has been set|content|Grow||| World No Tobacco Day is celebrated every year on May 31, and this year it has the theme 'Grow food, not tobacco.' La journée mondiale antitabac est célébrée chaque année le 31 mai et cette année, le thème est « Cultivez de la nourriture, pas du tabac ».