×

Nous utilisons des cookies pour rendre LingQ meilleur. En visitant le site vous acceptez nos Politique des cookies.

image

LingQ Mini Stories, 17- Ninarudi Nyumbani Kutoka Kazini

Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini.

Anaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.

Kuna magari mengine mengi kwenye barabara.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.

Oscar anafadhaika na kukasirika.

Anawasha redio kusikiliza habari.

Kisha, anasikiliza muziki.

Anaimba pia ikitokea maneno anayajua.

Ila, Oscar ameboreka na kuchoka.

Oscar anafikiria kununua pikipiki badala yake.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Oscar.

Ninarudi nyumbani kutoka kazini.

Ninaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.

Kuna magari mengine mengi barabarani.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.

Ninajisikia kufadhaika na kukasirika.

Ninawasha redio nisikilize habari.

Kisha, ninasikiliza muziki.

Ninaimba pia inapotokea ninayajua maneno.

Ila, bado nimeboreka na nimechoka.

Ninafikiria kununua pikipiki badala yake.

Maswali.

1) Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. Je, Oscar yupo kazini? Hapana, Oscar hayupo kazini. Anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake.

2) Kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. Je, kuna magari mengine mengi katika barabara? Ndiyo, kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar.

3) Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwasababu barabara imejaa. Je, Oscar anaweza kuendesha kwa kasi? Hapana, Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwa sababu barabara imejaa sana.

4) Oscar anajisikia kufadhaika na kukasirika. Je, Oscar anajisikia furaha? Hapana, Oscar hajisikii furaha. Anajisikia kufadhaika na kukasirika.

5) Oscar anasikiliza habari katika redio ndani ya gari. Je, Oscar anasikiliza habari? Ndiyo, Oscar anasikiliza habari kwenye redio ndani ya gari lake.

6) Oscar anaimba na nyimbo inapotokea anayajua maneno. Je, Oscar anaimba? Ndiyo, anaimba ikitokea anayajua maneno.

7) Oscar anafikiria anaweza kununua pikipiki, badala ya kuendesha gari. Je, Oscar anataka pikipiki? Ndiyo, anafikiria anaweza kununua pikipiki badala ya kuendesha gari.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini. Oscar|returns|home|from|work Marco is coming home from work. Oscar rentre du travail.

Anaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku. He drives|towards|home|from|work|every|day He drives home from work every day. Il rentre du travail en voiture tous les jours.

Kuna magari mengine mengi kwenye barabara. There are|cars|other|many|on|the road There are many other cars on the highway. Il y a beaucoup d’autres voitures sur la route.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi. The road|is very full|much|you cannot|drive|fast The highway is too crowded to move. La route est tellement encombrée qu’on ne peut pas rouler vite.

Oscar anafadhaika na kukasirika. Oscar|gets upset|and|get angry Marco feels frustrated and angry. Oscar devient frustré et en colère.

Anawasha redio kusikiliza habari. He turns on|the radio|to listen|news Er schaltet das Radio ein, um die Nachrichten zu hören. He turns on the radio to hear the news. Il allume la radio pour écouter les informations.

Kisha, anasikiliza muziki. Then|he listens to|music Then, he listens to some songs.

Anaimba pia ikitokea maneno anayajua. He sings|also|if it happens|words|he knows Still, Marco is bored and tired. Il chante aussi lorsque les mots qu'il connaît reviennent.

Ila, Oscar ameboreka na kuchoka. But|Oscar|has improved|and|tiredness The highway is too crowded every day. Sauf qu'Oscar va mieux et est fatigué.

Oscar anafikiria kununua pikipiki badala yake. Oscar|is thinking|to buy|motorcycle|instead|of him Marco thinks about buying a motorcycle instead.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Oscar. This|is|story|that|being told|by|Oscar Here is the same story told in a different way.

Ninarudi nyumbani kutoka kazini. I will return|home|from|work I am coming home from work.

Ninaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku. I drive|towards|home|from|work|every|day I drive home from work every day.

Kuna magari mengine mengi barabarani. There are|cars|other|many|on the road There are many other cars on the highway.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi. The road|is very full|much|you cannot|drive|fast The highway is too crowded to move.

Ninajisikia kufadhaika na kukasirika. I feel|frustrated|and|get angry I feel frustrated and angry.

Ninawasha redio nisikilize habari. I turn on|the radio|so I can listen to|the news Ich schalte das Radio ein, um die Nachrichten zu hören. I turn on the radio to hear the news.

Kisha, ninasikiliza muziki. Then|I listen to|music Then, I listen to some songs.

Ninaimba pia inapotokea ninayajua maneno. I sing|also|when it happens|I know|the words Still, I am bored and tired.

Ila, bado nimeboreka na nimechoka. But|still|I am bored|and|I am tired Aber mir geht es immer noch besser und ich bin müde. The highway is too crowded every day.

Ninafikiria kununua pikipiki badala yake. I am thinking|to buy|motorcycle|instead|of it I think about buying a motorcycle instead.

Maswali. Questions Questions:

1) Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. Oscar|returns|home|from|work|inside|his|car|his One: Marco is coming home from work in his car. Je, Oscar yupo kazini? |Oscar|| Is Marco at work? Hapana, Oscar hayupo kazini. No|Oscar|is not|at work No, Marco is not at work. Anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. He returns|home|from|work|inside|his|car|his he is coming home from work in his car.

2) Kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. There are|cars|other|many|on|the road|together|with|Oscar Two: There are many other cars on the highway with Marco. Je, kuna magari mengine mengi katika barabara? Is|there are|cars|other|many|on/in|the road Are there other cars on the highway? Ndiyo, kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. Yes|there are|cars|other|many|on|the road|together|with|Oscar Yes, there are many other cars on the highway with Marco.

3) Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwasababu barabara imejaa. Oscar|cannot|drive|at|speed|because|road|is full Three: Marco cannot move because the highway is too crowded. Je, Oscar anaweza kuendesha kwa kasi? question particle|Oscar|can|drive|at|speed Can Marco move? Hapana, Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwa sababu barabara imejaa sana. No|Oscar|cannot|drive|at|speed|because|the road|road|is full|very No, Marco cannot move because the highway is too crowded.

4) Oscar anajisikia kufadhaika na kukasirika. Oscar|feels|frustrated|and|angry Four: Marco feels frustrated and angry. Je, Oscar anajisikia furaha? question particle|Oscar|feels|happiness Does Marco feel happy? Hapana, Oscar hajisikii furaha. No|Oscar|does not feel|happiness No, Marco does not feel happy. Anajisikia kufadhaika na kukasirika. He feels|frustrated|and|angry he feels frustrated and angry.

5) Oscar anasikiliza habari katika redio ndani ya gari. Oscar|listens|news|on|radio|inside|of|car Five: Marco listens to the news on the radio in his car. Je, Oscar anasikiliza habari? question particle|Oscar|listens to|news Does Marco listen to the news? Ndiyo, Oscar anasikiliza habari kwenye redio ndani ya gari lake. Yes|Oscar|listens to|news|on|radio|inside|of|car|his Yes, Marco listens to the news on the radio in his car.

6) Oscar anaimba na nyimbo inapotokea anayajua maneno. Oscar|sings|and|songs|when it happens|he knows|the words Six: The highway is always crowded every day. Je, Oscar anaimba? |Oscar| Is the highway always crowded? Ndiyo, anaimba ikitokea anayajua maneno. Yes|she sings|when it happens|he knows|the words Yes, the highway is always crowded every day. Oui, il chante s'il connaît les paroles.

7) Oscar anafikiria anaweza kununua pikipiki, badala ya kuendesha gari. Oscar|thinks|he can|buy|motorcycle|instead|of|driving|car Seven: Marco thinks he might buy a motorcycle instead of driving. 7) Oscar pense qu'il peut acheter une moto au lieu de conduire une voiture. Je, Oscar anataka pikipiki? question particle|Oscar|wants|motorcycle Does Marco want a motorcycle? Oscar veut-il une moto ? Ndiyo, anafikiria anaweza kununua pikipiki badala ya kuendesha gari. Yes|he thinks|he can|buy|motorcycle|instead of|driving|car|car Yes, he thinks he might buy a motorcycle instead of driving.