Habari za UN, Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN
Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.
Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu.Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona.Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi.Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma.Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata.Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi.
To hear audio for this text, and to learn the vocabulary sign up for a free LingQ account.
Essayez LingQ et apprenez à partir de séries de Netflix, vidéos de YouTube, articles d'actualité et bien plus encore.
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UNLearn|Swahili|Meaning|of the||Smallpox|News|"news about"|United Nations NewsLär dig|swahili|||ord|fiende|||
Kisuaheli lernen: Die Bedeutung des Wortes „Pocken“ | | UN-Nachrichten
Learn Kiswahili: The meaning of the word "smallpox" | | UN news
Aprenda Kiswahili: El significado de la palabra "viruela" | | noticias de la ONU
Apprenez le kiswahili : la signification du mot « variole » | | Actualités de l'ONU
スワヒリ語を学ぶ: 「天然痘」という言葉の意味 | |国連ニュース
Dowiedz się Kiswahili: Znaczenie słowa „ospa” | | Wiadomości ONZ
Aprenda Kiswahili: O significado da palavra "varíola" | | notícias da ONU
Lär dig Kiswahili: Betydelsen av ordet "smittkoppor" | | FN-nyheter
学习斯瓦希里语:“天花”一词的含义 | |联合国新闻
Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.|låt oss vända oss||||ädel|||||vi får|förklaring||||||expert||Onni|Sigalla|redaktör||||||||||Kiswahili språkråd
Let's turn to learning the glorious language of Kiswahili and today we get the definition of the word "NDUI" from our expert Onni Sigalla, Senior Editor of the National Kiswahili Council in Tanzania, BAKITA.
Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu.||sjukdom||||||do not understand
Smallpox is a disease that many people are not familiar with.
Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona.|||||vattkoppor||sprids||virus|som angriper|kroppen|ofta|lämnar efter sig|svarta fläckar|||hud|||återhämta
This is a disease like chicken pox, which is spread by a virus that attacks the body and often leaves black spots on the skin after recovery.
Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi.|||utslag||man får|||||smittas||
It is a type of rash that affects a person and the disease is infected by a virus.
Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma.|||||fanns det||||
And this is a disease that was very prevalent in the past years.
Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata.|||sällsynt|||vaccin|olika|som||de får
Right now it's rare due to the various vaccines that people get.
Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi.|||||||mognad||||teknologi||kontrollera||
But it can also be due to the environment and the maturity of science and technology in controlling this virus.