Unahitajika kusikiliza sana.
You need to|to listen|
Man muss viel zuhören.
You need to listen a lot.
Il faut beaucoup écouter.
Unahitajika kusoma sana.
Man muss viel lesen.
You need to read a lot.
Unaweza kusikiliza ukiwa kwenye daladala.
||when you are||minibus taxi
Sie können auch unterwegs zuhören.
You can listen when you are on the bus.
Vous pouvez écouter en déplacement.
Unaweza kusikiliza ukiwa unatembea.
||while you are|walking
Sie können beim Gehen zuhören.
You can listen when you walk.
Unaweza kusoma kidogo mida ya asubuhi.
|||time||
Sie können morgens ein wenig lesen.
You can read a little in the morning.
Vous pouvez lire un peu le matin.
Unaweza kusoma kidogo mida ya usiku.
|||around||
Man kann spät abends noch etwas lesen.
You can read a little at night.
Vous pouvez lire un peu tard le soir.
Unaweza usielewe kila kitu.
Möglicherweise verstehen Sie nicht alles.
You will not understand everything.
Usijali kuhusu hilo.
This does not matter.
Ne vous inquiétez pas.
Muda sio mrefu utaelewa zaidi na zaidi.
|||"you will understand"|||
Bald wirst du immer mehr verstehen.
Soon you will understand more and more.
Bientôt, vous comprendrez de plus en plus.
Kama ukielewa, utajifunza hata kuongea.
|"If you understand"||even|
Wenn Sie verstehen, lernen Sie sogar sprechen.
If you understand, you will learn to speak.
Si vous comprenez, vous apprendrez même à parler.