Johari na Eliza wanataka kupunguza uzito.
Johari|and|Eliza|want|to lose|weight
Mara and Emily want to lose weight.
Johari et Eliza veulent perdre du poids.
Wanataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.
They want|to go|to the|gym|of|exercise
Sie wollen ins Fitnessstudio gehen.
They want to go to a gym.
Ils veulent aller au gymnase.
Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.
But|going|to the|gym|of|exercise|is|cost
Going to a gym is expensive, though.
Mais aller à la salle de sport coûte cher.
Hivyo wanaamua kufanya mazoezi nyumbani.
So|they decide|to do|exercise|at home
So, they decide to exercise at home.
Ils décident donc de pratiquer à la maison.
Johari anaanza kukimbia, na Eliza ananyanyua vyuma.
Johari|starts|to run|and|Eliza|lifts|weights
Johari beginnt zu rennen und Eliza greift nach den Eisen.
Mara tries to run, and Emily lifts weights.
Johari se met à courir et Eliza ramasse les fers.
Ila Johari hapendi kukimbia.
But|Johari|does not like|to run
Mara doesn't like running, though.
Mais Johari n'aime pas courir.
Na Eliza hana nguvu.
And|Eliza|has no|strength
Und Eliza ist machtlos.
And Emily is not very strong.
Et Eliza est impuissante.
Na pia wametingwa sana na kazi.
And|also|they are overwhelmed|very|by|work
Und sie sind auch sehr arbeitslos.
They are also very busy.
Et ils sont également très au chômage.
Hawana muda wa kufanya mazoezi.
They do not have|time|to|do|exercises
Sie haben keine Zeit zum Sport.
They don't have time to exercise.
Ils n'ont pas le temps de faire de l'exercice.
Labda watajaribu tena wiki ijayo.
Maybe|they will try|again|week|next
Maybe they can try again next week.
Peut-être qu'ils réessayeront la semaine prochaine.
Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Johari.
This|is|story|that|narrated|by|Johari
Here is the same story told in a different way.
C'est l'histoire racontée par Johari.
Eliza na mimi tunataka kupunguza uzito.
Eliza|and|I|we want|to lose|weight
Emily and I want to lose weight.
Eliza et moi voulons perdre du poids.
Tunataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.
We want|to go|to the|gym|of|exercise
We want to go to a gym.
Nous voulons aller à la salle de sport.
Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.
But|going|to the|gym|of|exercise|is|
Going to a gym is expensive, though.
Mais aller à la salle de sport coûte cher.
Hivyo, tunaamua kufanya mazoezi nyumbani.
Therefore|we decide|to do|exercise|at home
So, we decide to exercise at home.
Nous décidons donc de pratiquer à la maison.
Ninaanza kukimbia, na Eliza anaanza kunyanyua vyuma.
I start|to run|and|Eliza|she starts|to lift|weights
I try to run, and Emily lifts weights.
Je commence à courir et Eliza commence à soulever des poids.
Ila sipendi kukimbia.
But|I don't like|to run
I don't like running, though.
Mais je n'aime pas courir.
Na Eliza hana nguvu.
And|Eliza|has no|strength
And Emily is not very strong.
Et Eliza est impuissante.
Pia tumetingwa sana na kazi.
Also|we are overwhelmed|very|by|work
We are also very busy.
Nous sommes également très isolés du travail.
Hatuna muda wa kufanya mazoezi.
We don't have|time|to|do|exercise
We don't have time to exercise.
Nous n'avons pas le temps de pratiquer.
Labda tutajaribu tena wiki ijayo.
Maybe|we will try|again|week|next
Maybe we can try again next week.
Peut-être que nous réessayerons la semaine prochaine.
Maswali.
Questions
Questions:
Des questions.
1) Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi.
Johari|and|Eliza|want|to do|exercise|in|gym|of|exercise
One: Mara and Emily want to exercise at the gym.
Je, Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi?
Do Mara and Emily want to exercise?
Ndiyo, wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi.
Yes|they want|to do|exercises|in|gym|of|exercises
Yes, they want to exercise at a gym.
2) Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.
Going|to|gym|of|exercise|is|expensive
Two: Going to a gym is expensive.
Je, kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni bei rahisi?
||||||||cheap
Is going to a gym cheap?
Hapana, sio bei rahisi.
No|is not|price|cheap
No, it is not cheap.
Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.
Going|to|gym|of|exercise|is|expensive
going to a gym is expensive.
3) Wanaamua kufanya mazoezi nyumbani, sababu ukumbi wa mazoezi ni gharama sana.
They decide|to do|exercise|at home|because|gym|of|exercise|is|expensive|very
Three: They decide to exercise at home, because the gym is too expensive.
Je, ukumbi wa mazoezi ni upo mbali sana nao?
question particle|hall|of|exercises|is|you are|far|very|from them
Ist das Fitnessstudio zu weit von ihnen entfernt?
Do they decide to exercise at home?
Hapana, ukumbi wa mazoezi haupo mbali sana nao.
No|hall|of|exercises|is not|far|very|it
Yes, they decide to exercise at home.
Ukumbi wa mazoezi ni gharama sana.
The hall|of|exercises|is|expensive|very
because the gym is too expensive.
4) Johari hapendi kukimbia.
Four: Mara does not like running.
Je Johari anapenda kukimbia?
Does Mara like to run?
Hapana, Johari hapendi kukimbia.
No|Johari|does not like|to run
No, Mara does not like running.
5) Eliza anajaribu kunyanyua vyuma, lakini hana nguvu.
Eliza|is trying|to lift|weights|but|she has no|strength
Five: Emily tries lifting weights, but she is not very strong.
Je, Eliza anajaribu kukimbia pia?
question particle|Eliza|tries|to run|also
Does Emily try running, too?
Hapana, Eliza hajajaribu kukimbia.
No|Eliza|has not tried|to run
No, Emily doesn't try running.
Anajaribu kunyanyua vyuma.
He is trying|to lift|metals
She tries lifting weights.
6) Eliza hana nguvu.
Six: Emily is not strong.
Je, Eliza ana nguvu za kutosha kunyanyua vyuma?
|||||sufficient|lift|
Is Emily strong?
Hapana, Eliza hana nguvu.
No|Eliza|does not have|strength
No, Emily is not strong.
7) Johari na Eliza wametingwa sana na kazi, hivyo hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi.
Johari|and|Eliza|are overwhelmed|very|by|work|so|they do not have|time|much|to|do|exercises
Seven: Mara and Emily are very busy, so they don't have a lot of time to exercise.
Je, Johari na Eliza wametingwa sana na kazi?
question particle|Johari|and|Eliza|are overwhelmed|very|by|work
Are Mara and Emily very busy?
Ndiyo, wametingwa sana na kazi, hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi.
Yes|they are overwhelmed|very|by|work|they do not have|time|much|to|do|exercise
Yes, they are very busy, so they don't have a lot of time to exercise.