×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.

image

Habari za UN, Methali: Aanguae huanguliwa | | Habari za UN

Methali: Aanguae huanguliwa | | Habari za UN

Na sasa ni wasaa wa kujifunza Kiswahili. Mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali isemayo “Aanguae huanguliwa.”

Aanguae huanguliwa. Ni methali iliyo na maana ya msingi kuwa, kuna wanyama ambao hutaga mayai. Mayai haya baadaye huanguliwa baada ya muda fulani wa kutunzwa na kupashwa joto na aliyeyataga. Huyu naye aliyeyataga naye katagwa na kuanguliwa. Ndiyo maana anataga na kuangua. Asingalifanywa na kuanguliwa hangalikuwepo. Inatufunza [methali] kwamba hakuna kinachotokana na ombwe tupu. Kila kitu kina asili yake. Hata kama mtu ana sifa gani, ziwe njema au mbovu, amezaliwa naye atazaa wake pia. Kwamba anayeonekana bora sana ameandaliwa vyema. Tusidharau asili yetu hata kidogo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Methali: Aanguae huanguliwa | | Habari za UN proverb|to be saved|becomes ashes||| |brinner upp|||| Sprichwort: Aanguae ist geschlüpft | | UN-Nachrichten Proverb: Aanguae is hatched | | UN news Proverbio: Aanguae nace | | noticias de la ONU Proverbe : Aanguae est éclos | | Actualités de l'ONU ことわざ: アングエは孵化する | |国連ニュース Spreekwoord: Aanguae is uitgebroed | | VN nieuws Przysłowie: Wykluł się Aanguae | | Wiadomości ONZ Provérbio: Aanguae é chocado | | notícias da ONU Ordspråk: Aanguae kläcks | | FN-nyheter 谚语:Aanguae 是孵出来的 | |联合国新闻

Na sasa ni wasaa wa kujifunza Kiswahili. |||time||| Und jetzt ist es Zeit, Kiswahili zu lernen. And now it's time to learn the Kiswahili language. Mchambuzi wetu Dkt. Analyst|| Unser Analyst Dr. Our analyst Dr. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali isemayo “Aanguae huanguliwa.” ||||||lecturer|||||||faculty||||and interpreting|is explaining||that says|Aanguae| Josephat Gitonga, from Kenya who is a lecturer at the University of Nairobi in the faculty of translation and interpreting, explains to us the proverb that says "The hatchling hatches."

Aanguae huanguliwa. Aanguae is hatched. Ni methali iliyo na maana ya msingi kuwa, kuna wanyama ambao hutaga mayai. ||that|that|||foundation|||||lay| It is a proverb with the basic meaning that there are animals that lay eggs. Mayai haya baadaye huanguliwa baada ya muda fulani wa kutunzwa na kupashwa joto na aliyeyataga. |||||||||being kept||heated up|||that laid them These eggs later hatch after some time of being cared for and warmed by the one who laid them. Huyu naye aliyeyataga naye katagwa na kuanguliwa. ||||dropped out||fallen The one who laid it was also laid and hatched. Ndiyo maana anataga na kuangua. ||he is crying||hatch That is why he lays and hatches. Asingalifanywa na kuanguliwa hangalikuwepo. Would not have||examination or inspection|would not exist If he hadn't been made and hatched he wouldn't exist. Inatufunza \[methali\] kwamba hakuna kinachotokana na ombwe tupu. teaches us||||that comes from||emptiness|empty request It teaches us \[proverb\] that nothing comes from a vacuum. Kila kitu kina asili yake. |||origin| Everything has its origin. Hata kama mtu ana sifa gani, ziwe njema au mbovu, amezaliwa naye atazaa wake pia. ||||trait||be|good||bad qualities|has been born||will give birth|| No matter what qualities a person has, whether they are good or bad, he is born with him and he will also give birth to his own. Kwamba anayeonekana bora sana ameandaliwa vyema. |who appears|||prepared well|well That the one who looks the best is well prepared. Tusidharau asili yetu hata kidogo. let's not underestimate||our|| Let's not underestimate our nature at all.