×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

LingQ Mini Stories, 18- Hajui Avae Nini

Happy anajiandaa asubuhi.

Hajui avae nini.

Anatazama ndani ya kabati lake la nguo.

Anaona sketi ya kahawia.

Lakini kuna baridi sana leo.

Anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni.

Lakini ni chafu kidogo.

Na ana kikao kazini leo.

Happy anavaa sketi ya kahawia.

Inampendeza, lakini miguu yake ni ya baridi.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Happy.

Ninajiandaa asubuhi.

Sijui nivae nini.

Ninatazama ndani ya kabati langu la nguo.

Ninaona sketi ya kahawia.

Lakini kuna baridi sana leo.

Ninaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni.

Lakini ni chafu kidogo.

Na nina kikao kazini leo.

Ninavaa sketi ya kahawia.

Inanipendeza, lakini miguu yangu ni ya baridi.

Maswali.

1) Happy anajiandaa asubuhi. Je, Happy anajiandaa usiku? Hapana, hajiandai usiku. Anajiandaa asubuhi.

2) Happy hajui avae nini. Je, Happy anajua avae nini? Hapana, hajui avae nini.

3) Happy anatazama ndani ya kabati lake la nguo ili kuona kitu cha kuvaa. Je, Happy anatazama chini ya kitanda? Hapana, Happy hatazami chini ya kitanda. Anatazama ndani ya kabati la nguo.

4) Kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. Je, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo? Ndiyo, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo.

5) Kuna baridi sana leo. Je, kuna joto leo? Hapana, hakuna joto leo. Kuna baridi sana.

6) Happy anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. Je, suruali zipo kitandani? Hapana, suruali hazipo kitandani. Zipo sakafuni.

7) Happy ana kikao kazini leo. Je, Happy ana kikao leo? Ndiyo, Happy ana kikao kazini leo.

8) Happy anavaa sketi ya kahawia. Je, Happy anavaa suruali nyeusi? Hapana, Happy hajavaa suruali. Anavaa sketi ya kahawia.

9) Miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. Je, miguu ya Happy ni ya baridi? Ndiyo, miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Happy anajiandaa asubuhi. Happy|prepares himself|in the morning Glücklich ist es, sich morgens fertig zu machen. Ashley is getting dressed in the morning. Happy se prépare le matin.

Hajui avae nini. He doesn't know|wear|what Er weiß nicht, was er anziehen soll. She doesn't know what to wear. Il ne sait pas quoi porter.

Anatazama ndani ya kabati lake la nguo. He/She is looking|inside|of|cabinet|his|of|clothes She looks in her closet. Il regarde dans sa garde-robe.

Anaona sketi ya kahawia. She sees|skirt|of|brown She sees a brown skirt. Il voit une jupe marron.

Lakini kuna baridi sana leo. But|there is|cold|very|today But it's very cold today! Mais il fait très froid aujourd'hui.

Anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. He sees|pair|of|trousers|black|on the floor She sees a pair of black pants. Il voit un pantalon noir sur le sol.

Lakini ni chafu kidogo. But|is|dirty|a little Aber es ist ein wenig schmutzig. But they are very old. Mais c'est un peu sale.

Na ana kikao kazini leo. And|he has|meeting|at work|today And she has a meeting at work today. Et il a un rendez-vous au travail aujourd'hui.

Happy anavaa sketi ya kahawia. Happy|wears|skirt|of|brown Happy trägt einen braunen Rock. Ashley puts on the brown skirt. Happy porte une jupe marron.

Inampendeza, lakini miguu yake ni ya baridi. He/She is attractive|but|feet|his/her|are|of|cold She looks good, but her legs are cold. Il aime ça, mais il a les pieds froids.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Happy. This|is|story|that|being told|by|Happy Here is the same story told in a different way.

Ninajiandaa asubuhi. I prepare myself|in the morning I am getting dressed in the morning. Je me prépare demain matin.

Sijui nivae nini. I don't know|I should wear|what I don't know what to wear.

Ninatazama ndani ya kabati langu la nguo. I am looking|inside|of|cabinet|my|of|clothes I look in my closet.

Ninaona sketi ya kahawia. I see|skirt|of|brown I see a brown skirt.

Lakini kuna baridi sana leo. But|there is|cold|very|today Aber heute ist es sehr kalt. But it's very cold today!

Ninaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. I see|pair|of|trousers|black|on the floor I see a pair of black pants.

Lakini ni chafu kidogo. But|is|dirty|a little But they are very old.

Na nina kikao kazini leo. And|I have|meeting|at work|today And I have a meeting at work today.

Ninavaa sketi ya kahawia. I wear|skirt|of|brown I put on the brown skirt. Je porte une jupe marron.

Inanipendeza, lakini miguu yangu ni ya baridi. It pleases me|but|feet|my|are|of|cold Mir gefällt es, aber meine Füße sind kalt. I look good, but my legs are cold. J'aime ça, mais j'ai froid aux pieds.

Maswali. Questions Questions:

1) Happy anajiandaa asubuhi. One: Ashley is getting dressed in the morning. Je, Happy anajiandaa usiku? question particle|Happy|prepares himself|at night Is Ashley getting dressed at night? Est-ce que Happy se prépare pour la nuit ? Hapana, hajiandai usiku. No|he/she does not study|at night No, she is not getting dressed at night. Anajiandaa asubuhi. She is getting dressed in the morning.

2) Happy hajui avae nini. Happy|does not know|wear|what Two: Ashely does not know what to wear. Je, Happy anajua avae nini? Does Ashley know what to wear? Hapana, hajui avae nini. No|he/she doesn't know|wear|what No, she does not know what to wear.

3) Happy anatazama ndani ya kabati lake la nguo ili kuona kitu cha kuvaa. Happy|looks|inside|of|closet|his|of|clothes|to|see|something|to|wear Three: Ashley looks in her closet for something to wear. Je, Happy anatazama chini ya kitanda? Does Ashley look under the bed? Est-ce que Happy regarde sous le lit ? Hapana, Happy hatazami chini ya kitanda. No|Happy|does not look|under|of|bed No, Ashley doesn't look under the bed. Anatazama ndani ya kabati la nguo. You are looking|inside|of|cabinet|of|clothes She looks into the wardrobe.

4) Kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. There is|skirt|brown|brown|inside|of|wardrobe|of|clothes Four: There is a brown skirt in the closet. Je, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo? (question particle)|is there|skirt|of|brown|inside|of|cabinet|of|clothes Is there a brown skirt in the closet? Ndiyo, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. Yes|there is|skirt|brown|brown|inside|of|wardrobe|of|clothes Yes, there is a brown skirt in the closet.

5) Kuna baridi sana leo. There is|cold|very|today Five: It is very cold today. Je, kuna joto leo? |is there|heat|today Is it warm today? Hapana, hakuna joto leo. No|there is no|heat|today No, it is not warm today. Kuna baridi sana. There is|cold|very It is very cold.

6) Happy anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. Happy|sees|pair|of|trousers|black|on the floor Six: Ashley sees a pair of black pants. Je, suruali zipo kitandani? Liegen Hosen auf dem Bett? Does Ashley see some pants? Y a-t-il des pantalons sur le lit ? Hapana, suruali hazipo kitandani. No|trousers|are not|under the bed Yes, Ashley sees a pair of black pants. Zipo sakafuni. They are|on the floor They are on the floor.

7) Happy ana kikao kazini leo. Happy|has|meeting|at work|today Seven: Ashley has a meeting at work today. Je, Happy ana kikao leo? Do|Happy|has|meeting|today Does Ashley have a meeting today? Ndiyo, Happy ana kikao kazini leo. Yes|Happy|has|meeting|at work|today Yes, Ashley has a meeting at work today.

8) Happy anavaa sketi ya kahawia. Happy|wears|skirt|of|brown 8) Ashley wears a brown skirt. Je, Happy anavaa suruali nyeusi? Does Ashley wear black pants? Hapana, Happy hajavaa suruali. No|Happy|is not wearing|pants No, Ashley is not wearing pants. Anavaa sketi ya kahawia. She wears|skirt|of|brown She wears a brown skirt.

9) Miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. Feet|of|Happy|are|of|cold|because|reason|he/she has worn|skirt 9) Ashley's feet are cold because he is wearing a skirt. Je, miguu ya Happy ni ya baridi? Is|feet|of|Happy|are|of|cold Are Ashley's feet cold? Ndiyo, miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. Yes|legs|of|Happy|are|of|cold|because|he has|worn|skirt Yes, Ashley's feet are cold because he is wearing a skirt.