×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

LingQ Mini Stories, 20- Nilihitaji Kwenda Kazini

Agnes alihitaji kwenda kazini.

Alikuwa anajaribu kuwasha gari lake.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje, hivyo gari lake likawa haliwaki.

Kwanza akatazama ratiba za basi.

Angechelewa kama angechukua basi.

Kisha akatazama ratiba za treni.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda.

Akaamua kuchukua treni kwenda kazini.

Alikuwa akitarajia hatachelewa kazini.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Agnes.

Nilihitaji kwenda kazini.

Nilijaribu kuwasha gari langu.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje.

Hivyo gari langu halikuwaka.

Kwanza nilitazama ratiba za basi.

Ningechelewa kama nitachukua basi.

Kisha nikatazama ratiba za treni.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda.

Nikaamua kuchukua treni kwenda kazini.

Nilikuwa nikitarajia sitachelewa kazini.

Maswali.

1) Agnes anajaribu kwenda kazini. Je, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini? Ndiyo, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini.

2) Kulikuwa na baridi nje. Je, kulikuwa na joto nje? Hapana, hakukuwa na joto nje. Kulikuwa na baridi nje.

3) Gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. Je, gari la Agnes liliwaka? Hapana, gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje.

4) Baada ya hapo, Agnes alitazama ratiba za basi. Je, Agnes alitazama ratiba za treni kwanza? Hapana, hakufanya hivyo. Agnes alitazama ratiba za basi kwanza.

5) Agnes angechelewa kama angechukua basi. Je, Agnes angefika ndani ya muda kama angechukua basi? Hapana, angechelewa kama angechukua basi.

6) Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. Je, treni zilikuwa zinachelewa? Hapana, treni zilikuwa hazichelewi. Zilikuwa zinafika ndani ya muda.

7) Agnes aliamua kuchukua treni kwenda kazini. Je, Agnes aliamua kuchukua basi kwenda kazini? Hapana, Agnes hakuamua kuchukua basi. Aliamua kuchukua treni kwenda kazini.

8) Agnes alitarajia hatachelewa kazini. Je, Agnes alitaka kuchelewa kazini? Hapana, hakutaka kuchelewa kazini. Alitarajia hatachelewa kazini.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Agnes alihitaji kwenda kazini. Agnes|needed|to go|to work Agnes musste zur Arbeit gehen. Alissa is trying to go to work. Agnès devait aller travailler.

Alikuwa anajaribu kuwasha gari lake. He was|trying|to start|car|his Er versuchte, sein Auto zu starten. She is trying to start her car. Il essayait de démarrer sa voiture.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje, hivyo gari lake likawa haliwaki. But|there was|and|cold|very|outside|so|car|his|became|wouldn't start But it's too cold outside, So her car isn't starting. Mais il faisait très froid dehors, donc sa voiture n'a pas démarré.

Kwanza akatazama ratiba za basi. She checks the bus schedule first. Il a d’abord regardé les horaires des bus.

Angechelewa kama angechukua basi. The city buses are too slow. Il serait en retard s'il prenait le bus.

Kisha akatazama ratiba za treni. Then|he/she looked at|schedule|of|train She checks the train schedule instead. Puis il regarda les horaires des trains.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. The trains|were|arriving|within|the|time The trains are running on time. Les trains arrivaient à l'heure.

Akaamua kuchukua treni kwenda kazini. He decided|to take|train|to|work She decides to take the train to work. Il a décidé de prendre le train pour aller travailler.

Alikuwa akitarajia hatachelewa kazini. He was|expecting|he will not be late|at work She hopes she won't be late for work. Il espérait qu'il ne serait pas en retard au travail.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Agnes. This|is|story|that|told|by|Agnes Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Agnès.

Nilihitaji kwenda kazini. I needed|to go|to work I needed to go to work. Je devais aller travailler.

Nilijaribu kuwasha gari langu. I tried|to start|car|my I tried to start my car. J'ai essayé de démarrer ma voiture.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje. But|there was|and|cold|very|outside But it was too cold outside. Mais il faisait très froid dehors.

Hivyo gari langu halikuwaka. So|car|my|did not start So my car wouldn't start. Donc ma voiture n'a pas démarré.

Kwanza nilitazama ratiba za basi. First|I looked at|schedule|of|bus I checked the bus schedule first. J’ai d’abord regardé les horaires des bus.

Ningechelewa kama nitachukua basi. I would be late|if|I take|the bus The city buses are too slow. Je serais en retard si je prenais le bus.

Kisha nikatazama ratiba za treni. Then|I looked at|schedule|of|train I checked the train schedule instead. Ensuite, j'ai regardé les horaires des trains.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. The trains|were|arriving|within|the|time The trains were running on time. Les trains arrivaient à l'heure.

Nikaamua kuchukua treni kwenda kazini. I decided|to take|train|to|work I decided to take the train to work. J'ai décidé de prendre le train pour aller travailler.

Nilikuwa nikitarajia sitachelewa kazini. I was|expecting|I would be late|at work Ich hatte gehofft, dass ich nicht zu spät zur Arbeit komme. I hoped I wouldn't be late for work. J'espérais que je ne serais pas en retard au travail.

Maswali. Questions Questions:

1) Agnes anajaribu kwenda kazini. One: Alissa is trying to go to work. Je, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini? question particle|Agnes|was|trying|to go|to work Is Alissa trying to go to work? Ndiyo, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini. Yes|Agnes|was|trying|to go|to work Yes, Alissa is trying to go to work.

2) Kulikuwa na baridi nje. There was|and|cold|outside Two: It's cold outside. Je, kulikuwa na joto nje? Did|there was|and|heat|outside Is it hot outside? Hapana, hakukuwa na joto nje. No|there was not|and|heat|outside No, it's not hot outside. Kulikuwa na baridi nje. There was|and|cold|outside It's cold outside.

3) Gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. The car|of|Agnes|did not start|for|reason|there was|and|cold|very|outside 3) Agnes' Auto sprang nicht an, weil es draußen sehr kalt war. Three: Alissa's car won't start because it's too cold outside. Je, gari la Agnes liliwaka? question particle|car|possessive particle|Agnes|caught fire Hat Agnes‘ Auto Feuer gefangen? Does Alissa's car start? Hapana, gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. No|car|of|Agnes|did not start|for|reason|there was|and|cold|very|outside Nein, Agnes' Auto sprang nicht an, weil es draußen zu kalt war. No, Alissa's car won't start because it's too cold outside. Non, la voiture d'Agnès n'a pas démarré parce qu'il faisait trop froid dehors.

4) Baada ya hapo, Agnes alitazama ratiba za basi. After|of|that|Agnes|looked at|schedule|of|bus Four: Alissa checks the bus schedule first. Je, Agnes alitazama ratiba za treni kwanza? Does Alissa check the train schedule first? Agnès a-t-elle d'abord regardé les horaires des trains ? Hapana, hakufanya hivyo. No|he did|that No, she doesn't. Non, il ne l'a pas fait. Agnes alitazama ratiba za basi kwanza. Agnes|looked at|schedule|of|bus|first Alissa checks the bus schedule first. Agnès a d'abord regardé les horaires des bus.

5) Agnes angechelewa kama angechukua basi. Agnes|would be late|if|had taken|the bus Five: The city buses were too slow. 5) Agnès serait en retard si elle prenait le bus. Je, Agnes angefika ndani ya muda kama angechukua basi? question particle|Agnes|would arrive|within|of|time|if|would take|bus Were the city buses slow? Agnès serait-elle arrivée à temps si elle avait pris le bus ? Hapana, angechelewa kama angechukua basi. No|he would be late|if|he took|the bus Yes, the city buses were too slow. Non, il serait en retard s'il prenait le bus.

6) Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. The trains|were|arriving|within|the|time Six: The trains were running on time. 6) Les trains arrivaient à l'heure. Je, treni zilikuwa zinachelewa? question particle|trains|were|delayed Hatten die Züge Verspätung? Were the trains running late? Les trains étaient-ils en retard ? Hapana, treni zilikuwa hazichelewi. No|the train|were|not late No, the trains were not running late. Non, les trains n'étaient pas en retard. Zilikuwa zinafika ndani ya muda. They were|arriving|within|the|time Sie kamen rechtzeitig an. they were running on time. Ils arrivaient à temps.

7) Agnes aliamua kuchukua treni kwenda kazini. Agnes|decided|to take|train|to|work Seven: Alissa decided to take the train to work. 7) Agnès a décidé de prendre le train pour aller travailler. Je, Agnes aliamua kuchukua basi kwenda kazini? question particle|Agnes|decided|to take|bus|to|work Did Alissa decide to take the bus to work? Agnès a-t-elle décidé de prendre le bus pour aller travailler ? Hapana, Agnes hakuamua kuchukua basi. No|Agnes|did not decide|to take|the bus No, Alissa didn't decide to take the bus. Non, Agnès n'a pas décidé de prendre le bus. Aliamua kuchukua treni kwenda kazini. He decided|to take|train|to|work she decided to take the train to work. Il a décidé de prendre le train pour aller travailler.

8) Agnes alitarajia hatachelewa kazini. Agnes|expected|will be late|at work Eight: Alissa hoped she wouldn't be late for work. 8) Agnès espérait qu'elle ne serait pas en retard au travail. Je, Agnes alitaka kuchelewa kazini? Did Alissa want to be late? Agnès voulait-elle être en retard au travail ? Hapana, hakutaka kuchelewa kazini. No|he didn't want|to be late|at work No, she didn't want to be late. Non, il ne voulait pas être en retard au travail. Alitarajia hatachelewa kazini. He expected|will not be late|at work she hoped she wouldn't be late for work. Il espérait qu'il ne serait pas en retard au travail.