×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

LingQ Mini Stories, 6- Esta na Richard

Esta na Richard huwa wamechoka usiku.

Wanakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja usiku.

Huwa wanakula chakula cha usiku na mtoto wao wa kiume.

Wanapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja.

Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pia.

Wanamlaza mtoto wao wa kiume kitandani saa mbili usiku.

Esta anaoga maji ya moto.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake.

Esta huwa anasoma kitabu, lakini huwa analala.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Esta.

Richard na mimi huwa tumechoka usiku.

Tunakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja

Mtoto wetu wa kiume hula chakula cha usiku na sisi.

Huwa tunapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja.

Mtoto wetu wa kiume huwa anaangalia televisheni pia.

Tunamlaza mtoto wetu wa kiume kitandani saa mbili.

Ninaoga maji ya moto.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake.

Huwa ninasoma kitabu, lakini huwa ninalala.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu.

Maswali.

1) Richard na Esta wamechoka. Je, Richard na Esta wamechoka? Ndiyo, wamechoka.

2) Huwa wanakula chakula cha usiku saa moja. Je, huwa wanakula chakula cha usiku saa kumi na mbili? Hapana, huwa hawali chakula cha usiku saa kumi na mbili. Wanakula saa moja.

3) Wana mtoto wa kiume. Je, wana binti? Hapana, hawana binti, lakini wana mtoto wa kiume.

4) Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pamoja nao. Je, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni? Ndiyo, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni nao.

5) Huwa anaenda kitandani saa mbili. Je, mtoto wao wa kiume huwa anaenda kitandani saa tatu? Hapana, huwa anaenda kitandani saa mbili.

6) Esta huwa anaoga maji ya moto. Je, Esta huwa anaoga kwenye bomba la mvua? Hapana, huwa haogi kwenye bomba la mvua. Huwa anaoga maji ya moto.

7) Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake. Je Richard huwa anapiga mswaki meno yake? Ndiyo, Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake.

8) Esta huwa anasoma kitabu. Je, Esta huwa anasoma kitabu? Ndiyo, huwa anasoma kitabu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Esta na Richard huwa wamechoka usiku. This|and|Richard||tired|at night Ester und Richard sind nachts immer müde. Jane and Fred are tired at night. Ester y Richard siempre están cansados por la noche. Ester en Richard zijn 's nachts altijd moe.

Wanakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja usiku. They eat|food|of|night|together|at|one|one|night They eat dinner together at seven. Cenan juntos a la una de la madrugada.

Huwa wanakula chakula cha usiku na mtoto wao wa kiume. They usually|eat|food|of|night|and|child||of|male Normalerweise essen sie mit ihrem Sohn zu Abend. Their son eats dinner with them. Suelen cenar con su hijo. Ze eten meestal samen met hun zoon.

Wanapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja. They relax|and|watching|television|together|together They relax and watch TV together. Se relajan y ven la televisión juntos.

Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pia. The child|their|of|male||watches|television|also Their son watches TV, too.

Wanamlaza mtoto wao wa kiume kitandani saa mbili usiku. They lay him down|child|their|male|male|in bed|hour|two|at night They put their son to bed at eight. Acostaron a su hijo a las dos de la mañana. Ils ont couché leur fils à deux heures du matin.

Esta anaoga maji ya moto. She|bathes|water|of|hot Esther nimmt ein heißes Bad. Jane has a hot bath. Esther prend un bain chaud. Esther neemt een warm bad.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake. Richard|||pipe|of|rain|and|||toothbrush|| Richard duscht und putzt sich die Zähne. Fred has a shower and brushes his teeth. Richard neemt een douche en poetst zijn tanden.

Esta huwa anasoma kitabu, lakini huwa analala. Esta|usually|reads|book|but|usually|sleeps Esther liest immer ein Buch, aber sie schläft immer. Jane reads a book, but falls asleep. Esther leest altijd een boek, maar slaapt altijd.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu. Richard|also||sleeps|time|not|long Fred also falls asleep soon after.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Esta. This|is|story|that|narrated|by|Esta Here is the same story told in a different way.

Richard na mimi huwa tumechoka usiku. Richard|and|I||we are tired|at night Fred and I are tired at night.

Tunakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja We eat|food|of|night|together|at|hour|one We eat dinner together at seven.

Mtoto wetu wa kiume hula chakula cha usiku na sisi. The child|our|of|male|eats|food|of|night|and|us Our son eats dinner with us.

Huwa tunapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja. We usually|relax|and|watching|television|together|together We relax and watch TV together.

Mtoto wetu wa kiume huwa anaangalia televisheni pia. The child|our|of|male||watches|television|also Our son watches TV, too.

Tunamlaza mtoto wetu wa kiume kitandani saa mbili. We put him to bed|child|our|of|male|in bed|at|two We put our son to bed at eight.

Ninaoga maji ya moto. I bathe|water|of|hot I have a hot bath. Je prends une douche chaude.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake. Richard|||pipe|of|rain|and|||toothbrush|| Richard duscht und putzt sich die Zähne. Fred has a shower and brushes his teeth.

Huwa ninasoma kitabu, lakini huwa ninalala. I usually|read|a book|but||sleep I read a book, but fall asleep.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu. Richard|also||sleeps|time|not|long Fred also falls asleep soon after.

Maswali. Questions Questions:

1) Richard na Esta wamechoka. Richard|and|Esta|are tired One: Fred and Jane are tired. Je, Richard na Esta wamechoka? question particle|Richard|and|Esta|are tired Are Fred and Jane tired? Ndiyo, wamechoka. Yes|they are tired Yes, they are tired.

2) Huwa wanakula chakula cha usiku saa moja. They usually|eat|food|of|night|hour|one Two: They eat dinner at seven. Je, huwa wanakula chakula cha usiku saa kumi na mbili? Do|||food|of|night|hour|ten|and|two Do they eat dinner at six? Hapana, huwa hawali chakula cha usiku saa kumi na mbili. No||eats|food|of|night|hour|ten|and|twelve No, they do not eat dinner at six. Wanakula saa moja. They eat|hour|one They eat at seven.

3) Wana mtoto wa kiume. They have|child|of|male Three: They have a son. Je, wana binti? Do they have a daughter? Hapana, hawana binti, lakini wana mtoto wa kiume. No|they do not have|daughter|but|they have|child|of|male No, they do not have a daughter, they have a son.

4) Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pamoja nao. The child|their|of|male||watches|television|together|with them Four: Their son watches TV with them. Je, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni? question particle|child|their|plural marker|male||watches|television Does their son watch TV? Ndiyo, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni nao. Yes|child|their|male|son||watches|television|and them Yes, their son watches TV with them.

5) Huwa anaenda kitandani saa mbili. He usually|goes|to bed|at|two Five: He goes to bed at eight. Je, mtoto wao wa kiume huwa anaenda kitandani saa tatu? question particle|child|their|masculine|male||goes|to bed|hour|three Does their son go to bed at nine? Hapana, huwa anaenda kitandani saa mbili. No|||to bed|at|two No, he goes to bed at eight.

6) Esta huwa anaoga maji ya moto. Esta|usually|bathes|water|of|hot Six: Jane has a hot bath. Je, Esta huwa anaoga kwenye bomba la mvua? Do|Esta|||in|pipe|of|rain Duschet Esther unter der Dusche? Does Jane have a shower? Hapana, huwa haogi kwenye bomba la mvua. No|he|bathes|in|pipe|of|rain No, Jane doesn't have a shower. Huwa anaoga maji ya moto. She has a hot bath.

7) Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake. Richard|usually|bathes|pipe|of|rain|and|brushes|toothbrush|| Seven: Fred has a shower and brushes his teeth. Je Richard huwa anapiga mswaki meno yake? |||brushes||| Does Fred brush his teeth? Ndiyo, Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake. Yes|Richard|||pipe|of|rain|and|brushes|toothbrush|| Yes, Fred has a shower and brushes his teeth.

8) Esta huwa anasoma kitabu. She|usually|reads|book Eight: Jane reads a book. Je, Esta huwa anasoma kitabu? Does Jane read a book? Ndiyo, huwa anasoma kitabu. Yes||reads|a book Yes, he always reads a book. Oui, il lit toujours un livre.