×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

Who is She?, 16- Haijalishi

Wewe ni wakili?

Ndiyo, mimi ni wakili.

Nataka kutafuta njia ya kufanya ndugu yangu kuachana na msichana huyu, kabla ya kupokea pesa.

Hili si jambo zuri sana kutoka kwako.

Mbona unajali sana kuhusu kile kinachomtendekea ndugu yako?

Kwa njia hiyo, mimi mwenyewe nitapata fedha zaidi.

Sasa naona.

Nashukuru sina dada kama wewe.

Naweza kukupa dola elfu moja ikiwa utanisaidia.

Na ndugu yako akigundua kuwa ninakusaidia?

Usiwe na wasiwasi kuhusu hilo.

Bado utabaki na pesa nitakazokupa.

Na ikiwa ndugu yako anampenda msichana?

Haijalishi, Tutangoja ili kushuhudia kitakachotendeka.

Hii inaonekana kama shida kwangu.

Naweza kukupa pesa nyingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Wewe ni wakili? You|are|lawyer Are you a lawyer?

Ndiyo, mimi ni wakili. Yes|I|am|lawyer Yes, I am.

Nataka kutafuta njia ya kufanya ndugu yangu kuachana na msichana huyu, kabla ya kupokea pesa. I want|to find|way|to|make|brother|my|break up|with|girl|this|before|of|receiving|money I want to find a way to make my brother leave this girl before he gets the money.

Hili si jambo zuri sana kutoka kwako. This|is not|thing|good|very|from|you That is not very nice of you.

Mbona unajali sana kuhusu kile kinachomtendekea ndugu yako? Why|you care|so much|about|what|happens to him|brother|your Why are you so interested in what happens to your brother?

Kwa njia hiyo, mimi mwenyewe nitapata fedha zaidi. In|that way|that|I|myself|will get|money|more That way I get more of the money for myself.

Sasa naona. Now|I see Now I see.

Nashukuru sina dada kama wewe. I thank you|I do not have|sister|like|you I am glad I do not have a sister like you.

Naweza kukupa dola elfu moja ikiwa utanisaidia. I can|give you|dollars|thousand|one|if|you help me I can give you one thousand dollars if you help me.

Na ndugu yako akigundua kuwa ninakusaidia? And|brother|your|if he discovers|that|I am helping you What if your brother finds out that I am helping you?

Usiwe na wasiwasi kuhusu hilo. Don't be|with|worry|about|that You don't have to worry about it.

Bado utabaki na pesa nitakazokupa. still|you will remain|with|money|that I will give you You will still have the money I give you.

Na ikiwa ndugu yako anampenda msichana? And|if|brother|your|loves|girl What if your brother is in love with the girl?

Haijalishi, Tutangoja ili kushuhudia kitakachotendeka. It doesn't matter|We will wait|to|witness|what will happen It does not matter to me, In any case we will see what happens.

Hii inaonekana kama shida kwangu. This|seems|like|problem|to me This smells like trouble to me.

Naweza kukupa pesa nyingi. I can|give you|money|a lot I can give you a lot of money.