×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

Who is She?, 24- Sikuamini

Angalia, Ibrahim ni mwalimu katika tovuti ya lugha inayoitwa LingQ.

Sielewi.

Alinionyeshea jinsi ya kujifunza kwenye LingQ.

Hiyo ndiyo iliyonisaidia sana.

Unamaanisha LingQ ilikusaidia zaidi kuliko kuishi na Ibrahim?

Wote wawili walinisaidia, lakini LingQ ndiyo iliyonisaidia sana.

Sikuamini, Sikuelewi.

Ibrahim alinisaidia kugundua kwamba njia niliyotumia kujifunza Kiingereza ilikuwa mbaya.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu sarufi.

Niliogopa sana kufanya makosa.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuaibika.

Lakini si unahitaji kujua sarufi ili kuzungumza vizuri?

Hapana.

Nilianza kutambua kwamba kama nilifurahia kujifunza Kiingereza, haikujalisha ikiwa nilikosea.

Singeaibika kufanya makosa.

Kufanya makosa ni sehemu ya kujifunza.

Kwa hivyo umejifunza jinsi gani?

Ibrahim alinieleza tu nisikilize na nisome kwa wingi na nihifandhi maneno na misemo kwenye LingQ.

Hapo ndipo nilipoanza kufurahia lugha.

Hapo ndipo nilipoanza kuboresha Kiingereza changu.

Kwa kutojali kuhusu sarufi, ulianza kuzungumza vizuri?

Ndiyo, ilibidi nisijalishwe na yale niliyofundishwa shuleni kwa miaka mingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Angalia, Ibrahim ni mwalimu katika tovuti ya lugha inayoitwa LingQ. Look|Ibrahim|is|teacher|at|website|of|language|called|LingQ You see, George is a tutor at an online language system called LingQ.

Sielewi. I don't understand I do not understand.

Alinionyeshea jinsi ya kujifunza kwenye LingQ. He showed me|how|to|learn|on|LingQ He showed me how to learn on LingQ.

Hiyo ndiyo iliyonisaidia sana. That|is the one|that helped|a lot That is what really helped me.

Unamaanisha LingQ ilikusaidia zaidi kuliko kuishi na Ibrahim? do you mean|LingQ|helped you|more|than|living|with|Ibrahim You mean LingQ's system helped you even more than living with George?

Wote wawili walinisaidia, lakini LingQ ndiyo iliyonisaidia sana. Both|two|helped me|but|LingQ|is the one|that helped me|a lot Well they both helped me, but LingQ is what really helped me.

Sikuamini, Sikuelewi. I didn't believe you|I didn't understand you I do not believe you, I don't get it.

Ibrahim alinisaidia kugundua kwamba njia niliyotumia kujifunza Kiingereza ilikuwa mbaya. Ibrahim|helped me|realize|that|method|I used|to learn|English|was|bad George made me understand that the way I was learning English was wrong.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu sarufi. I was|with|worry|very|about|grammar I was too concerned about grammar.

Niliogopa sana kufanya makosa. I was afraid|very|to make|mistakes I was too afraid to make mistakes.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuaibika. I was|with|worry|very|embarrassed I was too worried about being embarrassed.

Lakini si unahitaji kujua sarufi ili kuzungumza vizuri? But|don't|you need|to know|grammar|in order to|to speak|well But don't you need to know grammar to speak well?

Hapana. No No.

Nilianza kutambua kwamba kama nilifurahia kujifunza Kiingereza, haikujalisha ikiwa nilikosea. I started|to realize|that|if|I enjoyed|learning|English|it didn't matter|whether|I made mistakes I started to realize that if I enjoyed learning English, it did not matter if I made mistakes.

Singeaibika kufanya makosa. I would not be ashamed|to make|mistakes Making mistakes would not embarrass me.

Kufanya makosa ni sehemu ya kujifunza. Making|mistakes|is|part|of|learning Making mistakes is a part of learning.

Kwa hivyo umejifunza jinsi gani? So|how|you have learned|how|what So how did you learn?

Ibrahim alinieleza tu nisikilize na nisome kwa wingi na nihifandhi maneno na misemo kwenye LingQ. Ibrahim|explained to me|just|listen to me|and|read to me|with|abundance|and|I memorize|words|and|phrases|in|LingQ George told me to just listen and read a lot and to save words and phrases on LingQ.

Hapo ndipo nilipoanza kufurahia lugha. There|is where|I started|to enjoy|language That is when I started to enjoy the language.

Hapo ndipo nilipoanza kuboresha Kiingereza changu. There|is where|I started|to improve|English|my That is when I started to really improve my English.

Kwa kutojali kuhusu sarufi, ulianza kuzungumza vizuri? By|not caring|about|grammar|you started|to speak|well Just by not thinking of grammar you actually started to speak better?

Ndiyo, ilibidi nisijalishwe na yale niliyofundishwa shuleni kwa miaka mingi. Yes|I had to|I should not be influenced|by|those|I was taught|in school|for|years| Yes, I had to forget what I had been taught at school for so many years.