×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

image

Habari za UN, Mama akiwa na wanae ukimbizini Chad asimulia yaliyomsibu Sudan | | Habari za UN

Mama akiwa na wanae ukimbizini Chad asimulia yaliyomsibu Sudan | | Habari za UN

Walimuua mume wangu, walijeruhi mwanangu na mimi walinipiga, ni simulizi ya mama ambaye sasa yuko na watoto wake nchini Chad akitokea Sudan kwani nchini mwake ni kama wasemavyo wahenga, Amkani si shwari kufuatia mapigano yaliyoanza tarehe 15 mwezi Aprili mwaka huu ambayo pamoja na kuua zaidi ya watu 700 wengine zaidi ya 300,000 wamekimbilia nchi jirani ikiwemo Chad na miongoni mwao ni Hawaye Ibrahim.

Sura isiyo na matumaini na iliyopauka!!! Hawaye Ibrahim yuko na watoto wake watatu hapa Koufroune nchini Chad kwenye kituo cha mpito cha wakimbizi kutoka Sudan, lakini mawazo hayako hapa kabisa.

Hawaye anasema “Ni mapigano yamenileta hapa. Wanamgambo waliingia nyumbani kwetu, walimuua mume wangu na wakamjeruhi mtoto wangu wa kiume .Mimi mwenyewe walinitesa, hivyo nikakimbia na kuja hapa Chad.”

Anamnyanyua mwanae aliyejeruhiwa kuonesha kovu, anaitwa Manane, ameshonwa nyuzi 7 juu ya kitovu na 3 chini ya kitovu, angalau jeraha limepona.

Hawaye huku sasa akionesha sikio lake anaendelea kusema, “walinipiga kwa fimbo na hadi sasa sikio langu la kushoto halifanyi kazi ,hivyo siwezi kusikia vizuri.”

Kutoka kuishi kwenye nyumba yao huko Darfur nchini Sudan hadi kwenye kibanda hiki kilichoegeshewa na kuzungushiwa nailoni, hapa jua ni lao! na mvua ni yao.

Akikumbuka safari yao, Hawaye anasema “nilikimbia saa tano za usiku nikiwa nimembeba mgongoni mwanangu aliyejeruhiwa. Sikuwa hata na usafiri wa punda. Ilibidi watoto wengine niwaache. Waliletwa hapa na watu wengine.”

Hawaye akiendelea kuwaza na kuwazua akiwa na wanawe, kwingineko hapa wanawake wanaonekana wakisubiri mgao wa vifaa vya huduma za msingi huku wengine wakizidi kuwasili na virago vyao kwa kutumia punda.

Brice Degla Mratibu Mwandamizi wa masuala ya dharura wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR nchini Chad anasema, “Wamekimbia sio tu kwa sababu ya vita mjini Khartoum, bali pia kwa sababu ya mapigano ya kikabila baina ya jamii huko Tendalti. Halikadhalika hofu ya kushambuliwa kwa sababu ya vita, imewalazimu wakimbie na ndio wote sasa wamefika hapa.”

Katika vibanda vingine, akina mama wako na watoto wao, njaa ni dhahiri.

Ingawa tayari kuna usalama tofauti na kule Darfur alikotoka bado Hawaye ana mahitaji akisema, “nahitaji chakula, nahitaji nguo, nahitaji pia malazi na sabuni na vitu vingine ili niweze kutulia.”

Mgao wa bidhaa muhimu unaendelea huku wakimbizi wengine wakipanda magari wakipungiwa na wenzao waliosalia. Bwana Delga anasema , “UNCHR inabaini maeneo yaliyo mbali, angalau kilometa 50 kutoka hapa, ambako inahamishia wakimbizi kutoka hapa mpakani, ili hatari ya ukosefu wa usalama iwe imepatiwa jawabu, lakini vile vile kuwapatia msaada.”

Baada ya muda, walioondoka Koufroune wamewasili Gaga nchini Chad hapa wamepatiwa angalau makazi yenye staha na sasa wanaanza maisha upya ugenini wakiwa matumaini mapigano yaliyoanza tarehe 15 Aprili nchini mwao Sudan yatamalizika ili waweze kurejea nyumbani.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mama akiwa na wanae ukimbizini Chad asimulia yaliyomsibu Sudan | | Habari za UN |being||her children|in exile|Chad|tells||||| |när hon är||sina barn|I flyktingläger|Tchad|berättar om|drabbade henne|Sudan|||FN Eine Mutter mit ihren Söhnen im Zufluchtsort im Tschad erzählt, was im Sudan passiert ist | | UN-Nachrichten A mother with her sons in refuge in Chad recounts what happened to Sudan | | UN news Una madre con sus hijos refugiados en Chad cuenta lo que pasó en Sudán | | noticias de la ONU Une mère et ses fils réfugiés au Tchad racontent ce qui est arrivé au Soudan | | Actualités de l'ONU Uma mãe com os filhos refugiados no Chade conta o que aconteceu no Sudão | | Notícias da ONU Мать с сыновьями, находящаяся в убежище в Чаде, рассказывает о том, что произошло в Судане | | Новости ООН En mamma med sina söner i fristad i Tchad berättar vad som hände med Sudan | | FN-nyheter

Walimuua mume wangu, walijeruhi mwanangu na mimi walinipiga, ni simulizi ya mama ambaye sasa yuko na watoto wake nchini Chad akitokea Sudan kwani nchini mwake ni kama wasemavyo wahenga, Amkani si shwari kufuatia mapigano yaliyoanza tarehe 15 mwezi Aprili mwaka huu ambayo pamoja na kuua zaidi ya watu 700 wengine zaidi ya 300,000 wamekimbilia nchi jirani ikiwemo Chad na miongoni mwao ni Hawaye Ibrahim. |||||||||||||||||||||||||||as they say||Amkani is unstable||not peaceful||||||||||||||||||||||||||||| De dödade honom|||skadade||||de slog mig||berättelse|||||||||||kommer från|||||||som de säger|De gamla|Läget är osäkert||lugnt|till följd av|strider|som började|datum||April||||||döda|||||||har flytt till|||inklusive|||bland dem|min son||Hawaye Ibrahim| They killed my husband, they injured my son and they beat me, it is the story of a mother who is now with her children in Chad from Sudan because in her country it is as the elders say, Amkani is not calm following the fighting that started on the 15th of April this year which in addition to killing more than 700 other people more than 300,000 have fled to neighboring countries including Chad and among them is Hawaye Ibrahim.

Sura isiyo na matumaini na iliyopauka!!! |||||that has withered |utan||||bleknad Hopeless and pale face!!! Hawaye Ibrahim yuko na watoto wake watatu hapa Koufroune nchini Chad kwenye kituo cha mpito cha wakimbizi kutoka Sudan, lakini mawazo hayako hapa kabisa. Hawaye Ibrahim||||||||||||||||||||||| ||||||||Koufroune||||transitcenter||transit||flyktingar|||||är inte här||

Hawaye anasema “Ni mapigano yamenileta hapa. ||||har fört mig| Wanamgambo waliingia nyumbani kwetu, walimuua mume wangu na wakamjeruhi mtoto wangu wa kiume .Mimi mwenyewe walinitesa, hivyo nikakimbia na kuja hapa Chad.” Milismän||||||||skadade honom|||||||||Jag flydde||kom hit||

Anamnyanyua mwanae aliyejeruhiwa kuonesha kovu, anaitwa Manane, ameshonwa nyuzi 7 juu ya kitovu na 3 chini ya kitovu, angalau jeraha limepona. ||injured child|||||||||||||||| Lyfter upp|hans barn|som skadats|visa upp|||Manane|har sytts med|stygn|||navel|||||åtminstone|sår|har läkt

Hawaye huku sasa akionesha sikio lake anaendelea kusema, “walinipiga kwa fimbo na hadi sasa sikio langu la kushoto halifanyi kazi ,hivyo siwezi kusikia vizuri.” ||||||||||||||||||doesn't||||| |||visar upp|||fortsätter att säga||||käpp|||||||vänstra|fungerar inte|||||

Kutoka kuishi kwenye nyumba yao huko Darfur nchini Sudan hadi kwenye kibanda hiki kilichoegeshewa na kuzungushiwa nailoni, hapa jua ni lao! |||||||||||||parked||surrounded by|nylon|||| ||||||Darfur|||||skjul|detta skjul|parkerade||omslutas av|plastfolie|||| na mvua ni yao.

Akikumbuka safari yao, Hawaye anasema “nilikimbia saa tano za usiku nikiwa nimembeba mgongoni mwanangu aliyejeruhiwa. remembering|||||ran||||||||| När han minns|||||jag sprang||||||bar honom på||| Sikuwa hata na usafiri wa punda. Ilibidi watoto wengine niwaache. |||lämna dem Waliletwa hapa na watu wengine.” They were brought|||| De fördes hit||||

Hawaye akiendelea kuwaza na kuwazua akiwa na wanawe, kwingineko hapa wanawake wanaonekana wakisubiri mgao wa vifaa vya huduma za msingi huku wengine wakizidi kuwasili na virago vyao kwa kutumia punda. |continuing|||||||elsewhere||||||||||||||||||||| |fortsätter att tänka|tänka på||att oroa sig|||sina barn|på andra håll|||syns vara|väntar på|fördelning||||tjänster||grundläggande tjänster|||fortsätter att anlända|anlända||sina sina|sina|||

Brice Degla Mratibu Mwandamizi wa masuala ya dharura wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR nchini Chad anasema, “Wamekimbia sio tu kwa sababu ya vita mjini Khartoum, bali pia kwa sababu ya mapigano ya kikabila baina ya jamii huko Tendalti. |||||||||||||||||||||||||||||||||||fighting||||||| Brice Degla, senior|Brice Degla|Samordnare|Senior Coordinator||frågor om nödsituationer||nödsituationer||organisation||||||betjäna||UNHCR||||De har flytt||||||krig|i staden|Khartoum, Sudan|utan också|||||||etniska konflikter|mellan||samhällen||Tendalti Halikadhalika hofu ya kushambuliwa kwa sababu ya vita, imewalazimu wakimbie na ndio wote sasa wamefika hapa.” Likaså|Rädsla för attacker||attackeras|||||har tvingat dem|flyr|||||har anlänt|

Katika vibanda vingine, akina mama wako na watoto wao, njaa ni dhahiri. |I hyddor|andra|kvinnor och||||||||uppenbar

Ingawa tayari kuna usalama tofauti na kule Darfur alikotoka bado Hawaye ana mahitaji akisema, “nahitaji chakula, nahitaji nguo, nahitaji pia malazi na sabuni na vitu vingine ili niweze kutulia.” |||säkerhet|||därifrån||kom han ifrån|||||säger han|Jag behöver||||||boende||||||||lugna ner sig

Mgao wa bidhaa muhimu unaendelea huku wakimbizi wengine wakipanda magari wakipungiwa na wenzao waliosalia. ||||||||kliver på||vinkar adjö|||kvarvarande Bwana Delga anasema , “UNCHR inabaini maeneo yaliyo mbali, angalau kilometa 50 kutoka hapa, ambako inahamishia wakimbizi kutoka hapa mpakani, ili hatari ya ukosefu wa usalama iwe imepatiwa jawabu, lakini vile vile kuwapatia msaada.” |||UNHCR|identifierar||||||||där som|flyttar på||||vid gränsen||fara||brist på säkerhet|||ska ha fått|har fått ett|svar||||ge dem hjälp|

Baada ya muda, walioondoka Koufroune wamewasili Gaga nchini Chad hapa wamepatiwa angalau makazi yenye staha na sasa wanaanza maisha upya ugenini wakiwa matumaini mapigano yaliyoanza tarehe 15 Aprili nchini mwao Sudan yatamalizika ili waweze kurejea nyumbani. |||||they have arrived|||||||||||||||||||||||||will end|||| |||de som lämnade||har anlänt|Gaga||||||||värdighet|||||på nytt|i exil|i hopp om|||||||||kommer att sluta||ska kunna|återvända hem|