Musa yupo sekondari.
Musa|is|in secondary school
Musa ist in der weiterführenden Schule.
Jon is in high school.
Musa está en la escuela secundaria.
Ana kazi nyingi za nyumbani
He has|work|many|of|home
Er hat viele Hausaufgaben
He has lots of homework.
tiene mucha tarea
Il a beaucoup de devoirs
Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Rachel|is|student|of|university|big
Rachel ist Studentin.
Clare is a university student.
Rachel es una estudiante universitaria.
Rachel est étudiante à l'université.
Rachel is een universiteitsstudent.
Ana kazi nyingi za nyumbani pia.
He has|work|many|of|home|also
She has lots of homework, too.
Él también tiene mucha tarea.
Il a aussi beaucoup de devoirs.
Musa hapendi kazi za nyumbani.
Musa|does not like|work|of|home
Jon does not like homework.
A Musa no le gustan las tareas del hogar.
Musa n'aime pas les travaux ménagers.
Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta.
He usually|likes|to play|on|computer
He likes to play on his computer.
Le gusta jugar en la computadora.
Il aime jouer sur l'ordinateur.
Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.
Rachel|usually|loves|reading|and|writing
Clare likes reading and writing.
A Rachel le encanta leer y escribir.
Rachel aime lire et écrire.
Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.
He usually|does|work|his|of|home|every|day
She does her homework every day.
Il fait ses devoirs tous les jours.
Rachel ni dada yake kubwa Musa.
Rachel|is|sister|his|older|Musa
Rachel ist Moses‘ ältere Schwester.
Clare is Jon's older sister.
Raquel es la hermana mayor de Moisés.
Rachel est la sœur aînée de Moïse.
Rachel is de oudere zus van Mozes.
Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani.
He always|time|all|makes him|do|work|his|of|home
Er lässt sie immer ihre Hausaufgaben machen.
She always makes him do his homework.
Él siempre la obliga a hacer sus deberes.
Il lui fait toujours faire ses devoirs.
Hij laat haar altijd haar huiswerk maken.
Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa.
This|is|story|that|told|by|Moses
Here is the same story told in a different way.
Esta es esa historia, contada por Moisés.
C'est cette histoire racontée par Moïse.
Nipo sekondari.
I am|in secondary school
I am in high school.
Estoy en la escuela secundaria.
Je suis au lycée.
Nina kazi nyingi za nyumbani.
I have|work|many|of|home
I have lots of homework.
J'ai beaucoup de devoirs.
Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Rachel|is|student|of|university|big
Clare is a university student.
Rachel est étudiante à l'université.
Ana kazi nyingi za nyumbani pia.
She has|work|many|of|home|also
She has lots of homework, too.
Il a aussi beaucoup de devoirs.
Mimi sipendi kazi za nyumbani.
I|do not like|work|of|home
I do not like homework.
Je n'aime pas les devoirs.
Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu.
I love|to play|on|computer|my
I like to play on my computer.
J'aime jouer sur mon ordinateur.
Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.
Rachel||loves|reading|and|writing
Clare likes reading and writing.
Rachel aime lire et écrire.
Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.
He usually|does|work|his|of|home|every|day
She does her homework every day.
Il fait ses devoirs tous les jours.
Rachel ni dada yangu mkubwa.
Rachel|is|sister|my|older
Clare is my older sister.
Rachel est ma sœur aînée.
Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani.
Every time|all|he|makes me|do|work|my|of|home
Er lässt mich immer meine Hausaufgaben machen.
She always makes me do my homework.
Il me fait toujours faire mes devoirs.
Maswali:
Questions
Questions:
Des questions:
1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari.
Musa|is|student|of|secondary school
One: Jon is a high school student.
1) Musa est un élève du secondaire.
Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari?
|||student||
Is Jon a high school student?
Musa est-il lycéen ?
Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari.
Yes|Musa|is|student|of|secondary school
Yes, Jon is a high school student.
2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani.
Musa|has|work|many|of|home
Two: Jon has a lot of homework.
Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani?
question particle|Musa|||homework|many|of|home
Does Jon have a lot of homework?
Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani.
Yes|Musa|has|homework|many|of|home
Yes, Jon has a lot of homework.
3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Rachel|is|student|of|university|big
Three: Clare is a university student.
Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari?
Is Clare a high school student?
Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari.
No|Rachel|is not|student|of|secondary school
No, Clare is not a high school student.
Ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
He is|a student|of|university|big
she is a university student.
Il est étudiant à l'université.
4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake.
Musa|loves|to play|on|computer|his
Four: Jon likes playing on his computer.
Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake?
question particle|Musa|likes|to play|on|computer|his
Does Jon like playing on his computer?
Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake.
Yes|Musa|loves|to play|on|computer|his
Yes, Jon likes playing on his computer.
5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.
Rachel||loves|reading|and|writing
Five: Clare likes reading and writing.
Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu?
question particle|Rachel||likes|to watch|movies
Does Clare like watching movies?
Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.
No|Rachel||likes|reading|and|writing
No, Clare likes reading and writing.
6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.
Rachel||does|work|her|of|home|every|day
Six: Clare does her homework every day.
Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku?
question particle|Rachel||does|work|her|of|home|every|day
Does Clare do her homework every day?
Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.
Yes|Rachel||does|work|her|of|home|every|day
Yes, Clare does her homework every day.
7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa.
Rachel|is|sister|his|older|Musa
Seven: Clare is Jon's older sister.
Je, Musa na Rachel ni ndugu?
|Musa||||siblings
Are Jon and Clare related?
Moïse et Rachel sont-ils frères et sœurs ?
Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu.
Yes|Musa|and|Rachel|are|siblings
Yes, Jon and Clare are related.
Rachel ni dada yake mkubwa Musa.
Rachel|is|sister|his|older|Musa
Clare is Jon's older sister.
8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku.
Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home|every|day
8) Rachel lässt Moses jeden Tag seine Hausaufgaben machen.
Eight: Clare makes Jon do his homework every day.
Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani?
question particle|Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home
Does Clare make Jon do his homework?
Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku.
Yes|Rachel||makes him|Musa|do|work|his|of|home|every|day
Yes, Clare makes Jon do his homework every day.
Oui, Rachel demande à Moïse de faire ses devoirs tous les jours.