×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.

image

LingQ 101 - Getting Started, Kuandika

Ukiwa tayari, unatakiwa uandike.

Unaweza kujiandikia mwenyewe tu.

Hii itakusaidia kukumbuka maneno mapya.

Kuandika kunakusaidia kufikiria kwa lugha mpya.

Unaweza kumuomba mwalimu akusahihishe uandishi wako.

Ikiwa mwalimu atasahihisha uandishi wako, utapokea ripoti.

Ripoti itaonyesha makosa yako.

Unaweza kutunza maneno na sentensi kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Unaweza kutengeneza LingQ kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Hii itakusaidia kujifunza kutokana na makosa yako.

Itakubidi kuisoma ripoti yako ya uandishi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Ukiwa tayari, unatakiwa uandike. When you are|ready|you are required|to write Wenn Sie bereit sind, müssen Sie schreiben. When you are ready, you should write.

Unaweza kujiandikia mwenyewe tu. You can|write to yourself|yourself|only Du kannst nur für dich selbst schreiben. You can write for yourself.

Hii itakusaidia kukumbuka maneno mapya. This|will help you|remember|words|new Dies wird Ihnen helfen, sich neue Wörter zu merken. This helps you remember your new words.

Kuandika kunakusaidia kufikiria kwa lugha mpya. Writing|helps you|think|in|language|new Schreiben hilft Ihnen, in einer neuen Sprache zu denken. Writing helps you think in the new language.

Unaweza kumuomba mwalimu akusahihishe uandishi wako. You can|ask him|teacher|to correct you|writing|your You can even ask a tutor to correct your writing.

Ikiwa mwalimu atasahihisha uandishi wako, utapokea ripoti. If|the teacher|corrects|writing|your|you will receive|report Wenn der Lehrer Ihre Schrift korrigiert, erhalten Sie einen Bericht. If a tutor corrects your writing, you will receive a report.

Ripoti itaonyesha makosa yako. The report will point out your mistakes.

Unaweza kutunza maneno na sentensi kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi. You can|keep|words|and|sentences|from|in|report|your|of|writing Sie können Wörter und Sätze aus Ihrem Schreibbericht speichern. You can save words and phrases from your writing report.

Unaweza kutengeneza LingQ kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi. You can|create|LingQ|from|on|report|your|of|writing Sie können LingQ aus Ihrem Schreibbericht generieren. You can create LingQs from your writing report.

Hii itakusaidia kujifunza kutokana na makosa yako. This|will help you|learn|from|your|mistakes|your Dies wird Ihnen helfen, aus Ihren Fehlern zu lernen. This will help you learn from your mistakes.

Itakubidi kuisoma ripoti yako ya uandishi. You will have to|read|report|your|of|writing You need to study your writing report.