×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.

image

LingQ Mini Stories, 16- Ninataka Kazi Mpya

Joshua anataka kazi mpya.

Hapendi kazi yake ya ofisini.

Kukaa kwenye kompyuta kunaboa.

Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi.

Anatafuta kazi mpya mtandaoni.

Kuna kazi nyingi katika migahawa.

Angeweza kuwa mpishi au mhudumu.

Joshua hawezi kupika vizuri sana.

Lakini anapenda kutembea na kuongea na watu.

Joshua anatarajia atapata kazi kama mhudumu.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Joshua.

Ninataka kazi mpya.

Sipendi kazi yangu ya ofisini.

Kukaa kwenye kompyuta kunaboa.

Nataka kazi ya kusisimua zaidi.

Ninatafuta kazi mpya mtandaoni.

Kuna kazi nyingi katika migahawa.

Ningeweza kuwa mpishi au mhudumu.

Siwezi kupika vizuri sana.

Lakini napenda kutembea na kuongea na watu.

Natarajia nitapata kazi kama mhudumu.

Maswali.

1) Joshua anataka kazi mpya. Je, Joshua anataka kazi mpya? Ndiyo, Joshua anataka kazi mpya.

2) Joshua anafikiria kuwa kazi yake inaboa. Je, Joshua anaipenda kazi yake ya ofisini? Hapana, haipendi kazi yake ya ofisini. Anafikiria kazi yake inaboa.

3) Joshua anataka kazi yenye kusisimua. Je, Joshua anataka kazi ya kuboa? Hapana, Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi.

4) Joshua anatafuta kazi mpya mtandaoni. Je, Joshua anatafuta kazi mtandaoni? Ndiyo, anatafuta kazi mpya mtandaoni.

5) Joshua angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa. Je, Joshua anaweza kuwa mpishi ndani ya ofisi? Hapana, hawezi kuwa mpishi ndani ya ofisi. Angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa.

6) Joshua hawezi kupika vizuri. Je, Joshua anaweza kupika vizuri? Hapana, Joshua hawezi kupika vizuri.

7) Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu. Je, Joshua anapenda kuongea na watu? Ndiyo, Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu.

8) Joshua anataka kutafuta kazi kama mhudumu. Je, Joshua anataka kuwa mpishi katika mgahawa? Hapana, hataki kuwa mpishi. Anataka kutafuta kazi kama mhudumu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Joshua anataka kazi mpya. Joshua|wants|job|new Gene wants a new job.

Hapendi kazi yake ya ofisini. He does not like|work|his|of|office He doesn't like his office job.

Kukaa kwenye kompyuta kunaboa. Sitting|at|computer|is boring Am Computer zu sitzen ist scheiße. He thinks his job is too boring.

Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi. Joshua|wants|job|of|exciting|more Gene wants a more exciting job.

Anatafuta kazi mpya mtandaoni. You are looking for|job|new|online He looks for a new job online.

Kuna kazi nyingi katika migahawa. There are|jobs|many|in|restaurants There are many jobs in restaurants.

Angeweza kuwa mpishi au mhudumu. There are also many jobs in stores.

Joshua hawezi kupika vizuri sana. Joshua|cannot|cook|well|very Gene can't cook very well.

Lakini anapenda kutembea na kuongea na watu. But|he/she loves|walking|and|talking|to|people Aber er geht gerne spazieren und redet gerne mit Menschen. But he likes shopping and talking to people.

Joshua anatarajia atapata kazi kama mhudumu. Joshua|expects|he will get|job|as|waiter Gene hopes he can find a job in a store.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Joshua. This|is|story|that|being told|by|Joshua Here is the same story told in a different way.

Ninataka kazi mpya. I want|job|new I want a new job.

Sipendi kazi yangu ya ofisini. I don't like|work|my|of|office I don't like my office job.

Kukaa kwenye kompyuta kunaboa. Sitting|at|computer|is boring I think my job is too boring.

Nataka kazi ya kusisimua zaidi. I want|job|of|exciting|more I want a more exciting job.

Ninatafuta kazi mpya mtandaoni. I am looking for|job|new|online I look for a new job online.

Kuna kazi nyingi katika migahawa. There are|jobs|many|in|restaurants There are many jobs in restaurants.

Ningeweza kuwa mpishi au mhudumu. I could|be|chef|or|waiter There are also many jobs in stores.

Siwezi kupika vizuri sana. I cannot|cook|well|very I can't cook very well.

Lakini napenda kutembea na kuongea na watu. But|I like|walking|and|talking|with|people But I like shopping and talking to people.

Natarajia nitapata kazi kama mhudumu. I expect|I will get|job|as|waiter I hope I can find a job in a store.

Maswali. Questions Questions:

1) Joshua anataka kazi mpya. One: Gene wants a new job. Je, Joshua anataka kazi mpya? question particle|Joshua|wants|job|new Does Gene want a new job? Ndiyo, Joshua anataka kazi mpya. Yes|Joshua|wants|job|new Yes, Gene wants a new job.

2) Joshua anafikiria kuwa kazi yake inaboa. Joshua|thinks|that|job|his|is boring 2) Joshua findet seine Arbeit langweilig. Two: Gene thinks his job is too boring. Je, Joshua anaipenda kazi yake ya ofisini? question particle|Joshua|loves it|work|his|of|office Does Gene like his office job? Hapana, haipendi kazi yake ya ofisini. No|she does not like|work|her|of|office No, he doesn't like his office job. Anafikiria kazi yake inaboa. He thinks|work|his|is boring he thinks his job is too boring.

3) Joshua anataka kazi yenye kusisimua. Joshua|wants|job|that has|excitement Three: Gene wants a more exciting job. Je, Joshua anataka kazi ya kuboa? question particle|Joshua|wants|job|of|driving Does Gene want a boring job? Hapana, Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi. No|Joshua|wants|job|of|exciting|more No, Gene wants a more exciting job.

4) Joshua anatafuta kazi mpya mtandaoni. Joshua|is looking for|job|new|online Four: Gene looks for a new job online. Je, Joshua anatafuta kazi mtandaoni? Does Gene look for a job online? Ndiyo, anatafuta kazi mpya mtandaoni. Yes|he is looking for|job|new|online Yes, he looks for a new job online.

5) Joshua angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa. Joshua|could|be|chef|or|waiter|in|restaurant Five: Jene could be a cook or a waiter in a restaurant. Je, Joshua anaweza kuwa mpishi ndani ya ofisi? question particle|Joshua|can|be|cook|inside|of|office Can Jene be the chef in the office? Hapana, hawezi kuwa mpishi ndani ya ofisi. No|he can not|be|chef|inside|of|office No, he cannot be a chef in the office. Angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa. He could be a cook or a waiter in a restaurant.

6) Joshua hawezi kupika vizuri. Joshua|cannot|cook|well Six: Gene can't cook very well. Je, Joshua anaweza kupika vizuri? question particle|Joshua|can|cook|well Can Gene cook well? Hapana, Joshua hawezi kupika vizuri. No|Joshua|can not|cook|well No, Gene can't cook very well.

7) Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu. Joshua|loves|to walk|and|to talk|with|people Seven: Gene likes shopping and talking to people. Je, Joshua anapenda kuongea na watu? question particle|Joshua|loves|to talk|with|people Does Gene like talking to people? Ndiyo, Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu. Yes|Joshua|loves|to walk|and|to talk|to|people Yes, Gene likes talking to people, and shopping.

8) Joshua anataka kutafuta kazi kama mhudumu. Joshua|wants|to find|job|as|waiter Eight: Gene wants to find a job in a store. Je, Joshua anataka kuwa mpishi katika mgahawa? question particle|Joshua|wants|to be|chef|in|restaurant Does Gene want a job in a restaurant? Hapana, hataki kuwa mpishi. No|does not want|to be|chef No, he doesn't want a job in a restaurant. Anataka kutafuta kazi kama mhudumu. He wants|to find|job|as|waiter he wants to find a job in a store.