×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.

image

Who is She?, 19- Kila Kitu Ni Shwari

Sawa, nitafanya kile unachotaka.

Hakifai lakini nitafanya.

Naam, nimepata wazo.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa?

La, wote wawili wako nje.

Wazo lako ni lipi?

Watarudi lini?

Atarudi leo usiku sana.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake.

Na msichana naye?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi.

Unamaanisha nini?

Sipendi kile ninachosikia.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo.

Kila kitu ni shwari.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa.

Subiri kidogo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Sawa, nitafanya kile unachotaka. Okay|I will do|what|you want OK, I will do what you want.

Hakifai lakini nitafanya. It doesn't fit|but|I will do it I really shouldn't but I will.

Naam, nimepata wazo. Yes|I have gotten|idea Hey, I just thought of something.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa? Is there|anyone|any|at home|now Is anyone home right now?

La, wote wawili wako nje. No|both|two|are|outside No, they are both out.

Wazo lako ni lipi? Thought|your|is|which What do you mean by that?

Watarudi lini? They will return|when When will they be back?

Atarudi leo usiku sana. He will return|today|night|late He will be back late tonight.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake. He plays|golf|together|with|friends|his He is playing golf with his friends.

Na msichana naye? And|the girl|her too What about her?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi. He should|return|from|work|after|of|hour|one|approximately She should be back from work in an hour.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi. So||one hour|before|the girl||||returns We have one hour before the girl comes back.

Unamaanisha nini? do you mean|what What do you mean?

Sipendi kile ninachosikia. I don't like|what|I hear I don't like what I am hearing.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo. Don't worry|Let me|take care of it|and|that Don't worry, Just leave it to me.

Kila kitu ni shwari. Every|thing|is|calm Everything will be all right.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa. I know|what you are thinking|and|I don't like|at all I know what you are thinking and I don't like it one bit.

Subiri kidogo. Wait|a little Just wait a minute.