×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.

image

Who is She?, 22- Unafanya Nini Hapa?

Nini kinaendelea hapa katika nyumba yangu?

Habari, Jina langu ni Naomi na huyu ni Anna.

Nafurahi kukutana nawe.

Unafanya nini katika nyumba yangu?

Mimi ni dadake Ibrahim.

Huyu ni Anna, rafiki yangu.

Sijali wewe ni nani.

Unafanya nini hapa?

Nani akufungulia?

Usikasirike.

Kwani, mimi ni dadake Ibrahim.

Hivyo mimi si mgeni.

Kwa nini Anna amevaa nguo la kulala na amelala kitandani?

Ninaweza kueleza.

Unajua Anna alikuwa amechoka na ...

Uliingiaje ndani ya nyumba yangu?

Mtu aliye chini aliniruhusu niingie, kwa sababu nilimwomba kufanya hivyo.

Yeye ni mtu mzuri.

Alikufungulia?

Ana haki gani kukuruhusu uingie hapa?

Tafadhali nieleze sababu ya rafiki yako kuwa kitandani changu na nguo za kulala, tena ni alasiri.

Nilishakueleza.

Amechoka na alitaka tu kulala kidogo kabla ya Ibrahim kuja nyumbani.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nini kinaendelea hapa katika nyumba yangu? What|is happening|here|in|house|my What is going on here in my apartment?

Habari, Jina langu ni Naomi na huyu ni Anna. Hello|My name|is|is|||this|is|Anna Hello, My name is Jane and this is Sally.

Nafurahi kukutana nawe. I am happy|to meet|with you Glad to meet you.

Unafanya nini katika nyumba yangu? What do you do|in|my|house|your What are you doing in my apartment?

Mimi ni dadake Ibrahim. I|am|his sister|Ibrahim I am George's sister.

Huyu ni Anna, rafiki yangu. This is Sally, my friend.

Sijali wewe ni nani. I don't care|you|are|who I don't care who you are.

Unafanya nini hapa? What are you doing|here|here What are you doing here?

Nani akufungulia? Who|will open for you Who let you in?

Usikasirike. Don't get angry You do not have to get upset.

Kwani, mimi ni dadake Ibrahim. So|I|am|sister|Ibrahim After all, I am George's sister.

Hivyo mimi si mgeni. So|I|am not|a stranger I am not a stranger.

Kwa nini Anna amevaa nguo la kulala na amelala kitandani? Why|what|Anna|is wearing|dress|of|sleeping|and|is sleeping|in bed Why is Sally wearing pyjamas and lying in bed?

Ninaweza kueleza. I can|explain I can explain.

Unajua Anna alikuwa amechoka na ... You know|Anna|was|tired|and You see Sally was feeling tired and...

Uliingiaje ndani ya nyumba yangu? How did you enter|inside|of|house|my How did you get in to my apartment?

Mtu aliye chini aliniruhusu niingie, kwa sababu nilimwomba kufanya hivyo. The person|who|below|allowed me|to enter|for|the reason|I asked him|to do|so The man from downstairs let me in because I asked him to.

Yeye ni mtu mzuri. He|is|person|good He is a nice man.

Alikufungulia? Did he open for you He did?

Ana haki gani kukuruhusu uingie hapa? He has|right|what|to allow you|to enter|here What right does he have to let you in here?

Tafadhali nieleze sababu ya rafiki yako kuwa kitandani changu na nguo za kulala, tena ni alasiri. Please|explain to me|reason|of|friend|your|being|in my bed|my|with|clothes|of|sleeping|again|it is|afternoon Please tell me why your friend Sally is in my bed with her pyjamas on in the afternoon?

Nilishakueleza. I had already explained to you I started to tell you.

Amechoka na alitaka tu kulala kidogo kabla ya Ibrahim kuja nyumbani. He is tired|and|he wanted|just|to sleep|a little|before|of|Ibrahim|comes|home She is tired and just wanted to sleep a little before George came home.