×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.

image

Who is She?, 3- Yeye Ni Nani?

Nataka tu kujua.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia.

Ndugu yako anafanana na wewe.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu?

Ndiyo.

Nani anaishi na ndugu yangu?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako.

Yeye ni nani?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye.

Siwezi kukueleza yeye ni nani.

Mbona usimuulize ndugu yako?

Nataka kujua ni nani.

Nashangaa ni nani.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza.

Si lazima nikueleze.

Sidhani kama natakiwa kukueleza.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka.

Unapaswa kunieleza.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nataka tu kujua. je veux|nous|savoir I want|just|to know I just want to know. 我只是想知道。

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia. maintenant|je l'ai compris|de qui tu parles Now|I have understood|you are talking about Now I know who you mean. 现在我知道你在说谁了。

Ndugu yako anafanana na wewe. votre frère||ressemble|| Your sibling|your|resembles|to|you Your brother looks like you. 你弟弟长得很像你。

Anaishi kwenye ghorofa ya tano. ||appartement||cinquième He lives|on|floor|of|five He lives on the fifth floor. 他住在五楼。

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu? il y a||n'importe qui|||| Is there|anyone|any|lives|with|sibling|my Does anyone live with my brother? 有人和我弟弟住在一起吗?

Ndiyo. Yes Yes. 是的。

Nani anaishi na ndugu yangu? Who|lives|with|brother|my Who lives with my brother? 谁和我弟弟住在一起?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako. |fille|qui vit||| There is|a girl|who lives|with|brother|your There is a girl who lives with your brother.

Yeye ni nani? elle|| He|is|who Who is she?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye. s'il vous plaît|explique-moi|à propos de| Please|tell me|about|him Please tell me about her. 请告诉我关于他的事。

Siwezi kukueleza yeye ni nani. |te dire||| I cannot|tell you|he|is|who I cannot tell you who she is. 我不能告诉你他是谁。

Mbona usimuulize ndugu yako? pourquoi|ne pas lui demander|| why|don't you ask|sibling|your Why don't you ask your brother? 你为什么不问问你哥哥呢?

Nataka kujua ni nani. I want|to know|who|who I want to know who she is. 我想知道是谁。

Nashangaa ni nani. je me demande|| I wonder|is|who I wonder who she is. 我想知道这是谁。

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani. désolé||||| Sorry|I cannot|explain to you|he|is|who I am sorry, I cannot tell you who she is. 抱歉,我不能告诉你他是谁。

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka. |ta mère|te dira|si|veut Your sibling|your|will tell you|if|he/she wants Your brother will tell you if he wants to. 如果你哥哥愿意的话他会告诉你的。

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza. Nina|sûrement|tu sais||tu ne veux pas|m'expliquer I have|certainty|you know|but|you don't want|to tell me I am sure you know but just don't want to tell me. 我确信你知道,但你不想告诉我。

Si lazima nikueleze. si||je te dise It is not|necessary|I explain to you I do not have to tell you. 我不需要向你解释。

Sidhani kama natakiwa kukueleza. je ne pense pas|si|je dois| I don't think|that|I am supposed|to explain to you I do not think I should tell you. 我想我不需要向你解释。

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka. |tu peux|||tu veux But|you can|explain to me|if|you want But you could tell me if you wanted to. 但如果你愿意的话可以告诉我。

Unapaswa kunieleza. tu dois|me dire You must|explain to me You must tell me. 你应该向我解释一下。