×

Mes naudojame slapukus, kad padėtume pagerinti LingQ. Apsilankę avetainėje Jūs sutinkate su mūsų slapukų politika.


image

Wikitongues, Leonhard speaking Swahili

Leonhard speaking Swahili

Hello, Jina langu naitwa Leonhard Oscar, ni Mtanzania

sasa hivi niko Mozambique.

Mimi ni mwanamziki, nafanya mziki ya Afro-Music

Pia ni mwalimu wa music, nafundisha pale

"may day" ni college ya music nafundisha.

Nimefurahi kushare na nyinyi mawazo yangu.

Nimefanya uchunguzi Tanzania nimeona watanzania wengi

ni tuna vipaji vya kujifunza mziki

tunaelewa music lakini

hatujui kusoma, hatujui kuandika music

Ni kitu kinachoumiza sana

mimi nashangaa wanasiasa, wao wanachukulia

ni jambo la kawaida.

Wameweka institute lakini naona

kama haifanyi kazi, mfano

mziki mashuleni haipo tena.

Ni jambo linalosikitisha sana

Mimi nafundisha music

Tunastruggle sana kwa sababu tunafikiria kwamba

tunawapokea watu, na kuwaanzisha chini sana

lakini hawawezi kufika kule wanapotarajia kufika

hawawezi kufika level ambayo

watu wanategemea wafike

kwahiyo wazo langu kwa serikali

na kwa bunge, wazo langu

Ninaomba rais na anyehusika

na waziri

arudishe, naomba mrudishe elimu

ya mziki mashuleni. Watoto waanze

wakiwa wadogo, kujifunza music ili

iingizwe kwenye syllabus ya nchi

hii kitu inasaidia, inasaidia sana.

Mfano unataka kutangaza utalii

unataka kutangaza utamaduni,

unatangazaye

ni kupitia miziki.

Lakini unakuta music

mtu ana, watu wana tamaduni zao

lakini hawezi kuziandika

mtu ana kipaji

anakufa zile video zikipotea

basi watu wanakaa wanasahau.

Pia ku-understand, yaani kufanya ule mziki

kutengeneza katika njia sahihi

Please, serikali ninaomba tena,

mrudishe music mashuleni.

Subtitles by the Amara.org community

Leonhard speaking Swahili Leonard spricht Suaheli WIKITONGUES: Leonhard speaking Swahili Leonard hablando swahili Leonard parle swahili スワヒリ語を話すレナード Leonard spreekt Swahili Leonard falando suaíli Леонард говорит на суахили Leonard Svahili konuşuyor 伦纳德说斯瓦希里语 伦纳德说斯瓦希里语

Hello, Jina langu naitwa Leonhard Oscar, ni Mtanzania Hallo, mein Name ist Leonhard Oscar, ich bin Tansanier Hello, my name is Leonhard Oscar, I am Tanzanian Olá, meu nome é Leonhard Oscar, sou tanzaniano

sasa hivi niko Mozambique. Ich bin derzeit in Mosambik. right now I am in Mozambique I am a Atualmente estou em Moçambique.

Mimi ni mwanamziki, nafanya mziki ya Afro-Music Ich bin Musiker, ich spiele Afro-Musik I am a musician, I play Afro-Music Sou músico, toco música afro

Pia ni mwalimu wa music, nafundisha pale Ich bin auch Musiklehrer, ich unterrichte dort also I am music teacher I teach there at Ele também é professor de música, eu ensino lá

"may day" ni college ya music nafundisha. „May Day“ ist eine Musikhochschule, an der ich unterrichte. "may day," that is a music college "May Day" é uma faculdade de música onde dou aulas.

Nimefurahi kushare na nyinyi mawazo yangu. Gerne teile ich meine Gedanken mit Ihnen. I am happy to share with you my ideas Estou feliz em compartilhar meus pensamentos com você.

Nimefanya uchunguzi Tanzania nimeona watanzania wengi I have done research I have seen that in Tanzania, many Tanzanians we have talents Fiz pesquisas na Tanzânia e vi muitos tanzanianos

ni tuna vipaji vya kujifunza mziki Wir haben das Talent, Musik zu lernen we have the talent to learn music temos talento para aprender música

tunaelewa music lakini Wir verstehen Musik aber we understand music but

hatujui kusoma, hatujui kuandika music Wir können nicht lesen, wir können keine Musik schreiben we don't know how to read, we don't know how to write music

Ni kitu kinachoumiza sana Es ist etwas, das sehr weh tut It is something that hurts a lot É algo que dói muito

mimi nashangaa wanasiasa, wao wanachukulia Ich bin überrascht, dass Politiker es akzeptieren Politicians--politicians--they see this Eu me pergunto se os políticos pegam isso

ni jambo la kawaida. Es ist eine normale Sache. as something normal é uma coisa normal.

Wameweka institute lakini naona Sie haben ein Institut gegründet, aber ich kann es sehen they made an institute but I can see that Eles criaram um instituto, mas posso ver isso

kama haifanyi kazi, mfano wenn es nicht funktioniert, z.B it is not working, for example

mziki mashuleni haipo tena. Musik in Schulen gibt es nicht mehr. music is not present in the schools a música nas escolas não existe mais.

Ni jambo linalosikitisha sana Es ist sehr traurig this is something that is really sorry

Mimi nafundisha music Ich unterrichte Musik I am teaching music

Tunastruggle sana kwa sababu tunafikiria kwamba Wir kämpfen sehr, weil wir das denken we are struggling a lot because we think Lutamos muito porque pensamos que

tunawapokea watu, na kuwaanzisha chini sana Wir empfangen Menschen und sie beginnen sehr niedrig we receive people and start them at a recebemos pessoas e as iniciamos muito baixo

lakini hawawezi kufika kule wanapotarajia kufika aber sie können nicht dort ankommen, wo sie ankommen wollen very low level, [but] they can't achieve mas eles não podem chegar onde esperam chegar

hawawezi kufika level ambayo Sie können dieses Niveau nicht erreichen the can't reach the level that eles não podem atingir esse nível

watu wanategemea wafike Die Leute erwarten, dass sie ankommen people expect that they should as pessoas esperam que eles cheguem

kwahiyo wazo langu kwa serikali also meine Idee für die Regierung therefore, my idea for the government então minha ideia para o governo

na kwa bunge, wazo langu and for the parliament my idea is that

Ninaomba rais na anyehusika Ich frage den Präsidenten und die Betroffenen I am asking the president and the Peço ao presidente e aos interessados

na waziri und der Minister person who is responsible for ministers

arudishe, naomba mrudishe elimu Gib ihm zurück, bitte gib ihm die Bildung zurück please bring back music education

ya mziki mashuleni. Watoto waanze der Musik in Schulen. Lassen Sie die Kinder beginnen to schools, have the students start learning

wakiwa wadogo, kujifunza music ili als sie jung waren, um Musik zu lernen when they are young, put it in the

iingizwe kwenye syllabus ya nchi in den Lehrplan des Landes aufgenommen werden school syllabus of the country ser incluído no currículo do país

hii kitu inasaidia, inasaidia sana. Dieses Ding hilft, es hilft sehr. this helps, this helps a lot, for example

Mfano unataka kutangaza utalii Sie möchten zum Beispiel den Tourismus fördern if you want to promote tourism, if you want to promote Por exemplo, você deseja promover o turismo

unataka kutangaza utamaduni, Sie wollen Kultur fördern, culture, how do you promote?

unatangazaye du verkündest es it is by using music como vai?

ni kupitia miziki. ist durch Musik. it is by using music

Lakini unakuta music but...you meet...music Mas você encontra música

mtu ana, watu wana tamaduni zao Man hat, die Menschen haben ihre eigene Kultur people have their cultures, but they um tem, as pessoas têm sua própria cultura

lakini hawezi kuziandika aber er kann sie nicht schreiben can't write [them down] mas ele não pode escrevê-los

mtu ana kipaji Der Mann ist talentiert a person has a talent o homem é talentoso

anakufa zile video zikipotea er stirbt, als die Videos verschwinden but if they die and the videos are lost ele morre quando os vídeos desaparecem

basi watu wanakaa wanasahau. dann bleiben die Leute und vergessen. that's it! people forget então as pessoas ficam e esquecem.

Pia ku-understand, yaani kufanya ule mziki Auch um zu verstehen, also Musik zu machen also, to understand, to make that music Também para entender, ou seja, para fazer a música

kutengeneza katika njia sahihi richtig machen to build it in the proper way faça da maneira certa

Please, serikali ninaomba tena, please, government, I beg you again

mrudishe music mashuleni. Bringen Sie Musik zurück in die Schulen. bring music back to the schools

Subtitles by the Amara.org community Untertitel von der Amara.org-Community Subtitles by the Amara.org community