×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.

image

LingQ Mini Stories, 14- Huwa Ninapenda Kusikiliza Muziki

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

Anataka kujifunza namna ya kucheza.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu anamwambia aruke.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu ananiambia niruke.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza.

Maswali.

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Je, Aisha anapenda muziki? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. Anaenda kwenye darasa la kucheza.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Je, Aisha anadondoka chini? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Aisha|usually|loves|to listen|music Aisha hört gerne Musik. Kelly likes to listen to music. Aisha aime écouter de la musique.

Anataka kujifunza namna ya kucheza. He wants|to learn|how|to|play Er möchte spielen lernen. She wants to learn how to dance. Il veut apprendre à jouer.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza. He/She goes|to|class|his|of|||play Sie geht zu ihrem ersten Tanzkurs. She goes to her first dance class. Elle va à son premier cours de danse.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake. The teacher|tells him||feet|his Der Lehrer sagt ihm, er solle seine Beine strecken. The teacher tells her to stretch her legs. Le professeur lui dit de redresser ses jambes.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake. Aisha|is trying|to stretch|legs|her Kelly tries to stretch her legs. Aisha essaie de se dégourdir les jambes.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana. But|he cannot|stretch|far|too much But she can't stretch very far. Mais il ne peut pas aller trop loin.

Mwalimu anamwambia aruke. The teacher|tells him|to jump The teacher tells her to jump. Le professeur lui dit de sauter.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Aisha|tries|to jump|but|she falls|down Kelly tries to jump, but falls down. Aisha essaie de sauter, mais tombe au sol.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Muscles|of|Aisha|has|pain|after|of|class Aishas Muskeln schmerzen nach dem Unterricht. Kelly's muscles are sore after class. Les muscles d'Aisha sont douloureux après les cours.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe|he can’t|learn|how|to|play Maybe she can't learn how to dance. Peut-être qu'il ne peut pas apprendre à jouer.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha. This|is|story|that|being told|by|Aisha Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Aïcha.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki. I usually|love|to listen|music I like to listen to music. J'aime toujours écouter de la musique.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza. I want|to learn|how|to|play Ich möchte lernen, wie man spielt. I want to learn how to dance. Je veux apprendre à jouer.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza. I am going|to|class|my|of|first|of|play I go to my first dance class. Je vais à mon premier cours de danse.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu. The teacher|tells me|to straighten|my legs|my Der Lehrer sagt mir, ich solle meine Beine strecken. The teacher tells me to stretch my legs. Le professeur me dit de redresser mes jambes.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu. I am trying|to stretch|legs|my I try to stretch my legs. J'essaie de me dégourdir les jambes.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana. But|I cannot|stretch|far|very But I can't stretch very far. Mais je ne peux pas aller trop loin.

Mwalimu ananiambia niruke. The teacher|tells me|to jump Der Lehrer sagt mir, ich soll springen. The teacher tells me to jump. Le professeur me dit de sauter.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini. I try|to jump|but|I fall|down I try to jump, but fall down. J'essaie de sauter, mais je tombe.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa. My muscles|my|have|pain|after|of|class My muscles are sore after class. J'ai mal aux muscles après les cours.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe||learn|how|to|play Maybe I can't learn how to dance. Peut-être que je n'arrive pas à apprendre à jouer.

Maswali. Questions Questions: Des questions.

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Aisha|usually|loves|to listen to|music One: Kelly likes to listen to music. 1) Aisha aime toujours écouter de la musique. Je, Aisha anapenda muziki? Does Kelly like music? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Yes|Aisha||loves|to listen to|music Yes, Kelly likes to listen to music.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Aisha|wants|to learn|how|to|play Two: Kelly wants to learn how to dance. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? (question particle)|Aisha|wants|to learn|how|to|play Does Kelly want to learn how to dance? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Yes|Aisha|wants|to learn|how|to|play Yes, Kelly wants to learn how to dance.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Aisha|goes|to|class|of|dancing Three: Kelly goes to a dance class. 3) Aisha va à un cours de danse. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? question particle|Aisha|goes|to|class|of|piano Does Kelly go to a piano class? Aisha va-t-elle à des cours de piano ? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. No|Aisha|has not gone|to|class|of|piano No, Kelly does not go to a piano class. Non, Aisha n'est pas allée au cours de piano. Anaenda kwenye darasa la kucheza. He/She goes|to|class|of|play She goes to a dance class.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. The teacher|tells her|Aisha|to stretch|legs|her Four: The teacher tells Kelly to stretch her legs. 4) Le professeur dit à Aïcha de redresser ses jambes. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? question particle|the teacher|tells her|Aisha||hands|her Does the teacher tell Kelly to stretch her arms? Le professeur dit-il à Aïcha de se dégourdir les bras ? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. No|the teacher|does not tell him|to raise|his hands|his No, the teacher does not tell her to stretch her arms. Non, le professeur ne lui dit pas de lever les mains. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake. The teacher|tells him|to stretch|legs|his The teacher tells her to stretch her legs. Le professeur lui dit de redresser ses jambes.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Aisha|cannot|stretch|legs|her|far|very Five: Kelly can't stretch her legs very far. 5) Aisha ne peut pas étendre ses jambes très loin. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? question particle|Aisha|can|stretch|legs|her|far Can Kelly stretch her legs far? Aisha peut-elle se dégourdir les jambes ? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. No|Aisha|cannot|stretch|legs|her|far|very No, Kelly can't stretch her legs very far. Non, Aïcha ne peut pas dégourdir ses jambes très loin.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Aisha|tries|to jump|but|she falls|down Six: Kelly tries to jump, but she falls down. Je, Aisha anadondoka chini? question particle|Aisha|falls|down Does Kelly fall down? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Yes|Aisha|tries|to jump|but|she falls|down Yes, Kelly tries to jump, but she falls down.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Muscles|of|Aisha|has|pain|after|of|class Seven: Kelly's muscles are sore after class. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Are Kelly's muscles sore after class? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Yes|muscles|of|Aisha|has|pain|after|of|class Yes, Kelly's muscles are sore after class.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Maybe|Aisha|cannot|learn|to play Eight: Maybe Kelly can't learn how to dance. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? question particle|Aisha|can|learn|to play Can Kelly learn how to dance? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Maybe|Aisha|cannot|learn|to play Maybe Kelly can't learn how to dance.