×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

LingQ Mini Stories, 25- Mtoto mpya wa kiume

Mke wa Musa atapata mtotompya.

Musa na mkewe wana mtoto mmoja wa kiume na wa kike.

Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine.

Mtoto mpya atakuwa mvulana.

Lakini hawajui wampe mtoto jina gani.

Wanaamua kuwauliza wazazi wao.

Wazazi wao huwapa mawazo fulani.

Mawazo mengine ni bora kuliko mengine.

Musa na mkewe watamwita mtoto Lamu.

Wanatumai mtoto atafurahiya jina hili.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Mke wangu alikuwa ana mtoto.

Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja wa kiume na wa kike.

Tulifurahi sana kupata mtoto mwingine.

Mtoto mpya angekuwa mvulana.

Lakini hatukujua tumpe mtoto jina gani.

Tuliamua kuwauliza wazazi wetu.

Wazazi wetu walitupatia mawazo fulani.

Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine.

Mimi na mke wangu tulimwita mtoto Lamu.

Tulitarajia mtoto angefurahi na jina lake.

Maswali:

Moja: Mke wa Musa atapata mtoto. Mke wa Musa atakuwa na nini? Mke wa Musa atapata mtoto.

Mbili: Musa na mkewe wana watoto wawili, mmoja wa kiume na mmoja wa kike. Musa na mke wake wana watoto wangapi? Wana watoto wawili, mmoja wa kiume na mmoja wa kike.

Tatu: Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine. Wanajisikiaje kupata mtoto mwingine? Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine.

Nne: Mtoto mpya atakuwa mvulana. Mtoto mpya atakuwa msichana? Hapana, mtoto mpya hatakuwa msichana. Mtoto mpya atakuwa mvulana.

Tano: Hawajui wampe mtoto jina gani. Je wanajua watampa mtoto jina gani? Hapana, hawajui wampe mtoto jina gani.

Sita: Wanaamua kuwauliza wazazi wao kuhusu majina ya watoto. Wanaamua kufanya nini? Wanaamua kuwauliza wazazi wao kuhusu majina ya watoto.

Saba: Wazazi wao huwapa mawazo fulani. Wazazi wao wanafanya nini? Wazazi wao huwapa mawazo fulani.

Nane: Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine. Mawazo yote yalikuwa mazuri? Hapana, sio mawazo yote yalikuwa mazuri. Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine.

Tisa: Musa na mkewe walimwita mtoto ‘Lamu'. Musa na mkewe walimwitaje mtoto? Walimwita mtoto ‘Lamu'.

Kumi: Musa na mkewe walitarajia mtoto angefurahishwa na jina lake. Musa na mke wake walitumaini nini? Walitumaini mtoto huyo angefurahishwa na jina lake.

Mke wa Musa atapata mtotompya. Dave's wife will have a new baby. La femme de Musa va avoir un nouveau bébé.

Musa na mkewe wana mtoto mmoja wa kiume na wa kike. Musa und seine Frau haben einen Sohn und eine Tochter. Dave and his wife have one son and one daughter.

Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine. They are very excited to have another baby.

Mtoto mpya atakuwa mvulana. The new baby will be a boy.

Lakini hawajui wampe mtoto jina gani. But they don't know what name to give the baby. Mais ils ne savent pas comment nommer l'enfant.

Wanaamua kuwauliza wazazi wao. They decide to ask their parents.

Wazazi wao huwapa mawazo fulani. Their parents give them some ideas. Leurs parents leur donnent quelques idées.

Mawazo mengine ni bora kuliko mengine. Some ideas are better than others. Certaines idées sont meilleures que d’autres.

Musa na mkewe watamwita mtoto Lamu. Dave and his wife will call the baby Ethan. Musa et sa femme appelleront l'enfant Lamu.

Wanatumai mtoto atafurahiya jina hili. They hope the baby will be happy with this name.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here is the same story told in a different way. Voici la même histoire racontée d’une manière différente.

Mke wangu alikuwa ana mtoto. My wife was having a baby. Ma femme a eu un enfant.

Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja wa kiume na wa kike. My wife and I have one son and one daughter. Ma femme et moi avons un fils et une fille.

Tulifurahi sana kupata mtoto mwingine. We were very excited to have another baby.

Mtoto mpya angekuwa mvulana. The new baby was going to be a boy.

Lakini hatukujua tumpe mtoto jina gani. But we didn't know what name to give the baby. Mais nous ne savions pas quel nom donner à l'enfant.

Tuliamua kuwauliza wazazi wetu. We decided to ask our parents.

Wazazi wetu walitupatia mawazo fulani. Our parents gave us some ideas.

Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine. Some ideas were better than others. Certaines idées étaient meilleures que d’autres.

Mimi na mke wangu tulimwita mtoto Lamu. My wife and I called the baby Ethan.

Tulitarajia mtoto angefurahi na jina lake. We hoped the baby was going to be happy with his name.

Maswali: Questions:

Moja: Mke wa Musa atapata mtoto. One: Dave's wife will have a baby. Mke wa Musa atakuwa na nini? What will Dave's wife have? Mke wa Musa atapata mtoto. Dave's wife will have a baby.

Mbili: Musa na mkewe wana watoto wawili, mmoja wa kiume na mmoja wa kike. Two: Dave and his wife have two children, one son and one daughter. Musa na mke wake wana watoto wangapi? How many children do Dave and his wife have? Wana watoto wawili, mmoja wa kiume na mmoja wa kike. They have two children, one son and one daughter.

Tatu: Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine. Three: They are very excited to have another baby. Wanajisikiaje kupata mtoto mwingine? How do they feel about having another baby? Wanafurahi sana kupata mtoto mwingine. They are very excited to have another baby.

Nne: Mtoto mpya atakuwa mvulana. Four: The new baby will be a boy. Mtoto mpya atakuwa msichana? Will the new baby be a girl? Hapana, mtoto mpya hatakuwa msichana. No, the new baby will not be a girl. Mtoto mpya atakuwa mvulana. The new baby will be a boy.

Tano: Hawajui wampe mtoto jina gani. Five: They do not know what name to give the baby. Je wanajua watampa mtoto jina gani? Do they know what name to give the baby? Hapana, hawajui wampe mtoto jina gani. No, they do not know what name to give the baby.

Sita: Wanaamua kuwauliza wazazi wao kuhusu majina ya watoto. Sechstens: Sie beschließen, ihre Eltern nach den Namen der Kinder zu fragen. Six: They decide to ask their parents about baby names. Wanaamua kufanya nini? What do they decide to do? Wanaamua kuwauliza wazazi wao kuhusu majina ya watoto. They decide to ask their parents about baby names.

Saba: Wazazi wao huwapa mawazo fulani. Sieben: Ihre Eltern geben ihnen einige Ideen. Seven: Their parents give them some ideas. Wazazi wao wanafanya nini? Was machen ihre Eltern? What do their parents do? Wazazi wao huwapa mawazo fulani. Their parents give them some ideas.

Nane: Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine. Acht: Einige Ideen waren besser als andere. Eight: Some ideas were better than others. Mawazo yote yalikuwa mazuri? Waren alle Ideen gut? Were all the ideas good? Hapana, sio mawazo yote yalikuwa mazuri. Nein, nicht alle Ideen waren gut. No, not all the ideas were good. Mawazo mengine yalikuwa bora kuliko mengine. Some ideas were better than others.

Tisa: Musa na mkewe walimwita mtoto ‘Lamu'. Neun: Musa und seine Frau nannten das Kind „Lamu“. Nine: Dave and his wife called the baby ‘Ethan'. Musa na mkewe walimwitaje mtoto? What did Dave and his wife call the baby? Walimwita mtoto ‘Lamu'. They called the baby ‘Ethan'.

Kumi: Musa na mkewe walitarajia mtoto angefurahishwa na jina lake. Ten: Dave and his wife hoped the baby was going to be happy with his name. Musa na mke wake walitumaini nini? What did Dave and his wife hope? Walitumaini mtoto huyo angefurahishwa na jina lake. They hoped the baby was going to be happy with his name.