×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

LingQ Mini Stories, 32 - Sara Anatengeneza Kiamsha kinywa kwa ajili ya Familia y

Sara alikuwa akijaribu kutengeneza kifungua kinywa asubuhi yote.

Mwanawe na mumewe walikuwa wakingojea kifungua kinywa, pia.

Hakukuwa na chakula kingi Sara alipotazama kwenye jokofu.

Alichoona ni mayai, mkate na maziwa.

Mwishowe, aliamua kupika mayai.

Alichemsha chungu cha maji na kuweka mayai matatu ndani yake.

Pia alitengeneza chai yake na mumewe.

Mwanawe alipata sharubati ya machungwa badala yake.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Nimekuwa nikijaribu kuandaa kifungua kinywa asubuhi yote.

Mwanangu na mume wamekuwa wakingojea kifungua kinywa, pia.

Niliangalia kwenye jokofu.

Lakini hakukuwa na chakula kingi.

Niliona mayai, mkate na maziwa.

Kwa hivyo niliamua kupika mayai.

Nilichemsha maji kwa sufuria na kuweka mayai matatu ndani yake.

Pia nilipika chai kwa ajili yangu na mume wangu.

Mwanangu alikunywa sharubati ya machungwa badala yake.

Maswali:

Moja: Sara alikuwa akijaribu kuandaa kifungua kinywa.

Sara alikuwa anajaribu kufanya nini?

Sara alikuwa akijaribu kuandaa kifungua kinywa.

Mbili: Mume na mwana wa Sara walikuwa wakingoja kifungua kinywa.

Mume na mwana wa Sara walikuwa wakingoja nini?

Walikuwa wakingoja kifungua kinywa.

Tatu: Hakukuwa na chakula kingi kwenye jokofu.

Kulikuwa na chakula kingi kwenye jokofu?

Hapana, hakukuwa na chakula kingi kwenye jokofu.

Nne: Sara aliona mayai, mkate, na maziwa kwenye jokofu.

Sara aliona nini kwenye jokofu?

Sara aliona mayai, mkate, na maziwa kwenye jokofu.

Tano: Sara aliamua kupika mayai.

Sara aliamua kupika nini?

Sara aliamua kupika mayai.

Sita: Sara anachemsha chungu cha maji, na ameweka mayai matatu ndani ya maji.

Sara amekuwa akifanya nini?

Sara amekuwa akichemsha chungu cha maji, na ameweka mayai matatu ndani ya maji.

Saba: Sara pia amekuwa akipika chai kwa ajili yake na mumewe.

Sara amekuwa akitengeneza nini ingine?

Sara pia amekuwa akipika chai kwa ajili yake na mumewe.

Nane: Mwana wa Sara anakunywa sharubati ya machungwa.

Je! mwana wa Sara anakunywa chai?

Hapana, mwana wa Sara hanywi chai.

Anakunywa sharubati ya machungwa.

Sara alikuwa akijaribu kutengeneza kifungua kinywa asubuhi yote. Sara versuchte den ganzen Morgen, Frühstück zu machen. Sara had been trying to make breakfast all morning.

Mwanawe na mumewe walikuwa wakingojea kifungua kinywa, pia. Auch ihr Sohn und ihr Mann warteten auf das Frühstück. Her son and husband had been waiting for breakfast, too.

Hakukuwa na chakula kingi Sara alipotazama kwenye jokofu. There hadn't been much food when Sara looked in the fridge.

Alichoona ni mayai, mkate na maziwa. All she saw were eggs, bread, and milk.

Mwishowe, aliamua kupika mayai. In the end, she decided to cook some eggs.

Alichemsha chungu cha maji na kuweka mayai matatu ndani yake. Er brachte einen Topf Wasser zum Kochen und legte drei Eier hinein. She boiled a pot of water and she put three eggs into the water.

Pia alitengeneza chai yake na mumewe. She also made tea for herself and her husband.

Mwanawe alipata sharubati ya machungwa badala yake. Her son had orange juice instead.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here is the same story told in a different way.

Nimekuwa nikijaribu kuandaa kifungua kinywa asubuhi yote. I have been trying to make breakfast all morning.

Mwanangu na mume wamekuwa wakingojea kifungua kinywa, pia. My son and husband have been waiting for breakfast, too.

Niliangalia kwenye jokofu. I looked in the fridge.

Lakini hakukuwa na chakula kingi. But there wasn't much food.

Niliona mayai, mkate na maziwa. I saw eggs, bread, and milk.

Kwa hivyo niliamua kupika mayai. So I decided to cook some eggs.

Nilichemsha maji kwa sufuria na kuweka mayai matatu ndani yake. I boiled a pot of water and I put three eggs into the water.

Pia nilipika chai kwa ajili yangu na mume wangu. I also made tea for myself and for my husband.

Mwanangu alikunywa sharubati ya machungwa badala yake. My son had orange juice instead.

Maswali: Questions:

Moja: Sara alikuwa akijaribu kuandaa kifungua kinywa. One: Sara had been trying to make breakfast.

Sara alikuwa anajaribu kufanya nini? What had Sara been trying to make?

Sara alikuwa akijaribu kuandaa kifungua kinywa. Sara had been trying to make breakfast.

Mbili: Mume na mwana wa Sara walikuwa wakingoja kifungua kinywa. Two: Sara's husband and son had been waiting for breakfast.

Mume na mwana wa Sara walikuwa wakingoja nini? What had Sara's husband and son been waiting for?

Walikuwa wakingoja kifungua kinywa. They had been waiting for breakfast.

Tatu: Hakukuwa na chakula kingi kwenye jokofu. Three: There wasn't much food in the fridge.

Kulikuwa na chakula kingi kwenye jokofu? Was there much food in the fridge?

Hapana, hakukuwa na chakula kingi kwenye jokofu. No, there wasn't much food in the fridge.

Nne: Sara aliona mayai, mkate, na maziwa kwenye jokofu. Four: Sara saw eggs, bread, and milk in the fridge.

Sara aliona nini kwenye jokofu? What did Sara see in the fridge?

Sara aliona mayai, mkate, na maziwa kwenye jokofu. Sara saw eggs, bread, and milk in the fridge.

Tano: Sara aliamua kupika mayai. Five: Sara has decided to cook some eggs.

Sara aliamua kupika nini? What did Sara decide to cook?

Sara aliamua kupika mayai. Sara decided to cook some eggs.

Sita: Sara anachemsha chungu cha maji, na ameweka mayai matatu ndani ya maji. Six: Sara is boiling a pot of water, and has put three eggs into the water.

Sara amekuwa akifanya nini? What has Sara been doing?

Sara amekuwa akichemsha chungu cha maji, na ameweka mayai matatu ndani ya maji. Sara has been boiling a pot of water, and has put three eggs into the water.

Saba: Sara pia amekuwa akipika chai kwa ajili yake na mumewe. Seven: Sara has also been making tea for herself and her husband.

Sara amekuwa akitengeneza nini ingine? What else has Sara been making? Qu'est-ce que Sara a fait d'autre ?

Sara pia amekuwa akipika chai kwa ajili yake na mumewe. Sara has also been making tea for herself and her husband.

Nane: Mwana wa Sara anakunywa sharubati ya machungwa. Eight: Sara's son is having orange juice.

Je! Is Sara's son having tea? mwana wa Sara anakunywa chai? No.

Hapana, mwana wa Sara hanywi chai. Sara's son isn't having tea.

Anakunywa sharubati ya machungwa. He's having orange juice.