×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

LingQ Mini Stories, 43 - Kakai na Ratiba yake

Kakai anaangalia ratiba yake ya shule.

Ana ratiba yenye shughuli nyingi.

Madarasa yake yote yana urefu wa dakika tisini.

Na siku zake zote za wiki zimejaa.

Hana muda mwingi wa kupumzika jioni, na hana wakati wowote wa bure Jumatatu.

Hata hivyo, hana masomo yoyote wikendi, kwa hivyo anapaswa kuwa na muda kidogo wa kuwaona marafiki zake wakati huo.

Ingawa bado ana muda kidogo kwa ajili yake mwenyewe, muda wake mwingi utakuwa wa kusoma.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Nilikuwa nikiangalia ratiba yangu ya shule.

Nilikuwa na ratiba yenye shughuli nyingi.

Madarasa yangu yote yalikuwa na urefu wa dakika tisini.

Na siku zangu zote za wiki zilikuwa zimejaa.

Sikuwa na wakati mwingi wa kupumzika jioni, na sikuwa na wakati wowote wa kupumzika Jumatatu.

Ingawa sikuwa na masomo yoyote wikendi, ili nipate muda kidogo wa kuwaona marafiki zangu wakati huo.

Ingawa bado nilikuwa na wakati kidogo kwa ajili yangu, wakati wangu mwingi niliutumia kusoma.

Maswali:

Moja: Kakai anaangalia ratiba yake ya shule.

Kakai anaangalia nini?

Kakai anaangalia ratiba yake ya shule.

Mbili: Darasa zake zote zina urefu wa dakika tisini.

Madarasa yake yote ni ya muda gani?

Madarasa yake yote yana urefu wa dakika tisini.

Tatu: Kakai hana muda mwingi wa kupumzika jioni.

Kakai huwa na muda gani wa kupumzika jioni?

Kakai hana wakati mwingi wa kupumzika jioni.

Nne: Kakai hana masomo yoyote wikendi.

Je, Kakai ana masomo yoyote wikendi?

Hapana, Kakai hana masomo yoyote wikendi.

Tano: Ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi.

Je, ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi kiasi gani?

Ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi sana.

Sita: Siku zote za wiki za Kakai zilijaa.

Ni siku ngapi za wiki za Kakai zilijaa?

Siku zote za wiki za Kakai zilijaa.

Saba: Kakai hakuwa na wakati wowote wa mapumziko Jumatatu.

Kakai alikuwa na muda gani wa mapumziko siku za Jumatatu?

Kakai hakuwa na wakati wowote wa bure siku za Jumatatu.

Nane: Kakai alipata muda kidogo wa kuwaona marafiki zake.

Je, Kakai alipata muda wa kuwaona marafiki zake?

Ndiyo, Kakai alipata muda kidogo wa kuwaona marafiki zake.

Kakai anaangalia ratiba yake ya shule. Kakai schaut sich seinen Stundenplan an. Ben is looking at his schedule for school. Kakai regarde son emploi du temps scolaire.

Ana ratiba yenye shughuli nyingi. Er hat einen vollen Terminkalender. He has a very busy schedule.

Madarasa yake yote yana urefu wa dakika tisini. Alle seine Unterrichtsstunden dauern neunzig Minuten. All of his classes are ninety minutes long. Tous ses cours durent quatre-vingt-dix minutes.

Na siku zake zote za wiki zimejaa. Und alle seine Wochentage sind voll. And all of his weekdays are full. Et tous ses jours de la semaine sont complets.

Hana muda mwingi wa kupumzika jioni, na hana wakati wowote wa bure Jumatatu. Abends hat er nicht viel frei, montags hat er auch keine Freizeit. He doesn't have much free time in the evenings, and he doesn't have any free time on Mondays.

Hata hivyo, hana masomo yoyote wikendi, kwa hivyo anapaswa kuwa na muda kidogo wa kuwaona marafiki zake wakati huo. Allerdings hat er am Wochenende keinen Unterricht, daher sollte er dann etwas Zeit haben, seine Freunde zu sehen. He doesn't have any classes on weekends, though, so he should have a little time to see his friends then.

Ingawa bado ana muda kidogo kwa ajili yake mwenyewe, muda wake mwingi utakuwa wa kusoma. Obwohl er noch ein wenig Zeit für sich selbst hat, wird er die meiste Zeit mit Lernen verbringen. Although he still has a little time for himself, most of his time is going to be for studying.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here is the same story told in a different way.

Nilikuwa nikiangalia ratiba yangu ya shule. I was looking at my schedule for school.

Nilikuwa na ratiba yenye shughuli nyingi. I had a very busy schedule.

Madarasa yangu yote yalikuwa na urefu wa dakika tisini. All of my classes were ninety minutes long.

Na siku zangu zote za wiki zilikuwa zimejaa. And all of my weekdays were full.

Sikuwa na wakati mwingi wa kupumzika jioni, na sikuwa na wakati wowote wa kupumzika Jumatatu. I didn't have much free time in the evenings, and I didn't have any free time on Mondays.

Ingawa sikuwa na masomo yoyote wikendi, ili nipate muda kidogo wa kuwaona marafiki zangu wakati huo. I didn't have any classes on weekends, though, so I could have a little time to see my friends then.

Ingawa bado nilikuwa na wakati kidogo kwa ajili yangu, wakati wangu mwingi niliutumia kusoma. Although I still had a little time for myself, most of my time was spent studying.

Maswali: Questions:

Moja: Kakai anaangalia ratiba yake ya shule. One: Ben is looking at his school schedule.

Kakai anaangalia nini? What is Ben looking at?

Kakai anaangalia ratiba yake ya shule. Ben is looking at his school schedule.

Mbili: Darasa zake zote zina urefu wa dakika tisini. Two: All of his classes are ninety minutes long.

Madarasa yake yote ni ya muda gani? How long are all of his classes?

Madarasa yake yote yana urefu wa dakika tisini. All of his classes are ninety minutes long.

Tatu: Kakai hana muda mwingi wa kupumzika jioni. Three: Ben doesn't have much free time in the evenings.

Kakai huwa na muda gani wa kupumzika jioni? How much free time does Ben have in the evenings?

Kakai hana wakati mwingi wa kupumzika jioni. Ben doesn't have much free time in the evenings.

Nne: Kakai hana masomo yoyote wikendi. Four: Ben doesn't have any classes on weekends.

Je, Kakai ana masomo yoyote wikendi? Does Ben have any classes on weekends?

Hapana, Kakai hana masomo yoyote wikendi. No, Ben doesn't have any classes on weekends.

Tano: Ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi. Five: His schedule was very busy.

Je, ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi kiasi gani? How busy was his schedule?

Ratiba yake ilikuwa na shughuli nyingi sana. His schedule was very busy.

Sita: Siku zote za wiki za Kakai zilijaa. Sechstens: Alle Tage von Kakais Woche waren voll. Six: All of Ben's weekdays were full.

Ni siku ngapi za wiki za Kakai zilijaa? How many of Ben's weekdays were full?

Siku zote za wiki za Kakai zilijaa. All of Ben's weekdays were full.

Saba: Kakai hakuwa na wakati wowote wa mapumziko Jumatatu. Sieben: Kakai hatte am Montag keine freie Zeit. Seven: Ben didn't have any free time on Mondays.

Kakai alikuwa na muda gani wa mapumziko siku za Jumatatu? How much free time did Ben have on Mondays?

Kakai hakuwa na wakati wowote wa bure siku za Jumatatu. Ben didn't have any free time on Mondays.

Nane: Kakai alipata muda kidogo wa kuwaona marafiki zake. Eight: Ben did have a little time to see his friends.

Je, Kakai alipata muda wa kuwaona marafiki zake? Did Ben have any time to see his friends?

Ndiyo, Kakai alipata muda kidogo wa kuwaona marafiki zake. Yes, Ben did have a little time to see his friends.