×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

Habari za UN, Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |...

Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |...

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR (MONUSCO) wametoa mafunzo ya upishi kwa vikundi vya wanawake wa Kijiji cha Moro kilichoko takribani kilometa 50 kutoka Mji wa Berberati, jimboni Mambere Kadei yalipo makao makuu ya kikosi hicho.

Wakiwa na shangwe na nderemo wanakijiji cha Moro wanawapokea walinda amani kutoka Tanzania chini ya MINUSCA katika Kijiji hicho...Kisha walinda amani hao wanaanza kutoa elimu ya mapishi kwa vitendo kwa wanawake ili kuwapa njia ya kujipatia kipato na lishe kupitia utengenezaji wa vitafunwa kama vile mandazi. Wanawake wameona kuanzia jinsi ya kuchanganya unga, kukoroga, kuumua hadi mwisho kupata

Chifu wa Kijiji cha Moro Jack Bambakyr anatoa shukrani zake kwa TANBAT6 kwa elimu waliyotoa akisema, "Ninatoka shukrani kwa walinda amani kutoka Tanzania kwa sababu ya mambo mapya ambayo wamekuja kuwaonesha wake zetu hapa. Wamepata ujuzi wa kutengeneza vitu mbalimbali kwa mikono Ili kujipatia kipato. Asante sana, asante sana kwa kuja kwetu."

Naye Mwenyekiti wa vikindi vya ujasiliamali vya wanawake wa kijiji Cha Moro Bi. Marie Aghateanatoa shukrani zake kwa TANBAT6 huku akiwasihi wapatapo nafasi warudi tena kuwapatia elimu zaidi, "Kwa niamba ya kinamama nashukuru sana Kwa kutupa uelewa zaidi wa kujipatia kipato. Asanteni watanzania tunaomba mnapopata nafasi msisite kuja tena Kijiji hapa"

Sasa ni matunda ya kile walichofundishwa wanakijiji, wanakula na kunywa uji na mandazi.

Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |... Friedenstruppen aus Tansania bieten Frauen im Dorf Moro, Zentralafrikanische Republik, Koch- und Unternehmerschulungen an |... Peacekeepers from Tanzania provide cooking and entrepreneurship training to women in the village of Moro, CAR |... Fuerzas de paz de Tanzania brindan capacitación en cocina y emprendimiento a mujeres en la aldea de Moro, República Centroafricana |... Des soldats de la paix tanzaniens offrent une formation en cuisine et en entrepreneuriat aux femmes du village de Moro, en RCA |... タンザニアの平和維持軍がモロ村の女性たちに料理と起業家精神の訓練を提供 |... 탄자니아의 평화유지군이 중앙아프리카공화국 모로 마을 여성들에게 요리와 기업가 정신 교육을 제공합니다 |... Siły pokojowe z Tanzanii zapewniają kobietom w wiosce Moro w Republice Środkowoafrykańskiej szkolenia z gotowania i przedsiębiorczości |... Soldados da paz da Tanzânia fornecem treinamento em culinária e empreendedorismo para mulheres no vilarejo de Moro, CAR |... Tanzanya'dan gelen barış güçleri, Moro, CAR |... köyündeki kadınlara yemek pişirme ve girişimcilik eğitimi veriyor. Миротворці з Танзанії навчають жінок кулінарії та підприємництву в селі Моро, ЦАР |...

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR (MONUSCO) wametoa mafunzo ya upishi kwa vikundi vya wanawake wa Kijiji cha Moro kilichoko takribani kilometa 50 kutoka Mji wa Berberati, jimboni Mambere Kadei yalipo makao makuu ya kikosi hicho.

Wakiwa na shangwe na nderemo wanakijiji cha Moro wanawapokea walinda amani kutoka Tanzania chini ya MINUSCA katika Kijiji hicho...Kisha walinda amani hao wanaanza kutoa elimu ya mapishi kwa vitendo kwa wanawake ili kuwapa njia ya kujipatia kipato na lishe kupitia utengenezaji wa vitafunwa kama vile mandazi. Avec joie et enthousiasme, les villageois de Moro accueillent les soldats de la paix tanzaniens de la MINUSCA dans le village... Ensuite, les soldats de la paix commencent à dispenser une formation culinaire pratique aux femmes pour leur donner un moyen de gagner un revenu et de se nourrir grâce à la production de collations telles que le mandazi. . Wanawake wameona kuanzia jinsi ya kuchanganya unga, kukoroga, kuumua hadi mwisho kupata

Chifu wa Kijiji cha Moro Jack Bambakyr anatoa shukrani zake kwa TANBAT6 kwa elimu waliyotoa akisema, "Ninatoka shukrani kwa walinda amani kutoka Tanzania kwa sababu ya mambo mapya ambayo wamekuja kuwaonesha wake zetu hapa. Wamepata ujuzi wa kutengeneza vitu mbalimbali kwa mikono Ili kujipatia kipato. Asante sana, asante sana kwa kuja kwetu."

Naye Mwenyekiti wa vikindi vya ujasiliamali vya wanawake wa kijiji Cha Moro Bi. Marie Aghateanatoa shukrani zake kwa TANBAT6 huku akiwasihi wapatapo nafasi warudi tena kuwapatia elimu zaidi, "Kwa niamba ya kinamama nashukuru sana Kwa kutupa uelewa zaidi wa kujipatia kipato. Asanteni watanzania tunaomba mnapopata nafasi msisite kuja tena Kijiji hapa" Thank you Tanzanians, we ask that when you get the chance, don't hesitate to come back to this village

Sasa ni matunda ya kile walichofundishwa wanakijiji, wanakula na kunywa uji na mandazi. Now they are enjoying the fruits of what they were taught, they eat and drink porridge and mandazi.