×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.

image

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Chagua somo ambalo linakuvutia. Choose|subject|that|interests you Wählen Sie ein Thema, das Sie interessiert. Choose lessons that are interesting.

Hili ni jambo la muhimu. This|is|thing|of|importance هذه نقطة مهمة. Das ist ein wichtiger Punkt. This is important.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako. Choose|subject|that|is not|difficult|very|for you Wählen Sie ein Thema, das für Sie nicht zu schwierig ist. Choose a subject that is not too difficult for you.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia. You will learn|much|more|if|subject|is|that|interests you سوف تتعلم المزيد إذا كان الموضوع هو الذي يثير اهتمامك. Sie werden mehr erfahren, wenn das Thema eines ist, das Sie interessiert. You will learn more if the subject is one that interests you.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana. Sie werden mehr lernen, wenn das Thema nicht zu schwierig ist. You will learn better if the lesson is not too difficult. Vous en apprendrez davantage si le sujet n'est pas trop difficile.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa. If|it is|subject|that interests you|you will try|harder|to understand إذا كان الموضوع يثير اهتمامك، فسوف تحاول جاهدًا أن تفهمه. Wenn es ein Thema ist, das Sie interessiert, werden Sie sich mehr Mühe geben, es zu verstehen. If you are interested you will try harder to understand.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa. The subjects|can|be|difficult|to understand يمكن أن يكون من الصعب فهم الدروس. Lektionen können schwer zu verstehen sein. Lessons can be difficult to understand.

Usijali kuhusu hilo. Don't worry|about|that لا تقلق بشأن هذا This does not matter.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi. Time|is not|long|studies|will be|easy Bald wird der Unterricht einfach sein. Soon the lessons will be easy. Bientôt, les leçons seront faciles.